Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Nacheka sana,kuhusu marejeo hilo rahisi sana mzee.

Na copy na ku paste tu. Soma hii.

Allah commands the People of the Scriptures to believe in what He has sent down to His servant and Messenger, Muhammad , the Glorious Book that conforms to the good news that they already have about Muhammad . He also warns them,

﴿مِّن قَبْلِ أَن نَّطْمِسَ وُجُوهاً فَنَرُدَّهَا عَلَى أَدْبَـرِهَآ﴾​

(before We efface faces and turn them backwards) Al-`Awfi said that Ibn `Abbas said that `effacing' here refers to blindness,

﴿فَنَرُدَّهَا عَلَى أَدْبَـرِهَآ﴾​

(and turn them backwards) meaning, We put their faces on their backs, and make them walk backwards, since their eyes will be in their backs. Similar was said by Qatadah and `Atiyah Al-`Awfi. This makes the punishment even more severe, and it is a parable that Allah set for ignoring the truth, preferring the wrong way and turning away from the plain path for the paths of misguidance. Therefore, such people walk backwards. Similarly, some said that Allah's statement,

﴿إِنَّا جَعَلْنَا فِى أَعْنـقِهِمْ أَغْلَـلاً فَهِىَ إِلَى الاٌّذْقَـنِ فَهُم مُّقْمَحُونَ وَجَعَلْنَا مِن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ سَدّاً﴾​

(Verily, We have put on their necks iron collars reaching to the chins, so that their heads are raised up. And We have put a barrier before them) that is a parable that Allah gave for their deviation and hindrance from guidance.

Mwisho wa kunukuu.
Kwa kusoma hapo kazi za Lucifer na Allah tofauti ni nini?
 
Achana na rejea , weka hapa unapotezea watu mda
. Their view that al-‘Uzayr is the son of God:

This view was narrated from some of the Jews of Madinah, and was narrated from the Isfahani sect of Judaism.

Al-Haafiz Ibn Hajar (may Allah have mercy on him) said: Ibn al-‘Arabi said in Sharh at-Tirmidhi:

The Jews of our own time disavowed the idea that al-‘Uzayr is the son of God, but this does not necessarily mean that this idea did not exist at the time of the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him), because that was revealed at his time, when the Jews were with him in Madinah and elsewhere, and there is no report to suggest that any of them rejected that or commented on it. What appears to be the case is that those who held that view were a group among them, not all of them, based on the fact that those among the Christians who said that the Messiah was the son of God were a group among them, not all of them. So it may be that that group has now become extinct, just as the belief of most of the Jews changed from likening the attributes of Allah to those of human beings to denying His attributes altogether, and the belief of the Christians in the “Son” and the “Father” became symbolic or metaphorical, and not to be taken literally. Glory be to the Controller of the hearts.

End quote from Fath al-Baari (3/359).

Abu Bakr al-Jassaas (may Allah have mercy on him) said:

With regard to the words of Allah, may He be exalted (interpretation of the meaning): “And the Jews say: ‘Uzayr (Ezra) is the son of Allah, and the Christians say: Messiah is the son of Allah”[at-Tawbah 9:30], it was said that what is meant is a group among the Jews who believed in that. The evidence for that is the fact that the Jews heard that at the time of the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) and did not deny it. This is like the view of one who says that “the Khawaarij believe in carrying out massacres and and killing children”, and what he means is a group among them and not all of them. And it is like your saying “Banu Tameem [a tribe] came to me”, and what you mean is some of them. Ibn ‘Abbaas said: That was said by a group among the Jews who came to the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) and said that. They were: Salaam ibn Mashkam, Nu‘maan ibn Awfa, Shaas ibn Qays, and Maalik ibn as-Sayf. So Allah, may He be exalted, revealed this verse. There are none among the Jews who say that now, as far as we know; rather it was a group among them who said that, and they became extinct.

End quote from Ahkaam al-Qur’an (4/299)
 
Weka rejea ,huna uwezo ndio maana unataja rejea ukijua wazi ni ngumu mtu kwenda kusoma , huu ni mtandao unajitegema unapo ongea kitu weka ushahidi au weka Link tusome
Niweke mara ngapi ?

Bado hujasoma tu nilicho kiweka ?
 
Ukienda Msikitini, kama kawaida yako.
Salimia kushoto, salimia kulia.
Salimia Majini.

Hivi ni lini Muhammadi aliambiwa awe Mtume wa Majini ?

Inayumnikanaje mnaenda kuswali ndani ya Msikiti huku ukiwa umejaa Majini ?

Kuna usalama hapo....!

Ulishawahi kutafakari kuwa Muhammadi aliyakaribisha Majini yote Msikitini ?

