Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Kwani biblia yako ya Queen James Version imeandikwa vipi ?Kwa hiyo walisema alafu ,wakaacha kusema ili iweje?
Kwa nini kwa wakristo walisema na maandiko yapo ila kwa wayahudi allah anasema walisema na maandiko hayapo
Koran 9:30 Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu.........