Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Unavyoambiwa Mungu anaweza kila kitu, haina maana kuhusisha na kila kitu. Mfano, kupigwa na wanadamu, kujigeuza kiumbe fulani n.k. Unakufuru dhahiri.
Mungu Anakujibu kafir ww unaejifanya mshauri wa Mungu
[emoji116][emoji116]
ISA. 55:8-10 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;

Kama mungu wako kuna kitu hawezi, SISI WAKRISTO MUNGU WETU IKIMPENDEZA HAKUNA ASICHO KIWEZA[emoji123][emoji123][emoji106]

huyo kinyonga ana uwezo wa kujibadili ili awe kwenye Mazingira Rafiki!
Sasa Mwenyezi Mungu KAJIDHIHIRISHA KWETU KTK UMBILE RAFIKI NA BORA LA KIBINADAU! ww kwa kufuru zako unaibua domo lako unatamka HAWEZI![emoji13]
Angejidhihirisha kama ng'ombe na kuanza Kufundisha hata ww ungekimbia!
 
Mungu Anakujibu kafir ww unaejifanya mshauri wa Mungu
[emoji116][emoji116]
ISA. 55:8-10 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;

Kama mungu wako kuna kitu hawezi, SISI WAKRISTO MUNGU WETU IKIMPENDEZA HAKUNA ASICHO KIWEZA[emoji123][emoji123][emoji106]
Kama kupigana mieleka na Yakobo? We jamaa ukafiri wako umezidi kupitiliza.
 
Kumbe huwa unapenda kumsikiliza David Wood? Angalia mdahalo huu na inayofatia na wenzake wawili uone uongo wao:
Ndio
Mimi nawasiliza Wahadhiri wote wa Dini na imani mbali mbali. Akina Ali Dawar, Zakir Naik, Christian Prince, Imam Tawhid, Apostate Prophet, Rob Christian na wengineo. Pamoja na David Wood.
Wahadhiri wa Kiislamu huwa wanachemka mara kwa mara kama akina Mohammed Hijab na Zakir Naik hasa inapofika swala la kumtetea Allah na Muhammadi.
Hijab amekiri kuwa Allah anaswali kama kawaida.
 
Sikiliza hiyo. Shida yako wewe unasikiliza debate kwa ushabiki. Nimekubana na swali hapa hadi umechemka. Iangalie hiyo walikuwa watatu mwisho wa siku David Wood akawa anarudi mwenyewe.
Uzuri wake huyo Uthman akawa anamkumbusha ya nyuma. Fuatilia channel ya "FaridResponds" and "One Message Foundation" utapata yote maswali yanavyojibiwa na uzushi unavyokuwa refuted.
Si unaona we nilivyokuuliza swali dogo ulivyochemka hapa. Ukasema mara kwenye biblia yangu ya Kiswahili haipo, mara msingi wa ukristo Yesu alifia msalabani. Wakati Yesu aliuliwa kwanza na kutundikwa.

Matendo 10:39​

Nasi tu mashahidi wa mambo yote aliyoyatenda katika nchi ya Wayahudi na katika Yerusalemu; ambaye walimwua wakamtundika mtini.

Kijana jitahidi ufanye kutafuta makosa yote yatakuwa "refuted". Katika ubishi utanishinda, mi huwa natoa "fact". Ukibisha aya hii, nakuwekea na uthibitisho na sio tafsiri zenu
 
Kama kupigana mieleka na Yakobo? We jamaa ukafiri wako umezidi kupitiliza.
ktk kupinga ilimu allah na babake kasimu ni kafir wa ukweli[emoji123][emoji106]
tb-vi.gif
 
Wapi kajigeuza moto? Au kwenye kitabu chenu mnachosoma aya Kwa kurukaruka.
Allah sio kuwa moto tu anaweza kujibadili shape (Umbo) lake atakavyo , itafikia maali waislamu mtamkataa na umbo jipya
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
 
Sikiliza hiyo. Shida yako wewe unasikiliza debate kwa ushabiki. Nimekubana na swali hapa hadi umechemka. Iangalie hiyo walikuwa watatu mwisho wa siku David Wood akawa anarudi mwenyewe.
Uzuri wake huyo Uthman akawa anamkumbusha ya nyuma. Fuatilia channel ya "FaridResponds" and "One Message Foundation" utapata yote maswali yanavyojibiwa na uzushi unavyokuwa refuted.
Si unaona we nilivyokuuliza swali dogo ulivyochemka hapa. Ukasema mara kwenye biblia yangu ya Kiswahili haipo, mara msingi wa ukristo Yesu alifia msalabani. Wakati Yesu aliuliwa kwanza na kutundikwa.

