Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Biblia ni Mafundisho ya Mungu yenye mtiririko tokea Totari hadi Injiri.
Ndio maana kikaunganishwa na kuitwa Biblia.

Mungu alipo mwagiza Musa aandike mafundisho yake Mitume na Manabii wote waliofuatia walitii Agizo la Mungu la kuandika mafundisho ya vitabu vyote vilivyofuatia.
Kuandika ni kutii maagizo ya Mungu kile alichomuaguza musa.
Ni kama hizi Amri hapa.
............
[emoji117]Kumbukumbu la Torati 5:6
Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
8 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
10 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.
12 Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.
13 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
14 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.
15 Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.
16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
17 Usiue.
18 Wala usizini.
19 Wala usiibe.
20 Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
22 Haya ndiyo maneno ambayo Bwana aliwaambia mkutano wenu wote mlimani kwa sauti kuu toka kati ya moto, na wingu, na giza kuu; wala hakuongeza neno. [emoji117]Akayaandika juu ya mbao mbili za mawe, akanipa
................................................................

Hizi ni Amri Kumi za Mungu alizopewa Musa kwanda kuyafundisha watu wake, Mungu mwenyewe aliziandika na kumpa Musa.
Maagizo Mengine alimwambia Musa aandike.

Kutoka 17:14
Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.

Kutoka 24:4 Basi
Musa akayaandika maneno yote ya Bwana, akaondoka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima, na nguzo kumi na mbili, kwa hesabu ya kabila kumi na mbili za Israeli,
................................................................

{Hapa tunaona Mungu wa kwenye Biblia ndio Mwandishi Mkuu wa Mafundisho yake.
Musa alijifunza kwa Mungu wake kuandika.
Manabii na Mitume wengine walijifunza kwa Musa kuandika maagizo ya Mungu}
................................................................

Swali kwa Waislamu.
[emoji117]Ni wapi Allah karuhusu kuandika Maafundisho ya kwenye kitabu cha Qurani ?

Naomba Jibu, La sivyo ijulikane wazi kwamba
[emoji117]Kitabu cha Qurani ni Batili.
Ngoja nikunukuu,unasema hivi "Mungu alipo mwagiza Musa aandike mafundisho yake Mitume na Manabii wote waliofuatia walitii Agizo la Mungu la kuandika mafundisho ya vitabu vyote "

Sasa kumbe jibu unalo, na ndo maana na Qur'an iliandikwa na kuwekwa kwenye kitabu kwa sababu wewe mwenyewe hapo juu umeshakiri kuwa agizo la kuandika maneno ya Mungu lipo toka zamani kabla hata hiyo Qur'an haijafundishwa na Mungu.

Sasa ili hoja yako kuwa Qur'an haikuandikwa kwa agizo la Mungu iwe na maana basi labda lete andiko kutoka kwenye kitabu cha Mungu kuwa Mungu alifuta agizo la awali la manabii wanaofuata baada ya Musa linalowataka waandike maneno yake.

kama hilo agizo jipya halipo basi agizo la zamani liliendelea mpaka wakati wa Qur'an ilipokuja kwa sababu Qur'an ni maneno ya Mungu tena yasiyo na shaka ndani yake
 
Sasa wewe unadhani shetani asingemuingia Yuda ili Yuda akawonyeshe Makuhani na Askari wa Kirumi Yesu alipo na kwamba Yesu ni nani unadhani Yesu angekufa msalabani ili kwa kifo chake wewe na wenzako muokolewe?.

Hilo swali la role ya Shetani kwenye wokovu wa watu kawaulize Wakiristo wenzio, maana Shetani kaplay role kubwa sana kwenye kifo cha Yesu ambacho mnakiita ni komboleo la dhambi na sababu ya wokovu!.

Sasa nyie Wakiristo acheni kujifanya mnamchukia shetani wakati kashiriki kikamilifu kuwezesha plan ya Yesu kufa msalabani kitu mnachokiadhimisha kwa furaha. Huenda kimoyomoyo mnampenda shetani nyinyi!

