Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Jamaa alitengeneza imaginary god, ndio maana ukimsoma unaona kuna mda anaongea anashindwa ku switch kutoka yeye kwenda god na kutoka God kwenda yeye
Brian Deacon akiwa na roho mtakatifu

images (32).jpeg
 
ww ilimu ya roho hukupewa [emoji13][emoji13]
Ungekuwa nayo usinge nunua jiwe kwa dola kisha kuvua nguo zote ikiwemo chupi kisha kuvaa vipande viwili vya vitambaa bila chupi, na ukiwa nusu uchi eti unampiga shetani kwa mawe [emoji13][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Brian Deacon na roho mtakatifu. Hawa wote mnawaabudu. Ushirikina kweli kazi.
images (32).jpeg
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1. Je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha
Sheikh Dr Sulle na Ustaadh Mazinge watakupa majibu yote.
Wanafaham hizo Biblia zote kuanzia Impemanto, Revised Version! Unaweza ku google kuona darsa zao hasa Sheikh Dr Sulle! Mimi humsikiliza akichambua mada za dini zote yaani Uislam na Ukristo na vitabu vyote! Ni mkweli na habagui dini.
 
Nimecheka sana kijana. Ushahidi ni ule unao toka kwa wakweli na wenye uhakika na habari husika.

Mayahudi mengi katika habari waliziharibu ndiyo maana aya zimekuja kuwakemea sana.

Wangekuwa wana sifa hiyo wangetunza nasaba zao zifike mpaka kwa Yakubu,mnyonge mnyongeni ila hako yake mpeni katika watu wenye kutunza maandiko yao ni Waarabu kuanzia wale wa kale mpaka sasa. Hili hupingi mpaka mna kufa.

Mfano mzuri leo hii Mayahudi wanajinasibisha kwa nabii Musa (Japo ukweli ulivyo ni kinyume) ila hawana chain inayo fika mpaka kwa Musa. Sasa vipi wao wawe ni wenye sifa ya kutunza maandiko yao kuzidi wengine.

Sasa ili uwe mkweli,wewe pinga kwa elimu ya kuwa Uzeir hakuwahi kuwepo.
Acha story nyingi kijana weka ushahidi
 
Nilicho kiona ni kuwa hauko makini na mjadala. Kama sijaweka ushahidi kosoa nilicho kiandika kwa elimu na ushahidi.
Hakuna historia yoyote inaoneaha wayahudi walisema uzeri ni mwana wa Mungu , Allah ndio kazusha , sasa unatakiwa uweke ushahidi kutoka vitabu vya wayahudi , wewe unaleta story hazieleweki , weka maandiko
 
Roho wenu itakuwa ndiyo yule njiwa aliyemshukia Brian Deacon begani. Nyie makafiri mnashida sana. Mnaabudu njiwa mara yule mcheza movie.
Anae abudu jiwe anajijua vizuri, kila siku unainama kuelekea jiwe , na jiwe Allah atalipa macho na mdomo siku ya mwisho , kazana kuliabudu
 
ww ilimu ya roho hukupewa [emoji13][emoji13]
Ungekuwa nayo usinge nunua jiwe kwa dola kisha kuvua nguo zote ikiwemo chupi kisha kuvaa vipande viwili vya vitambaa bila chupi, na ukiwa nusu uchi eti unampiga shetani kwa mawe [emoji13][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe uliyepewa elimu ya roho ,jibu swali,

Vipi unakubali Mungu ni roho?
 
Acha story nyingi kijana weka ushahidi
Ushahidi niweke mara ngapi kijana ? Unachotakiwa uukosoe ushahidi wangu kuonyesha ya kuwa hapakuwahi kuwepo Uzair. Hili rahisi sana,usipoteze muda.

Nasubiri ukosoaji wako,japo najua hili huwezi.
 
Hakuna historia yoyote inaoneaha wayahudi walisema uzeri ni mwana wa Mungu , Allah ndio kazusha , sasa unatakiwa uweke ushahidi kutoka vitabu vya wayahudi , wewe unaleta story hazieleweki , weka maandiko
Kijana sijui huelewi wapi. Jaribu usome nilicho kiweka hapo.

Kutokuwepo kwao hizo habari hakuonyeshi ya kuwa Mayahudi hawakuwahi kudai hayo. Wapo Mayahidi wa Asfahani walidai hilo,na wale walio enda kwa Mtume.

Allah wetu ni Mkamilifu azushe ili iweje ndiyo maana Mayahudi wale hawakulipinga hilo.

Lakini kwa lipi tuwaamini Mayahudi hawa,wenye sifa ya uongo na kubadilisha maneno,walio pindisha Taurati na kudai wanamfata nabii Musu,huku wana kitabu chao pweke kiitwacho Talmud.

Kwa lipi tuwaamini Mayahudi walio laaniwa ?
 
Ushahidi niweke mara ngapi kijana ? Unachotakiwa uukosoe ushahidi wangu kuonyesha ya kuwa hapakuwahi kuwepo Uzair. Hili rahisi sana,usipoteze muda.

Nasubiri ukosoaji wako,japo najua hili huwezi.
Ushahidi wako hauna mantiki na umekosa nguvu , aliedai uzeri wayahudi wamesema ni mwana wa Mungu ni Allah na watu wake , sasa unachotakiwa ni kuweka ushahidi wa wayahudi wakisema uzer ni mwana wa Mungu kutoka maandiko yao mbona kwa wakristo na messiah ni rahis Sana una chukua tu kwenye bible mambo yanaisha, unapo kuja na ushaidi wa watu wa Allah ndio wanasema badala ya wayahudi wenyewe unatia mashaka.