Matendo 10:39​

Nasi tu mashahidi wa mambo yote aliyoyatenda katika nchi ya Wayahudi na katika Yerusalemu; ambaye walimwua wakamtundika mtini.

Kijana jitahidi ufanye kutafuta makosa yote yatakuwa "refuted". Katika ubishi utanishinda, mi huwa natoa "fact". Ukibisha aya hii, nakuwekea na uthibitisho na sio tafsiri zenu
Nawasikiliza kishabiki vipi tena.
Mi nimekwambia Wahadhiri wa Kiislamu wanachemsha linapofika swala la kumtetea Allah na Muhammadi.

Matendo ya Allah, na Muhammadi yanatia shaka kukaa katika nyazifa zao za U-Mungu na U-Mtume.

Swali lako la muda wa Kusulubiwa na rangi ya mavazi nimekwambia sio maswala ya msingi ktk Ukristo kama ambavyo hayana msingi ktk Uislamu wenu.

Iwe Yesu alisurubiwa saa tatu au saa tisa swala la msingi hapo ni

[emoji117]Yesu alisubiwa msalabani

Manabii na Mitume wote walioko ktk Biblia hawajahi kutofautiana ktk maswala ya Msingi kama hilo la Yesu kusulubiwa Msalabani.

Mfano katika Agano la Kale hakuna Manabii waliotofautiana katika

Amri Kumi za Mungu.

Pia ktk Agano Jipya
Misingi yote niliyokutajia pale juu yaani kuzaliwa kwa Yesu hadi kupaa Kwake na Kurudi siku ya mwisho hakuna walipotofautiana.

Tofauti na Kitabu chenu.

Allah yeye mwenyewe anasema anaswali, ( kati yenu wengine wanakubali wengine wanakanusha)

Muhammadi anapora kwa nguvu mke wa mtoto wake ( kati yenu wengine wanakubali wengine wanakanusha)

Anakaoa katoto kachanga ka miaka sita ( wengine mnakubali wengine mnakanusha)

Mpaka sasa hamjakubaliana mkanushe lipi mkubali lipi.
Hadithi mmeziandika wenyewe za Al-Bukhari nk.
Huyo huyo Bukhari pengine mnamkanusha pengine mnamkubali.
Unapokanusha wewe mwenzako anakubali.

Bado hadi sasa hakuna misingi mnayosimamia.
Kila mtu anasema la kwake.
 
Allah sio kuwa moto tu anaweza kujibadili shape (Umbo) lake atakavyo , itafikia maali waislamu mtamkataa na umbo jipya
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
Kwenye kujigeuza moto naona umeshindwa kuleta uthibitisho.
 
Kama kupigana mieleka na Yakobo? We jamaa ukafiri wako umezidi kupitiliza.
Ha..ha...ha
Kwahiyo Mungu akitaka kucheza na Binadamu hawezi.?

Hivi wewe huwezi kucheza na mtoto wako na ukajifanya anakuangusha yaani anakuzidi nguvu ?

Hebu basi mtuambie habari za Allah maana kila kitu yeye hawezi.

Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo yeye anampenda sana Binadamu hadi anamwita mtoto wake.

Kutoka 4:22
Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

Ona hapo Mungu anamwita Israeli mwanawe.
Kumbuka hapo Yakobo ndiye Israeli.

Sasa kosa liko wapi Mungu kucheza na Mwanaye Yakobo ambaye ndiye Israeli na kumwachia ushindi.

Ndio maana tunasema, Allah sio Yehova.
Allah hana Mwana kwakuwa hana Mke.

Hao wanatofautiana kalibu kila kitu.
 