Nikirudi kwenye Qur'an, iko very clear kuwa WOKOVU(UONGOFU) NI KWA NEEMA YA MUNGU tu ndiyo maana ya hiyo verse ya Qur'an, Na sisi tumeambiwa kwenye Quran kuwa Shetani ni adui yetu na tumfanye adui.
Tunaendelea embu tuambie shetani anafanya nini kama kazi zake zote anafanya Allah za kupoteza watu
  • Koran 18:17 ............ Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.
  • Koran 17:97 .............Na anaye wapotoa basi huto wapatia walinzi badala yake. Na tutawakusanya Siku ya Kiyama........Na makaazi yao ni Jahannamu.............
  • Koran 7:178 Whoever Allah guides - he is the [rightly] guided; and whoever He sends astray1 - it is those who are the losers.
  • Koran 28:56 Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Allah humwongoa amtakaye
  • Koran 5:41............... Hao ndio ambao Allah hataki kuzitakasa nyoyo zao. Watakuwa na hizaya duniani, na Akhera watakuwa na adhabu kubwa.
  • Koran 16:37 Hata ukiwa na pupa ya kutaka kuwaongoa, lakini Allah hamwongoi yule anaye shikilia kupotea.
  • Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,
Kazi za shetani kwenye biblia ni kupoteza
  • 2wakorintho4:4 Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo,.....
  • Ufunuo 12:9................huitwa pia Ibilisi au Shetani ambaye huudanganya ulimwengu wote. Naam, alitupwa duniani,........
 
Nimeshakujibu kuwa WOKOVU ni kwa neema na si kwa MATENDO au Paulo alivyosema hivyo alikosea?

Jibu swali kwa nini kwa mujibu wa biblia Shetani kaplay role kubwa kwenye kusulubiwa kwa Yesu halafu nyie mnasema kusulubiwa huko ni mpango wa Mungu?
kwa allah hakuna neema , ni allah kashapanga toka uko tumboni
  • Allah anasema mtu anaweza kufanya machafu yote duniani na mpaka akakaribia kuingia kwenye fire, mpaka amebakiza cubit kuingia motoni then kwa sababu allah alimuandikia kwenda paradise basi ataingia paradise
  • Allah anaseama tena mtu anaweza kuwa msafi na kufanya mambo mema lakini siku ya mwisho anamuingiza kwenye fire
    • .....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
 
Tunaendelea embu tuambie shetani anafanya nini kama kazi zake zote anafanya Allah za kupoteza watu
  • Koran 18:17 ............ Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.
  • Koran 17:97 .............Na anaye wapotoa basi huto wapatia walinzi badala yake. Na tutawakusanya Siku ya Kiyama........Na makaazi yao ni Jahannamu.............
  • Koran 7:178 Whoever Allah guides - he is the [rightly] guided; and whoever He sends astray1 - it is those who are the losers.
  • Koran 28:56 Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Allah humwongoa amtakaye
  • Koran 5:41............... Hao ndio ambao Allah hataki kuzitakasa nyoyo zao. Watakuwa na hizaya duniani, na Akhera watakuwa na adhabu kubwa.
  • Koran 16:37 Hata ukiwa na pupa ya kutaka kuwaongoa, lakini Allah hamwongoi yule anaye shikilia kupotea.
  • Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,
Kazi za shetani kwenye biblia ni kupoteza
  • 2wakorintho4:4 Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo,.....
  • Ufunuo 12:9................huitwa pia Ibilisi au Shetani ambaye huudanganya ulimwengu wote. Naam, alitupwa duniani,........
Sasa unashangaa nini wakati biblia yako yenyewe inakwambia wazi kuwa Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu

Sasa kumbe nyakati nyingine Mungu hufanya nyoyo za watu kuwa ngumungumu zisitii ishara zake!

Hebu tuambie wewe kwa nini Mungu kwenye Biblia anafanya nyoyo ya mja wake kuwa ngumu kumtii, halafu anatoka hapo anamwadhibu?
 
Sasa unashangaa nini wakati biblia yako yenyewe inakwambia wazi kuwa Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu

Sasa kumbe nyakati nyingine Mungu hufanya nyoyo za watu kuwa ngumungumu zisitii ishara zake!

Hebu tuambie wewe kwa nini Mungu kwenye Biblia anafanya nyoyo ya mja wake kuwa ngumu kumtii, halafu anatoka hapo anamwadhibu!
Tunaendela Allah sio tu kupoteza watu bali anasababisha pia wauwawe maana amewafanya wapotee kwa uasi na ukafiri, huyu dogo alikatwa na jambia kisa allah kasema atakuja kumpoteza mbeleni na akipotea na wazazi wake watapotea
Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
 
Usirukierukie maandiko twende hatua kwa hatua.

