Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Nimecheka sana , kwa hiyo waislamu wenzako walikosa neno hili ambayo wewe umeliwekwa wao wakaandika shin au Mundi, hongera Sana nakushauri toa translation Yako ya koran kwa English na swahili
Utacheka sana mgalatia. Ibn Abbas umtumii akufafanulie na hiyo. Mbona hii translation unaikataa? Au unachagua View attachment 1855121
😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Basi tumemaliza , stupidity is amazing

Hii inachekesha ina huzunisha. Maana makafiri hadi kitabu chenu mnakufuru.

Wakorintho 1:25

Kwa maana huu ‘ujinga’ wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ni Huyu mliyemweka kwenye msalaba. Alikufa kwa akili ya dhambi zenu?

View attachment 1855124
Ukienda Msikitini, kama kawaida yako.
Salimia kushoto, salimia kulia.
Salimia Majini.

Hivi ni lini Muhammadi aliambiwa awe Mtume wa Majini ?

Inayumnikanaje mnaenda kuswali ndani ya Msikiti huku ukiwa umejaa Majini ?

Kuna usalama hapo....!

Ulishawahi kutafakari kuwa Muhammadi aliyakaribisha Majini yote Msikitini ?

Msikiti ni Kilinge cha Majini kama huna habari.

Tafakari japo kidogo basi
 
Hujajibu maswali niliyo kuuliza.

Hakuna dhambi ulilo onyesha. Kwamba una kataa Mayahudi hawakusema ya kuwa Uzeir ni mwana Mungu ?

Unajua kuna muda naona wewe una matatizo ya akili kabisa. Kwamba Wakristo hamsemi ya kuwa Masihi ni mwana wa Mungu ? Dhambi liko wapi ?

Ungekuwa na akili timamu tu,kwa aya hiyo ungeamini ukweli wa Mtume,sababu hakuna la uongo alilosema wala dhambi hiyo hana. Niambie Wakristo hamsemi Yesu ni mwana wa Mungu ?
Allah kaomba Mungu awaangamize wakristo kwa kusema masihi ni mwana wa Mungu, mpaka leo wakristo wapo

Kuna hii tena allah katishia wakristo na wayahudi waamini aliyoteremsha la sivyo atageuza nyuso zetu mbele nyuma , mpaka leo hakuna anaeamini na bado nyuso zetu zipo kawaida

Koran 4:47. Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato........
 
Nacheka sana.

Ungekuwa unadoma huku unatafakari usingeendelea kurudia maswali ambayo nimeshakujibu.

Yaani una haha sasa.
 
Natafakari , kuambiwa nitageuzwa uso mbele nyuma na ameshindwa miaka zaidi ya 1400 sasa.

Koran 4:47. Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato........

Unajua laikini Allah aliwafanya nini watu wa sabato?
 
Acha kuikosea adabu AKILI kijana,wenye kutafakari wote hawawezi kurudia rudia hoja kama wewe.

Kama ulishindwa kustaajabu aya ya kwanza katika sura ya 66, ina muhusu Mtume,na Mtume ameisema kama ilivyo,huku ni muhali kutafakari kijana.

Kijana Akili ina maajabu yake ndiyo maana tunaweza kutofautisha mwenye akili na asiye kuwa na akili,mzandiki na faasiki,mjinga na mpumbavu.
 
Sawa tuendelee
embu jibu kwa nini Allah anatoa unabii ambao mpaka leo haujatimia

Nani aliye kwambia Mayahudi hawajalaaniwa ? Walishalaaniwa kwa ulimi wa Yesu na Ulimi wa Dawood.

Hii laana ni yenye kuendelea.

Rejea Tafsir Ibn Kathiir kwa maelezo zaidi.
 
Acha kuikosea adabu AKILI kijana,wenye kutafakari wote hawawezi kurudia rudia hoja kama wewe.

