mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,174
Ndio sababu alibaka [emoji83][emoji83]Hapana. Brian Deacon yule kwenye movie hadi picha yake tunaweka kwenye makanisa.View attachment 1850401

Wapi kwenye aya inasema alijigeuza moto? Uthibitishe hilo kwanza ndiyo tuhamie huku.Ushaidi nilisha weka nenda kasome Koran 27:
- Kama anauwezo wa kujibadili maumbo mbalimbali nini kinakufanya useme hawezi kujibadili kuwa moto, Je unajua ana maumbo mangapi mpaka ukatae la moto,
- Kumbuka kukataa maumbo ya allah sio tu wewe mpaka siku ya mwisho akiwajia na umbo lingine ambalo hamlijui mtamkataa kabisa,
- Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
- Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
- Then Allah will come to then in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
Abu Said Al-Khudri na Brian Deacon itakuwa ndiyo wameandika hiyo.Ndio sababu alibaka [emoji83][emoji83]View attachment 1850424
Mathayo alikuwa mmoja kati ya Wanafunzi wa Yesu Kristo.Lete uthibitisho wa Marko, Luka, Mathayo na Yohana walikuwa mashuhuda wa matukio hata kwa rejea ya kubuni.
Unataka kuniambia walikuwa wanaandika kwa kushuhudia na sio roho mtakatifu tena?
Si unaona swali nililomuuliza mwenzako kuhusu kusulubiwa hadi kumuwekea ushahidi wa video.Ushaidi nilisha weka nenda kasome Koran 27:
- Kama anauwezo wa kujibadili maumbo mbalimbali nini kinakufanya useme hawezi kujibadili kuwa moto, Je unajua ana maumbo mangapi mpaka ukatae la moto,
- Kumbuka kukataa maumbo ya allah sio tu wewe mpaka siku ya mwisho akiwajia na umbo lingine ambalo hamlijui mtamkataa kabisa,
- Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
- Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
- Then Allah will come to then in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
Naona sasa umeamua kuleta uongo sasa PhD in Medicine. Mwisho utakuja kusema Marko ana PhD ya Computer Science.Mathayo alikuwa mmoja kati ya Wanafunzi wa Yesu Kristo.
Luka ni Msomi PHD in Medicine, Mtafiti Nguli.
Wengine tafuta walikuwa wanahusika vipi na Injiri ya Yesu Kristo.
Watu muhimu walioandikwa kwenye Biblia ni watu walioishi na sio wa kufikirika.Naona sasa umeamua kuleta uongo sasa PhD in Medicine. Mwisho utakuja kusema Marko ana PhD ya Computer Science.
Alisoma chuo gani? Uweke hiyo reference haya matango pori nani amekulisha kwamba PhD zilikuwepo enzi hizo? Hata wakristo wenzako hawakubali uongo wako huu.Watu muhimu walioandikwa kwenye Biblia ni watu walioishi na sio wa kufikirika.
Historia zao Zipo.
Sasa wewe unakanushaje jambo ambalo hulifahamu ?
Luka ni Dactari ki Professional
Soma kijana.
Ndio maana Muhammadi aliambiwa
"Soma ewe Mtume"
Alisoma chuo gani? Uweke hiyo reference haya matango pori nani amekulisha kwamba PhD zilikuwepo enzi hizo? Hata wakristo wenzako hawakubali uongo wako huu.
Watu muhimu walioandikwa kwenye Biblia ni watu walioishi na sio wa kufikirika.
Historia zao Zipo.
Sasa wewe unakanushaje jambo ambalo hulifahamu ?
Luka ni Dactari ki Professional
Alijulikana kama
Professor Luke.
Soma kijana.
Ndio maana Muhammadi aliambiwa
"Soma ewe Mtume"
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............ 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,Wapi kwenye aya inasema alijigeuza moto? Uthibitishe hilo kwanza ndiyo tuhamie huku.
Yaani wewe hata ku Google huwezi kabisa.Alisoma chuo gani? Uweke hiyo reference haya matango pori nani amekulisha kwamba PhD zilikuwepo enzi hizo? Hata wakristo wenzako hawakubali uongo wako huu.
@Gavana,kama una dukuduku karibu uulize swali.
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............ 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
unataka kusema Allah alitumia simu kama ulivyosema mwanzoni , na moto uliwezaje kusema "Hakika Mimi ndiye Allah" huu muto mbona umefanya shirk
Turudi kwenye kujibadili maumbo, je kati ya maumbo ya Allah hakuna umbo la moto
- Kumbuka kukataa maumbo ya allah sio tu wewe mpaka siku ya mwisho akiwajia na umbo lingine ambalo hamlijui mtamkataa kabisa,
- Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
- Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
- Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
We unaona Mussa ameona moto alipokuwa na wenzake. Akawapa taarifa ya kwenda kwamba anaweza kuleta habari au kuwaletea kijinga cha moto. Alipofika ndiyo akasikia sauti ikinadiwa na wala haijasema akasikia moto unasema au Mungu mfano wa moto.27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............ 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
unataka kusema Allah alitumia simu kama ulivyosema mwanzoni , na moto uliwezaje kusema "Hakika Mimi ndiye Allah" huu muto mbona umefanya shirk
Turudi kwenye kujibadili maumbo, je kati ya maumbo ya Allah hakuna umbo la moto
- Kumbuka kukataa maumbo ya allah sio tu wewe mpaka siku ya mwisho akiwajia na umbo lingine ambalo hamlijui mtamkataa kabisa,
- Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
- Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
- Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
Sasa hivi amepanda kuwa Professor sio Dr tena.Yaani wewe hata ku Google huwezi kabisa.
Loh...!
Ni ajabu na Kweli.
Unashindwa kuitafuta hata Historia ya Professor Luke Mtandaoni.
Mbona mliambiwa mtafute elimu hadi Uchina ?
Someni vijana wa Kiislamu.
Someni Elimu Dunia.
ww hata muham mad akija leo kukupa darsa utambishiaWapi kwenye aya inasema alijigeuza moto? Uthibitishe hilo kwanza ndiyo tuhamie huku.
SomaSasa hivi amepanda kuwa Professor sio Dr tena.
Nimeshamaliza wewe endelea kubisha , endelea kuelemika 28:30.....aliitwa........kutoka kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni AllahWe unaona Mussa ameona moto alipokuwa na wenzake. Akawapa taarifa ya kwenda kwamba anaweza kuleta habari au kuwaletea kijinga cha moto. Alipofika ndiyo akasikia sauti ikinadiwa na wala haijasema akasikia moto unasema au Mungu mfano wa moto.
Nakupa mfano wa aya. Ulete andiko dhahiri kama hili:
Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(19:17)
Masuala ya ujanja hatutaki. We hauoni mi nikiuliza swali hakuna tafsiri za ujanja ujanja.