Kwa nini kwenye biblia Mungu aliufanya moyo wa Farao uwe mgumu halafu anatoka hapo anamwadhibu Farao kwa matendo yatokanayo na ugumu wa moyo wake wakati yeye ndiye aliyeuhukumia uwe hivyo?
 
Unajibu kwanza alie anza kuuliza , alafu unauliza , wakati unaandaa swali lako weka hicho kisa tukisome usiongee tu

rudi jibu mwaswali yangu
 
Usirukierukie maandiko twende hatua kwa hatua.

Kwa nini kwenye biblia Mungu aliufanya moyo wa Farao uwe mgumu halafu anatoka hapo anamwadhibu Farao kwa matendo yatokanayo na ugumu wa moyo wake wakati yeye ndiye aliyeuhukumia uwe hivyo?
Turudi kwenye maswali yangu hayo ya farao utauliza tu ,
Kwa nini allah anakuwa ameshapanga toka tumboni wa motoni na paradise , yani mtu ata awe muuwaji kama allah ameshampangia bikra 72 lazima akazipate tu

.....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
 
Ngoja nikunukuu,unasema hivi "Mungu alipo mwagiza Musa aandike mafundisho yake Mitume na Manabii wote waliofuatia walitii Agizo la Mungu la kuandika mafundisho ya vitabu vyote "

Sasa kumbe jibu unalo, na ndo maana na Qur'an iliandikwa na kuwekwa kwenye kitabu kwa sababu wewe mwenyewe hapo juu umeshakiri kuwa agizo la kuandika maneno ya Mungu lipo toka zamani kabla hata hiyo Qur'an haijafundishwa na Mungu.

Sasa ili hoja yako kuwa Qur'an haikuandikwa kwa agizo la Mungu iwe na maana basi labda lete andiko kutoka kwenye kitabu cha Mungu kuwa Mungu alifuta agizo la awali la manabii wanaofuata baada ya Musa linalowataka waandike maneno yake.

kama hilo agizo jipya halipo basi agizo la zamani liliendelea mpaka wakati wa Qur'an ilipokuja kwa sababu Qur'an ni maneno ya Mungu tena yasiyo na shaka ndani yake
Hivi Qurani hadi muamue kuiandika bila ruhusa ya Allah.
Imeleta fundisho gani la Maana ambalo halikuwepo huko Nyuma ?

Torati ilifundisha Amri Kumi.

Injiri imefundisha
[emoji117]Kumpenda Mungu Sana.
[emoji117]Kumpenda Binadamu mwenzako kama Nafsi Yako.

Mafundisho ambayo Nabii Yeremia aliyatabiria.

[emoji117]Yeremia 31:31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
Yeremia 31:32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.
Yeremia 31:33 Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema Bwana; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Yeremia 31:34 Wala hawatamfundisha kila mtu jirani yake, na kila mtu ndugu yake, wakisema, Mjue Bwana; kwa maana watanijua wote, tangu mtu aliye mdogo miongoni mwao hata aliye mkubwa miongoni mwao, asema Bwana; maana nitausamehe uovu wao, wala dhambi yao sitaikumbuka tena.
................................................................

Je Qurani inafundisha Amri ipi mpya ya maana hadi mlazimike kuiandika bila ruhusa ya Allah ?

Naomba liwekeni hapa tulisome hilo fundisho Jipya la Allah ndani ya Qurani.

Mimi kila nikiisoma sioni chochote cha maana.
 
Qur'an imeandikwa kwa ruhusa ya Mungu, wewe mwenyewe umetueleza humu vizuri kabisa juu ya agizo la Mungu la kuandikwa kwa maneno yake. Sasa kwa nini unataka Qur'an isiandikwe wakati ni maneno yake?
 
Turudi kwenye maswali yangu hayo ya farao utauliza tu ,
Kwa nini allah anakuwa ameshapanga toka tumboni wa motoni na paradise , yani mtu ata awe muuwaji kama allah ameshampangia bikra 72 lazima akazipate tu

.....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
Maswali yako ni mepesi sana ila unarudia kuuliza vitu simple, laiti ungekuwa unaijua vizuri Injili wala usingeuliza maswali haya.
Hebu soma Injili ya Yohana 17:24, inasema hivi.

Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami popote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.

Mana yake ni kuwa sisi tunaomkubali Yesu kuwa ni nabii wa Mungu, kumheshimu, kumpenda ni kwa neema tu sisi Mungu katuchagua tumwamini Yesu na kukubali mafundisho yake, kwa sababu yeye Mungu ametutwaa sisi na Kumpa Yesu ili tumkubali huyo Yesu.Ila kwa wale wanaomkataa Yesu Mungu hakumpa Yesu watu hao, na hata Yesu angefanyaje wasingemuamini kamwe maana si katika fungu alilopewa.

Sasa jiulize kwa nini kuna watu Mungu kampa Yesu, na kuna wengine hajampa?, Ina maana Mungu hataki watu wote wapate wokovu?, Kwa nini Mungu asimpe Yesu watu wote?

Ili kukupa eimu zaidi juu ya jambo hili, hebu nenda kasome kwenye biblia yako kitabu cha Mithali 16:4

Kinasema hivi nanukuu:

BWANA hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; hata waovu kwa siku ya maangamizi.

Sasa biblia inakwambia kuwa hata waovu watakaongamizwa na Mungu siku ya Maangamizi Mungu kawaumba yeye mwenyewe kwa kusudio lake maalum halafu unashangaa Quran ikikueleza kuhusu neema ya Mungu kwenye wokovu wa mwanadamu.

Kabla hujarukia aya za Quran tukufu, kitabu kisicho na shaka ndani yake, hebu kwanza basi ielewe angalau biblia yako.

Quran achana nayo ndugu, kile kitabu ni very powerful
 
Bilbia ni kina kirefu sana cha maarifa, usichomoe mistari ukajenga hoja ambazo hazina mashiko
Rudi nyuma kidogo hapo hapo kwa Yohana 17
20 “Siwaombei hawa peke yao; bali nawaombea pia wale wote watakaoniamini kwa sababu ya ushuhuda wa hawa.
Na kwenye mithali soma yote Mithali 16
6: Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;
kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. .
Jehova ameweka wazi ukiwa na upendo na uaminifu uovu uondolewa na ukimcha bwana unajiepusha na ubaya

Allah anasema ata umfuate kama ameshakuandika moto lazima uende motoni na kwa wale ambao wanafanya mabaya kama amewaandikia paradise lazima waingie , kwa allah hakuna kumcha wala nini ni maamuzi yake mpaka wabakaji wanaweza kwenda kwenye mbingu yake
.....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
 
Bilbia ni kina kirefu sana cha maarifa, usichomoe mistari ukajenga hoja ambazo hazina mashiko
Rudi nyuma kidogo hapo hapo kwa Yohana 17
20 “Siwaombei hawa peke yao; bali nawaombea pia wale wote watakaoniamini kwa sababu ya ushuhuda wa hawa.
Na kwenye mithali soma yote Mithali 16
6: Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;
kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. .
Jehova ameweka wazi ukiwa na upendo na uaminifu uovu uondolewa na ukimcha bwana unajiepusha na ubaya

Allah anasema ata umfuate kama ameshakuandika moto lazima uende motoni na kwa wale ambao wanafanya mabaya kama amewaandikia paradise lazima waingie , kwa allah hakuna kumcha wala nini ni maamuzi yake mpaka wabakaji wanaweza kwenda kwenye mbingu yake
.....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
Ndo maana nakwambia jifunze maandiko yako vizuri kwanza.

Mbona Yesu haombei WOTE bali anaombea wale tu watakaomuamini?, ina maana Yesu anabagua watu wa kuwaombea!
 
Yohana 17:20 “Siwaombei hawa peke yao; bali nawaombea pia wale wote watakaoniamini kwa sababu ya ushuhuda wa hawa.
Naona umebadili gia angani, Yesu anawaombea wote yani mpaka sisi ambao hatukuona na tunaamini kwa ushuhuda wa walioona, Yani mpaka wewe ukiamini umeshaombewa

achana na Allah ambae mpaka wafanya dhambi wataingia kwenye mbingu yake na wema hawataingia
.....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594

Allah mpaka adamu, yeye allah ndo anasema alimfanya afanye dhambi, na biblia inasema shetani ndio alimfanya adam afanye dhambi connect the dots
 
Ndo maana nakwambia jifunze maandiko yako vizuri kwanza.