Kama ulishindwa kustaajabu aya ya kwanza katika sura ya 66, ina muhusu Mtume,na Mtume ameisema kama ilivyo,huku ni muhali kutafakari kijana.

Kijana Akili ina maajabu yake ndiyo maana tunaweza kutofautisha mwenye akili na asiye kuwa na akili,mzandiki na faasiki,mjinga na mpumbavu.
Ulicho andika ni Ushahidi kwamba quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya Kuwa REJEA Thabiti!; labda kwa watunzi wa Mashairi!
Nakupa mfano huu
[emoji1370][emoji1370]
Allah Subhanahu Wa Ta'ala alisema:

خَتَمَ اللَّهُ عَلٰى قُلُوبِهِمْ وَعَلٰى سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلٰىٓ أَبْصٰرِهِمْ غِشٰوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَاب
"Mwenyezi Mungu ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na masikio yao. Na juu ya maono yao kuna pazia. Nao watapata adhabu kubwa."
Al-Baqara 2:7

Kuangalia aya hapo juu ni nani wa kulaumiwa kwa wasio Amini wakati allah ndio alie sababisha watu wasiamini?! ambaye ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na vizibo?

Kama Unasema qurani ni Rejea Thabiti basi Tuthibitishie kama Ilivyo sheria ya Ushahidi Inavyo Elekeza kwenye Torati Ambayo Unaiamini!
[emoji1370][emoji1370]
KUM. 19:15 Shahidi mmoja asimwinukie mtu awaye yote kumshuhudia kwa uovu wo wote, wala kwa dhambi yo yote, katika makosa akosayo yo yote; jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nani aliye kwambia Mayahudi hawajalaaniwa ? Walishalaaniwa kwa ulimi wa Yesu na Ulimi wa Dawood.

Hii laana ni yenye kuendelea.

Rejea Tafsir Ibn Kathiir kwa maelezo zaidi.
Kuwa makini , hapa Allah kasema atawabadili uso uende nyuma kwa nini Allah anatishia vitu hawezi fanya na kwa nini unabii wake haujatimia , izo laana uzitaje tu, hapa hatupigi story za ghaawa weka vipi hapa achana na mambo ya rejea
Narudia tena achana na rejea weka hapa
Mtu anasema rejea jua anacho ongea ni uongo
Koran 4:47. Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato........
 
Nani aliye kwambia Mayahudi hawajalaaniwa ? Walishalaaniwa kwa ulimi wa Yesu na Ulimi wa Dawood.

Hii laana ni yenye kuendelea.

Rejea Tafsir Ibn Kathiir kwa maelezo zaidi.
Hawa Wayahudi walisema wapi Uzeri ni Mwana wa Mwenyezi Mungu kwenye Vitabu vyao Tuwekee Ushahidi wa ayat[emoji101][emoji101]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ulicho andika ni Ushahidi kwamba quran Haina SIFA wala MAMLAKA ya Kuwa REJEA Thabiti!; labda kwa watunzi wa Mashairi!
Nakupa mfano huu
[emoji1370][emoji1370]
Allah Subhanahu Wa Ta'ala alisema:

خَتَمَ اللَّهُ عَلٰى قُلُوبِهِمْ وَعَلٰى سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلٰىٓ أَبْصٰرِهِمْ غِشٰوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَاب
"Mwenyezi Mungu ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na masikio yao. Na juu ya maono yao kuna pazia. Nao watapata adhabu kubwa."
Al-Baqara 2:7

Kuangalia aya hapo juu ni nani wa kulaumiwa kwa wasio Amini wakati allah ndio alie sababisha watu wasiamini?! ambaye ameweka muhuri juu ya nyoyo zao na vizibo?

Kama Unasema qurani ni Rejea Thabiti basi Tuthibitishie kama Ilivyo sheria ya Ushahidi Inavyo Elekeza kwenye Torati Ambayo Unaiamini!
[emoji1370][emoji1370]
KUM. 19:15 Shahidi mmoja asimwinukie mtu awaye yote kumshuhudia kwa uovu wo wote, wala kwa dhambi yo yote, katika makosa akosayo yo yote; jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe hujawahi kuwa na hoja,una changanya changanya habari.

Nilikupa kazi huko nyuma kwanza mthibitishe Ukweli wa maaandiko yenu. Kuanzia Injili zenu zote mpaka hili Kumbukumbu la Torati. Hamjaweza mpaka muda huu.

Hao walio pigwa mihuri ni baada ya wao kuikataa haki,na aallah anawaelekezea huko huko mnapoe pataka,na ila mkitubia basi Allah ni mwingi wa kusamehe. Qur'aan tamu sana.

Yaani katika Muujiza mkubwa alio kuja nao Mtume wa Allah ni hii Qur'aan.
 
Kuwa makini , hapa Allah kasema atawabadili uso uende nyuma kwa nini Allah anatishia vitu hawezi fanya na kwa nini unabii wake haujatimia , izo laana uzitaje tu, hapa hatupigi story za ghaawa weka vipi hapa achana na mambo ya rejea
Narudia tena achana na rejea weka hapa
Mtu anasema rejea jua anacho ongea ni uongo
Koran 4:47. Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato........
Hili mbona nimeshalimaliza huko juu. Je umerejea Tafsiri Ibn Kathiir ukasoma ? Kwanza kabisq kupitia aya hiyo ya 47 katika sura ya 4. Alisilimu mmoja wa makufari aliye kuwa mjuzi wa habari na historia za Watu wa Israili aliye itwa Ka'ab al Ahbari.

Ibn Abbas anafaisiri maana ya kugeuzwa nyuso zenu ni kufanywa vipofu kwa maana ya kutosikia neno la Allah,baada ya nyinyi wenye wenyewe kulikataa hii ni laana,kama walivyo laaniwa walio pita kwa kufanywa vipofu wa mioyo baada ya wao kuikataa haki. Kisha rejea maneno ya Imamu Mujahiid juu ya aya hiyo.
 
Hawa Wayahudi walisema wapi Uzeri ni Mwana wa Mwenyezi Mungu kwenye Vitabu vyao Tuwekee Ushahidi wa ayat[emoji101][emoji101]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hawa ni Mayahudi wa Nahran reiea katika na kuna kundi la Mayahudi wengine walio mfata mtume walikuwa takribani wa tano au wanne. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir ameelezea hili kwa urefu wenye kutosheleza.

Ziada ya maneno kuhusu Uzair na kwanini Mayahudi walichupa mipaka juu ya mtu huyu,kwanza ni kwa sababu alikuwa ameinywa Taurati yote,baada ya kufa kwake wakachupa mipaka juu yake. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir alielezea aya hiyo ya 29 na 30 katika sura ya 9.
 
Wewe hujawahi kuwa na hoja,una changanya changanya habari.

Nilikupa kazi huko nyuma kwanza mthibitishe Ukweli wa maaandiko yenu. Kuanzia Injili zenu zote mpaka hili Kumbukumbu la Torati. Hamjaweza mpaka muda huu.

Hao walio pigwa mihuri ni baada ya wao kuikataa haki,na aallah anawaelekezea huko huko mnapoe pataka,na ila mkitubia basi Allah ni mwingi wa kusamehe. Qur'aan tamu sana.

Yaani katika Muujiza mkubwa alio kuja nao Mtume wa Allah ni hii Qur'aan.
Huwa point zako hazina nguvu kabisa, ukibanwa unaanza thibitisha maandiko , achana na ayo mambo jikite kwenye mada , na unapo jibu weka rejea hapa hapa sio kusema mtu akasome
 
Hili mbona nimeshalimaliza huko juu. Je umerejea Tafsiri Ibn Kathiir ukasoma ? Kwanza kabisq kupitia aya hiyo ya 47 katika sura ya 4. Alisilimu mmoja wa makufari aliye kuwa mjuzi wa habari na historia za Watu wa Israili aliye itwa Ka'ab al Ahbari.

Ibn Abbas anafaisiri maana ya kugeuzwa nyuso zenu ni kufanywa vipofu kwa maana ya kutosikia neno la Allah,baada ya nyinyi wenye wenyewe kulikataa hii ni laana,kama walivyo laaniwa walio pita kwa kufanywa vipofu wa mioyo baada ya wao kuikataa haki. Kisha rejea maneno ya Imamu Mujahiid juu ya aya hiyo.
Achana na rejea weka hapa , unazingua kijana Kama hujui usitajetaje majina
 
Huwa point zako hazina nguvu kabisa, ukibanwa unaanza thibitisha maandiko , achana na ayo mambo jikite kwenye mada , na unapo jibu weka rejea hapa hapa sio kusema mtu akasome
Mwenzako nimempa stahiki yake,na hicho ni kibwagizo tu ndiyo maana mbele chini nikamjibu. Hakuna wa kunibana humu,kwanza sababu nyinyi si wasomaji.

Tuendelee....
 
Hawa ni Mayahudi wa Nahran reiea katika na kuna kundi la Mayahudi wengine walio mfata mtume walikuwa takribani wa tano au wanne. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir ameelezea hili kwa urefu wenye kutosheleza.

Ziada ya maneno kuhusu Uzair na kwanini Mayahudi walichupa mipaka juu ya mtu huyu,kwanza ni kwa sababu alikuwa ameinywa Taurati yote,baada ya kufa kwake wakachupa mipaka juu yake. Rejea katika Tafsiri ya Ibn Kathiir alielezea aya hiyo ya 29 na 30 katika sura ya 9.
Achana na rejea , weka hapa unapotezea watu mda
 
Achana na rejea weka hapa , unazingua kijana Kama hujui usitajetaje majina
Nacheka sana,kuhusu marejeo hilo rahisi sana mzee.

Na copy na ku paste tu. Soma hii.

Allah commands the People of the Scriptures to believe in what He has sent down to His servant and Messenger, Muhammad , the Glorious Book that conforms to the good news that they already have about Muhammad . He also warns them,

﴿مِّن قَبْلِ أَن نَّطْمِسَ وُجُوهاً فَنَرُدَّهَا عَلَى أَدْبَـرِهَآ﴾​

(before We efface faces and turn them backwards) Al-`Awfi said that Ibn `Abbas said that `effacing' here refers to blindness,

﴿فَنَرُدَّهَا عَلَى أَدْبَـرِهَآ﴾​

(and turn them backwards) meaning, We put their faces on their backs, and make them walk backwards, since their eyes will be in their backs. Similar was said by Qatadah and `Atiyah Al-`Awfi. This makes the punishment even more severe, and it is a parable that Allah set for ignoring the truth, preferring the wrong way and turning away from the plain path for the paths of misguidance. Therefore, such people walk backwards. Similarly, some said that Allah's statement,

﴿إِنَّا جَعَلْنَا فِى أَعْنـقِهِمْ أَغْلَـلاً فَهِىَ إِلَى الاٌّذْقَـنِ فَهُم مُّقْمَحُونَ وَجَعَلْنَا مِن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ سَدّاً﴾​

(Verily, We have put on their necks iron collars reaching to the chins, so that their heads are raised up. And We have put a barrier before them) that is a parable that Allah gave for their deviation and hindrance from guidance.

Mwisho wa kunukuu.
 
Mwenzako nimempa stahiki yake,na hicho ni kibwagizo tu ndiyo maana mbele chini nikamjibu. Hakuna wa kunibana humu,kwanza sababu nyinyi si wasomaji.

Tuendelee....
Weka rejea ,huna uwezo ndio maana unataja rejea ukijua wazi ni ngumu mtu kwenda kusoma , huu ni mtandao unajitegema unapo ongea kitu weka ushahidi au weka Link tusome
 
Back
Top Bottom