Msikiti ni Kilinge cha Majini kama huna habari.

Tafakari japo kidogo basi

Ndivyo alivyowaandikia yule aliyeanzisha kanisa lenu Engineer wa NMC ??

Sasa tuambie hivi huyu ndiye aliyekufa kwa ajili ya dhambi zenu ?? ndio mkamweka kwenye msalaba ???

1626485999776.png
 
Ukienda Msikitini, kama kawaida yako.
Salimia kushoto, salimia kulia.
Salimia Majini.

Hivi ni lini Muhammadi aliambiwa awe Mtume wa Majini ?

Inayumnikanaje mnaenda kuswali ndani ya Msikiti huku ukiwa umejaa Majini ?

Kuna usalama hapo....!

Ulishawahi kutafakari kuwa Muhammadi aliyakaribisha Majini yote Msikitini ?

Msikiti ni Kilinge cha Majini kama huna habari.

Tafakari japo kidogo basi

Picha za Gagoyles (Mapepo) toka kwenye Makanisa

Ukienda Msikitini, kama kawaida yako.
Salimia kushoto, salimia kulia.
Salimia Majini.

Hivi ni lini Muhammadi aliambiwa awe Mtume wa Majini ?

Inayumnikanaje mnaenda kuswali ndani ya Msikiti huku ukiwa umejaa Majini ?

Kuna usalama hapo....!

Ulishawahi kutafakari kuwa Muhammadi aliyakaribisha Majini yote Msikitini ?

Msikiti ni Kilinge cha Majini kama huna habari.

Tafakari japo kidogo basi

Wewe kawapelekee injili nyoka, Fisi, Chatu na viumbe vyote kama alivyokuagiza Yesu kumbe wote ni ndugu zako hao

Angalia pia Mark 16:9 Pia rejea Genesis 6:2&4, Job 1: 6 na Job 2:1 kumb 18:10-11

Kwa mujibu wa biblia bwana yesu anawaagiza wanafunzi wake watawanyike ulimwenguni wakahubiri Injili kwa viumbe wote.

Kwa matumaini kwamba na mapepo wamo, maana nao ni viumbe. Mark16:15-16
 
Weka rejea ,huna uwezo ndio maana unataja rejea ukijua wazi ni ngumu mtu kwenda kusoma , huu ni mtandao unajitegema unapo ongea kitu weka ushahidi au weka Link tusome
Haya ndio maneno yako kabla

Achana na rejea , weka hapa unapotezea watu mda

ITAKUWA UMECHANGANYIKIWA
 
Wewe kawapelekee injili nyoka, Fisi, Chatu na viumbe vyote kama alivyokuagiza Yesu kumbe wote ni ndugu zako hao

Angalia pia Mark 16:9 Pia rejea Genesis 6:2&4, Job 1: 6 na Job 2:1 kumb 18:10-11

Kwa mujibu wa biblia bwana yesu anawaagiza wanafunzi wake watawanyike ulimwenguni wakahubiri Injili kwa viumbe wote.

Kwa matumaini kwamba na mapepo wamo, maana nao ni viumbe. Mark16:15-16
Ahaa
Kumbe umekubali kuwa Majini ni Waislamu na mnajumuika nayo katika ibada za Kiislamu.

Ndio unijibu sasa.
Ni wapi Muhammadi aliamriwa Kuyahubiria Majini.
Yaani awe Mtume wa Majini ?

Sasa ndugu yangu upo radhi kabisa kuchanganyika na Majini katika ibada zote za Kiislamu ?

Yesu alisema Injiri ihubiriwe kwa viumbe vyote lakini sio Majini.
Yakijiingiza Kanisani tuyatoe mara moja kwa kuyakemea.
Sijawahi kuona ndani ya Msikiti mnakemea Mapepo kwakuwa ni nyumba yao ya ibada.

Pale pale kwenye Marko ungesoma kidogo mstari wa mbele unge ona Yesu alivyo waagiza wafuasi wake kuyakemea Mapepo yote.

Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko 16:16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko 16:17
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa [emoji117]pepo; watasema kwa lugha mpya.

Inapofikia Swala la Majini, Waislamu mnayatetea sana. Ati ni ndugu zenu wa kushirikiana nao.

Ona Yesu mwenyewe alivyokuwa anayakemea Majini.

Mathayo 8:28
Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.
Mathayo 8:29
Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?
Mathayo 8:30
Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakilisha.
Mathayo 8:31
Wale pepo wakamsihi, wakisema, Ukitutoa, tuache twende, tukaingie katika lile kundi la nguruwe.
Mathayo 8:32
Akawaambia, Nendeni. Wakatoka, wakaingia katika nguruwe; na kumbe! Kundi lote wakatelemka kwa kasi gengeni hata baharini, wakafa majini.

Marko 1:23
Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti,
Marko 1:24
akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
Marko 1:25
Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.
Marko 1:26
Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.

[emoji117]Agano la Kale pia Mungu anawakataza watu kuwa shirika na Majini.

Mambo ya Walawi 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Mitume na Manabii wote hakuna aliyewahi kufanya shirika na Majini iwe katika Ibada au kawaida.

Muhammadi aliruhusiwa na nani kuyashirikisha Majini katika Dini ya Kiislamu ?

Waislamu ni kweli bado mpo radhi kushirikiana na Majini katika Dini ?

Wakati wa ibada Msikitini kunakuwa na Mapepo mengi sana eti wanakuja kutubu kwa [emoji117]Mola wao Mlezi,
ha...ha..ha..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mola wao Mlezi sijui ndio nani, ambaye hana mke wala mwana

72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

72:2 - Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

72:3 - Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

72:4 - Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.

72:5 - Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.

72:6 - Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini;

Poleni sana, mmeingizwa chaka na Muhammadi.

Ukweli ni kwamba Majini ndiyo yaliyo mtumbukiza Muhammadi kwenye Dini yao ya Kiislamu.
Ungekuwa peke yako unayesoma hapa ningekupa ushahidi ungebaki na Butwaa na kuondoka haraka huko kwenye Kilinge cha Majini.
 
Biblia sahihi na isiyo na mbwembwe na ndio imetumika kwa walio wengi na hata ukienda madukani kuipata haihitaji misuli ni ile yenye vitabu 52.Mengine ni mbwembwe tu kwani kwa maoni yangu imejitosheleza.Nenda kasome Makabayo uone, kama kichwa hakijauma.Ruksa kutokukubaliana katika kukubaliana
 
Hawa ni Mayahudi wa Nahran reiea katika na kuna kundi la Mayahudi wengine walio mfata mtume walikuwa takribani wa tano au wanne. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir ameelezea hili kwa urefu wenye kutosheleza.

Ziada ya maneno kuhusu Uzair na kwanini Mayahudi walichupa mipaka juu ya mtu huyu,kwanza ni kwa sababu alikuwa ameinywa Taurati yote,baada ya kufa kwake wakachupa mipaka juu yake. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir alielezea aya hiyo ya 29 na 30 katika sura ya 9.
Umesoma vizuri nilicho kuuliza??!!
Ninapo chat na ww naona hakika nachat na Allah wakisaidiana na muham mad[emoji23][emoji23]
allah na muham mad Tuwekeeni Ushahidi wa ayat toka Vitabu vya Imani ya Kiyahudi ilipo Andikwa "Uzeir ni Mwana wa Mungu!"

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
. Their view that al-‘Uzayr is the son of God:

This view was narrated from some of the Jews of Madinah, and was narrated from the Isfahani sect of Judaism.

Al-Haafiz Ibn Hajar (may Allah have mercy on him) said: Ibn al-‘Arabi said in Sharh at-Tirmidhi:

The Jews of our own time disavowed the idea that al-‘Uzayr is the son of God, but this does not necessarily mean that this idea did not exist at the time of the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him), because that was revealed at his time, when the Jews were with him in Madinah and elsewhere, and there is no report to suggest that any of them rejected that or commented on it. What appears to be the case is that those who held that view were a group among them, not all of them, based on the fact that those among the Christians who said that the Messiah was the son of God were a group among them, not all of them. So it may be that that group has now become extinct, just as the belief of most of the Jews changed from likening the attributes of Allah to those of human beings to denying His attributes altogether, and the belief of the Christians in the “Son” and the “Father” became symbolic or metaphorical, and not to be taken literally. Glory be to the Controller of the hearts.

End quote from Fath al-Baari (3/359).

Abu Bakr al-Jassaas (may Allah have mercy on him) said:

With regard to the words of Allah, may He be exalted (interpretation of the meaning): “And the Jews say: ‘Uzayr (Ezra) is the son of Allah, and the Christians say: Messiah is the son of Allah”[at-Tawbah 9:30], it was said that what is meant is a group among the Jews who believed in that. The evidence for that is the fact that the Jews heard that at the time of the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) and did not deny it. This is like the view of one who says that “the Khawaarij believe in carrying out massacres and and killing children”, and what he means is a group among them and not all of them. And it is like your saying “Banu Tameem [a tribe] came to me”, and what you mean is some of them. Ibn ‘Abbaas said: That was said by a group among the Jews who came to the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) and said that. They were: Salaam ibn Mashkam, Nu‘maan ibn Awfa, Shaas ibn Qays, and Maalik ibn as-Sayf. So Allah, may He be exalted, revealed this verse. There are none among the Jews who say that now, as far as we know; rather it was a group among them who said that, and they became extinct.