Mbona Yesu haombei WOTE bali anaombea wale tu watakaomuamini?, ina maana Yesu anabagua watu wa kuwaombea!
Sahih muslim Book 33, Number 6409: Allah alimpangia adamu kufanya dhambi , alafu akamuadhibu kwa kufanya dhambi aliyompangia atafanya
Abu Huraira reported Allah's Messenger as saying: There was argument between Adam and Moses. ..... Adam said to him: ..... Despite this you blame me for an act which Allah had ordained for me forty years before He created me............
 
Ndo maana nakwambia jifunze maandiko yako vizuri kwanza.

Mbona Yesu haombei WOTE bali anaombea wale tu watakaomuamini?, ina maana Yesu anabagua watu wa kuwaombea!
  • Tunaendelea Allah hana tumaini kwa watu wake ata watoto wadogo hawajafika umri wa kujua jema na baya yeye atawachoma moto maana ameshawaandikia moto,
  • Tunaona hapa muhammad yupo kwenye msiba wa mtoto mdogo Aisha akamwambia leo kuna furaha paradise maana huyu mtoto amekufa hajafanya dhambi wala hajafikia umri wa kufanya dhambi, Muhammad akamwambia Aisha inaweza kuwa tofauti maana Allah kawaumba wa kwenda Paradise toka wako kwenye uti wa mgongo wa baba zao na kawaumba wa Hell toka wako kwenye uti wa mgongo wa baba zao, huyu ndie Allah unapo mfuata huna tumaini la uzima wa milele
    • A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
 
Ndiyo maana narudia kukwambia, laiti ungechukua muda kusoma biblia yako usingekuwa na dilema hii uliyokuwa nayo. Na wala usingehangaika kuuliza mswali haya, ambayo majibu yake yako straightforward

Kama zile verse nilizokuwekea bado huzielewi, au huzitaki basi ggoja niendelee kukuwekea verse nyingine kutoka kwenye bible ili uelewe vizuri concept ya Qadar (predestination), Warumi 9:18 inasema:

Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.

Sasa hebu jiulize kwa nini Mungu huamua kuwahurumia baadhi na wengine huamua kuwafanya Wagumu. Ukishaelewa hayo njoo uulize maswali kwenye Qur'an, kitabu kisicho na shaka ndani yake
 
Huyu dogo kafanyanye mpaka aende Hell fire , umri wake unakuta ata kuongea ajaanza
A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
 
Majibu ya maswali yako kama nilivyokueleza yapo kwenye biblia yako

Warumi 9:21 Paulo anakwambia, Je mfinyanzi hana haki ya kufanya chochote kwa kile alichokiumba?

Na Warumi 9:22-23, Paulo anakwambia wazi kuwa kuna watu wameshaandaliwa kuangamizwa tayari na kuna watu wameshaandaliwa utukufu. Sasa kama hutaki hilo, basi unapingana hata na bible yako wewe mwenyewe.

Maandiko yanasema, kwenye Warumi 9:22-23

22 Tunajuaje kama Mungu, kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake na nguvu yake, amewavumilia kwa uvumilivu mkuu wale waliomkasirisha, ambao wameandaliwa kuangamizwa? 23 Na tunajuaje kama Mungu alifanya hivi ili kuwadhihirishia utajiri wa utukufu wake wale anaowahurumia, ambao aliwaandaa tangu mwanzo kupokea utukufu?
 
Usirukierukie maandiko twende hatua kwa hatua.

Kwa nini kwenye biblia Mungu aliufanya moyo wa Farao uwe mgumu halafu anatoka hapo anamwadhibu Farao kwa matendo yatokanayo na ugumu wa moyo wake wakati yeye ndiye aliyeuhukumia uwe hivyo?
Jibu swali ulilo ulizwa kafir ww!
Kwa hiyo baba kasimu ame-copy huko kwa kumgeza firaun kisha kawatupia na mkaanza kukariri??
Halafu unajidai huwezi kui-chalenge koloani huku haina majibu[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom