Sharti lako batili na linakiuka adabu za utafiti na mjadala. Kuna maswali nimekuuliza humo yajibu.Achana na kuandika isha , weka ushahidi wa wayahudi , mbona nikikwambia weka ushahidi wa wakristo utaweka kutoka biblia haraka Sana kwamba messiah ni mwana Mungu , nasubiria ushahidi wa wayahudi maelezo yako
Usiruke ruke.