End quote from Ahkaam al-Qur’an (4/299)
Hii khutba ulio post ni Ushahidi kwamba koloani Sio Neno la Mwenyezi Mungu ilaha ni ramli na stori za vijiwe vya ghahawa za baba kasim[emoji706][emoji706]

Embu weka ushaidi wayahudi walisema Ezra ni mwana wa Mungu, kwa wakristo ushaidi upo wazi , embu weka wa Ezra hapa timalize kazi
 
Umesoma vizuri nilicho kuuliza??!!
Ninapo chat na ww naona hakika nachat na Allah wakisaidiana na muham mad[emoji23][emoji23]
allah na muham mad Tuwekeeni Ushahidi wa ayat toka Vitabu vya Imani ya Kiyahudi ilipo Andikwa "Uzeir ni Mwana wa Mungu!"

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Anaweka maelezo mengi yasiyokuwa na ushaidi wowote , hapo kwa uzeir Allah alichemka
 
Umetaka rejea jenga hoja sasa kutokana na hicho nilicho kiweka.
Rejea Yako haina ushaidi wowote ,ni maneno matupu,
Allah aliposema wakristo wanamuita messiah mwana wa Mungu ni kweli ukifungua biblia unakuta
Akasema na wayahudi wanamuita ezra ni mwana wa Mungu
Ndio tunataka ushaidi kutoka kitabu Cha wayahudi kinasema ezra ni mwana wa Mungu, usimuangushe Allah jitaidi tafuta
 
Ahaa
Kumbe umekubali kuwa Majini ni Waislamu na mnajumuika nayo katika ibada za Kiislamu.

Ndio unijibu sasa.
Ni wapi Muhammadi aliamriwa Kuyahubiria Majini.
Yaani awe Mtume wa Majini ?

Sasa ndugu yangu upo radhi kabisa kuchanganyika na Majini katika ibada zote za Kiislamu ?

Yesu alisema Injiri ihubiriwe kwa viumbe vyote lakini sio Majini.
Yakijiingiza Kanisani tuyatoe mara moja kwa kuyakemea.
Sijawahi kuona ndani ya Msikiti mnakemea Mapepo kwakuwa ni nyumba yao ya ibada.

Pale pale kwenye Marko ungesoma kidogo mstari wa mbele unge ona Yesu alivyo waagiza wafuasi wake kuyakemea Mapepo yote.

Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko 16:16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko 16:17
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa [emoji117]pepo; watasema kwa lugha mpya.

Inapofikia Swala la Majini, Waislamu mnayatetea sana. Ati ni ndugu zenu wa kushirikiana nao.

Ona Yesu mwenyewe alivyokuwa anayakemea Majini.

Mathayo 8:28
Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.
Mathayo 8:29
Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?
Mathayo 8:30
Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakilisha.
Mathayo 8:31
Wale pepo wakamsihi, wakisema, Ukitutoa, tuache twende, tukaingie katika lile kundi la nguruwe.
Mathayo 8:32
Akawaambia, Nendeni. Wakatoka, wakaingia katika nguruwe; na kumbe! Kundi lote wakatelemka kwa kasi gengeni hata baharini, wakafa majini.

Marko 1:23
Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti,
Marko 1:24
akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
Marko 1:25
Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.
Marko 1:26
Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.

[emoji117]Agano la Kale pia Mungu anawakataza watu kuwa shirika na Majini.

Mambo ya Walawi 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Mitume na Manabii wote hakuna aliyewahi kufanya shirika na Majini iwe katika Ibada au kawaida.

Muhammadi aliruhusiwa na nani kuyashirikisha Majini katika Dini ya Kiislamu ?

Waislamu ni kweli bado mpo radhi kushirikiana na Majini katika Dini ?

Wakati wa ibada Msikitini kunakuwa na Mapepo mengi sana eti wanakuja kutubu kwa [emoji117]Mola wao Mlezi,
ha...ha..ha..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mola wao Mlezi sijui ndio nani, ambaye hana mke wala mwana

72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

72:2 - Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

72:3 - Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

72:4 - Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.

72:5 - Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.

72:6 - Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini;

Poleni sana, mmeingizwa chaka na Muhammadi.

Ukweli ni kwamba Majini ndiyo yaliyo mtumbukiza Muhammadi kwenye Dini yao ya Kiislamu.
Ungekuwa peke yako unayesoma hapa ningekupa ushahidi ungebaki na Butwaa na kuondoka haraka huko kwenye Kilinge cha Majini.

Kwa hivyo Marko 16:15 ni uongo au vipi?
 
Back
Top Bottom