Nawasikiliza kishabiki vipi tena.
Mi nimekwambia Wahadhiri wa Kiislamu wanachemsha linapofika swala la kumtetea Allah na Muhammadi.

Matendo ya Allah, na Muhammadi yanatia shaka kukaa katika nyazifa zao za U-Mungu na U-Mtume.

Swali lako la muda wa Kusulubiwa na rangi ya mavazi nimekwambia sio maswala ya msingi ktk Ukristo kama ambavyo hayana msingi ktk Uislamu wenu.

Iwe Yesu alisurubiwa saa tatu au saa tisa swala la msingi hapo ni

[emoji117]Yesu alisubiwa msalabani

Manabii na Mitume wote walioko ktk Biblia hawajahi kutofautiana ktk maswala ya Msingi kama hilo la Yesu kusulubiwa Msalabani.

Mfano katika Agano la Kale hakuna Manabii waliotofautiana katika

Amri Kumi za Mungu.

Pia ktk Agano Jipya
Misingi yote niliyokutajia pale juu yaani kuzaliwa kwa Yesu hadi kupaa Kwake na Kurudi siku ya mwisho hakuna walipotofautiana.

Tofauti na Kitabu chenu.

Allah yeye mwenyewe anasema anaswali, ( kati yenu wengine wanakubali wengine wanakanusha)

Muhammadi anapora kwa nguvu mke wa mtoto wake ( kati yenu wengine wanakubali wengine wanakanusha)

Anakaoa katoto kachanga ka miaka sita ( wengine mnakubali wengine mnakanusha)

Mpaka sasa hamjakubaliana mkanushe lipi mkubali lipi.
Hadithi mmeziandika wenyewe za Al-Bukhari nk.
Huyo huyo Bukhari pengine mnamkanusha pengine mnamkubali.
Unapokanusha wewe mwenzako anakubali.

Bado hadi sasa hakuna misingi mnayosimamia.
Kila mtu anasema la kwake.
Basi tuseme kitabu kina mashaka hiko. Kitabu cha Mwenyezi Mungu hakitakiwi kuwa na "single contradiction". Umebaki hayo sio masuala ya msingi bla bla kibao. We hauoni utata kwenye tukio la kusulubiwa mnaloamini unasema haijalishi hata wakosee vipi kwa kuwa unaamini.
Umekubali kwamba biblia ina makosa ambayo hayajibiki. Sio hayo ya kusulubiwa tu kuna makosa kwenye ukoo, kufufuka na mengine. Nikupe ushahidi au hauna na elimu ya biblia?
 
Kama Injiri ingeandikwa maneno sawa sawa.
Yaani alivyo andika Marko ifanane Aya kwa Aya, nukta kwa nukta na Yohana, Luka na Mathayo.

( nadhani waislamu ndio mnapenda ingekuwa hivyo)

Ingeonekana kuwa Wandishi walikaa pamoja na kupanga nini waandike, nini waache.
Pia ingechukuliwa Injiri moja tu kama ya Mathayo basi Mathayo.

Hizo tofauti ambazo sio msingi wa mafundisho ndizo zilizoipa nguvu Injiri.
Zilithibitisha kuwa, kila mwandishi wa Injiri aliandika ki Vyake, kwa Shuhuda Zake Binafsi.

Yaani kila aliyeandika mambo yasiyo ya Msingi yameandikwa kutokana na shuhuda BINAFSI za mwandishi.

Ila yale Mambo ya Msingi katika maagizo ya Mungu. Yanafanana Nukta kwa Nukta, Aya kwa Aya. Kwakuwa yaliongozwa na Roho Mtakatifu Mwenyewe.

Kama Luka aliona Mwenyewe Vazi la Yesu lilikuwa Jekundu na Mathayo Zambarao, hayo ni mambo ya uoni binafsi wa macho tu.
Kama walitofautiana muda wa tukio au matukio, ni swala la binafsi la shuhuda ya mwandishi

Ila mafundisho ya Msingi wanabaki pale pale na hakuna kutofautiana katika Shuhuda za Manabii na Mitume na Wandishi wote wa Injiri ya Yesu Kristo.
Ndio maana Injiri hizo nne zilichukuliwa na kuwekwa katika mafundisho ya msingi ya Ukristo,
kwakuwa zimekizi vigezo kwa kuanisha Misingi ya Ukristo.