Weka ushahidi kutoka kwa wayahudi nipo nasubiria
 
Weka ushahidi kutoka kwa wayahudi nipo nasubiria
Naanzia hapa. Hii hoja dhaifu sana. Unachotakiwa ni kupinga au kuonyesha uongo wa hicho kilicho kiandikwa,siyo unasema kwamba Mayahudi hawakuandika,hii si hoja bali ni uoga.
Ushahidi wako hauna mantiki na umekosa nguvu
Ungekosa nguvu endapo ungeukosoa kwa elimu na hoja,lakini ushahidi ni mekupa,tena habari zimenukuliwa toka kwenye vinyea twahara.
aliedai uzeri wayahudi wamesema ni mwana wa Mungu ni Allah na watu wake ,
Naomba upinge ya kuwa Asfahani hapakuwa na Mayahudi walio dai hilo. Yaani hataka kukosoa hoja huwezi.

Mola wetu hadai,akisema amesema ni haki ndiyo maana mpaka muda huwezi kukosoa.

Habari ngapi hatuzipati kwa wahusila ila kwa wengine ? Kijana unatumia nini kuhoji ?
sasa unachotakiwa ni kuweka ushahidi wa wayahudi wakisema uzer ni mwana wa Mungu kutoka maandiko yao mbona kwa wakristo na messiah
Swali ushahidi wa mtu mmoja unakubalika au haukubaliki ? Kijana unanichekesha sana.

Katika maandiko yao yapi ambayo yamepindisha Taurati ? Hili kwana unalijua (Naliweka akiba) ? Hili huwezi kulikuta sababu wao wanajipendekeza kwa nabii Musa,huku wakiipindisha haki.
unapo kuja na ushaidi wa watu wa Allah ndio wanasema badala ya wayahudi wenyewe unatia mashaka.
Nasubiri ukosoaji juu ya hoja hii.
 
Kijana sijui huelewi wapi. Jaribu usome nilicho kiweka hapo.

Kutokuwepo kwao hizo habari hakuonyeshi ya kuwa Mayahudi hawakuwahi kudai hayo. Wapo Mayahidi wa Asfahani walidai hilo,na wale walio enda kwa Mtume.

Allah wetu ni Mkamilifu azushe ili iweje ndiyo maana Mayahudi wale hawakulipinga hilo.

Lakini kwa lipi tuwaamini Mayahudi hawa,wenye sifa ya uongo na kubadilisha maneno,walio pindisha Taurati na kudai wanamfata nabii Musu,huku wana kitabu chao pweke kiitwacho Talmud.

Kwa lipi tuwaamini Mayahudi walio laaniwa ?
Weka ushahidi usilete story mingi , kama umeshindwa kuweka maandiko ya wayahudi basi jua tu Muhammad aliingizwa chaka ,
Alafu jua kwamba Muhammad kuna story nyingi za wayahudi kazikopi kwenye talmund, hizo ni story wayahudi walikuwa wanapigia watoto mda wa kulala , Muhammad ka copy kibao mpaka ile ya Suleiman kuongea na siafu na mambo ya kapeti linalopaa , na ile ya Suleiman alikufa uku amekaa kwenye kiti mda mrefu na hakuna elie jua , kuna wayahudi walikuwa wanamfanya Muhammad toy
 
Ushahidi nimeshauweka.

Hivi Talmud ya kwanza ilitoka mwaka gani mpaka una muhusisha Mtume ?

Pili,Mtume alikuwa hajui kusoma wala kuandika,hili aliliweza vipi ? Muwe mna fikiri vijana.
 
Naanzia hapa. Hii hoja dhaifu sana. Unachotakiwa ni kupinga au kuonyesha uongo wa hicho kilicho kiandikwa,siyo unasema kwamba Mayahudi hawakuandika,hii si hoja bali ni uoga.

Ungekosa nguvu endapo ungeukosoa kwa elimu na hoja,lakini ushahidi ni mekupa,tena habari zimenukuliwa toka kwenye vinyea twahara.

Naomba upinge ya kuwa Asfahani hapakuwa na Mayahudi walio dai hilo. Yaani hataka kukosoa hoja huwezi.

Mola wetu hadai,akisema amesema ni haki ndiyo maana mpaka muda huwezi kukosoa.

Habari ngapi hatuzipati kwa wahusila ila kwa wengine ? Kijana unatumia nini kuhoji ?

Swali ushahidi wa mtu mmoja unakubalika au haukubaliki ? Kijana unanichekesha sana.

Katika maandiko yao yapi ambayo yamepindisha Taurati ? Hili kwana unalijua (Naliweka akiba) ? Hili huwezi kulikuta sababu wao wanajipendekeza kwa nabii Musa,huku wakiipindisha haki.

Nasubiri ukosoaji juu ya hoja hii.
Achana na kuandika isha , weka ushahidi wa wayahudi , mbona nikikwambia weka ushahidi wa wakristo utaweka kutoka biblia haraka Sana kwamba messiah ni mwana Mungu , nasubiria ushahidi wa wayahudi maelezo yako
 
Back
Top Bottom