Ukitembelea Israeli Leo Ushuhuda wote wa Msingi wa Mafundisho ya Waandishi wa Injiri utaukuta.
Aliposulubiwa Yesu papo Golgotha.
Alipohukumiwa papo
Majina ya walioshiriki yapo
Kaburi la Yesu lipo
Ukoo wa Yesu Upo.
[emoji117]Sasa shida yenu iko wapi ?

Au mnataka Historia ya Waisraeli tusimuliwe na Muhammadi raia wa Saudi Arabia aliyezaliwa miaka 500 baada ya Kristo, na kumwamini ?
Ati kwakuwa alitamka sentensi moja tu.
" Wamaa Nkataluhu, Wamaa Nsulubuhu"
basi aaminike kwa hiyo sauti.

Hakuna Contradictions katika mafundisho ya Msingi ya Agano la Kale na Jipya.
 
Kwenye kujigeuza moto naona umeshindwa kuleta uthibitisho.
Ushaidi nilisha weka nenda kasome Koran 27:
  • Kama anauwezo wa kujibadili maumbo mbalimbali nini kinakufanya useme hawezi kujibadili kuwa moto, Je unajua ana maumbo mangapi mpaka ukatae la moto,
  • Kumbuka kukataa maumbo ya allah sio tu wewe mpaka siku ya mwisho akiwajia na umbo lingine ambalo hamlijui mtamkataa kabisa,
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  • Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to then in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
 
Kama Injiri ingeandikwa maneno sawa sawa.
Yaani alivyo andika Marko ifanane Aya kwa Aya, nukta kwa nukta na Yohana, Luka na Mathayo.

( nadhani waislamu ndio mnapenda ingekuwa hivyo)

Ingeonekana kuwa Wandishi walikaa pamoja na kupanga nini waandike, nini waache.
Pia ingechukuliwa Injiri moja tu kama ya Mathayo basi Mathayo.

Hizo tofauti ambazo sio msingi wa mafundisho ndizo zilizoipa nguvu Injiri.
Zilithibitisha kuwa, kila mwandishi wa Injiri aliandika ki Vyake, kwa Shuhuda Zake Binafsi.

Yaani kila aliyeandika mambo yasiyo ya Msingi yameandikwa kutokana na shuhuda BINAFSI za mwandishi.

Ila yale Mambo ya Msingi katika maagizo ya Mungu. Yanafanana Nukta kwa Nukta, Aya kwa Aya. Kwakuwa yaliongozwa na Roho Mtakatifu Mwenyewe.

Kama Luka aliona Mwenyewe Vazi la Yesu lilikuwa Jekundu na Mathayo Zambarao, hayo ni mambo ya uoni binafsi wa macho tu.
Kama walitofautiana muda wa tukio au matukio, ni swala la binafsi la shuhuda ya mwandishi

Ila mafundisho ya Msingi wanabaki pale pale na hakuna kutofautiana katika Shuhuda za Manabii na Mitume na Wandishi wote wa Injiri ya Yesu Kristo.
Ndio maana Injiri hizo nne zilichukuliwa na kuwekwa katika mafundisho ya msingi ya Ukristo,
kwakuwa zimekizi vigezo kwa kuanisha Misingi ya Ukristo.

Ukitembela Israeli Leo Ushuhuda wote wa Msingi wa Mafundisho ya Waandishi wa Injiri utaukuta.
Aliposulubiwa Yesu papo Golgotha.
Alipohukumiwa papo
Majina ya walioshiriki wapo
Kaburi la Yesu lipo
Ukoo wa Yesu Upo.
[emoji117]Sasa shida yenu iko wapi ?

Hakuna Contradictions katika mafundisho ya Msingi ya Agano la Kale na Jipya.
Lete uthibitisho wa Marko, Luka, Mathayo na Yohana walikuwa mashuhuda wa matukio hata kwa rejea ya kubuni.
Unataka kuniambia walikuwa wanaandika kwa kushuhudia na sio roho mtakatifu tena?
 
Back
Top Bottom