Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

ktk kupinga ilimu allah na babake kasimu ni kafir wa ukweli
emoji123.png
emoji106.png
View attachment 1850337

1626086581342.png

@Gavana,kama una dukuduku karibu uulize swali.
Kama siliwezi nitakuambia siliwezi mimi, wengine wanaweza.
Kama kukukujibu nitakujibu.

Huku hatufichifichi habari.
Uliza ujibiwe pale ambapo hupafahamu.
1626091469206.png
 
Hivi wewe unayebandika Bango linalosema.

"Wanawake Saba wa Yesu Kristo"

tukuchulie upo timamu kweli ?

Timamu ya kuuliza swali na kutaka kujibiwa ili uelewe jambo.

Kama Historia ya Yesu Kristo mnaichukua kwa Makuresh wa Saudi Arabia, badala ya kwake Israeli, mtawezaje kuchukuliwa kuwa ni watu wenye uelewa wa jambo hata dogo tu basi.

Mbona mnajitoa ufahamu kwa kiasi hicho ?
Tatizo nini hasa.
Majini au.

Huenda tatizo lilianzia hapa.

72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

72:2 - Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

72:3 - Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

72:4 - Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.

72:5 - Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu

72:6 - Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

72:7 - Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.

72:8 - Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

72:9 - Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Kama inafikia mahali mnayaamini Majini matokeo yake ndio hayo.
 
Hivi vikatuni ndivyo vitakufanya ufuzu?![emoji23][emoji23]
Huwezi kifuzu kula mizigo ya sardaus bila kupata ngeu ww!![emoji13][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116]
أَمْ حَسِبْتُمْ أَن تَدْخُلُوا الْجَنَّةَ وَلَمَّا يَعْلَمِ اللَّهُ الَّذِينَ جَاهَدُوا مِنكُمْ وَيَعْلَمَ الصَّابِرِينَ

[ AL I'MRAN - 142 ]
Je! Mnadhani mtaingia Peponi na hali Mwenyezi Mungu hajawapambanua wale miongoni mwenu walio pigana Jihadi, na hajawapambanua walio subiri?

Maagizo haya ya bb kasimu na allah umeyateleza lini??
[emoji116][emoji116]

قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Lini umewang'oa kucha makafir na kupiga shingo zao??
[emoji116][emoji116]

إِذْ يُوحِي رَبُّكَ إِلَى الْمَلَائِكَةِ أَنِّي مَعَكُمْ فَثَبِّتُوا الَّذِينَ آمَنُوا ۚ سَأُلْقِي فِي قُلُوبِ الَّذِينَ كَفَرُوا الرُّعْبَ فَاضْرِبُوا فَوْقَ الْأَعْنَاقِ وَاضْرِبُوا مِنْهُمْ كُلَّ بَنَانٍ

[ AL - ANFAAL - 12 ]
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
 
Nimeshamaliza wewe endelea kubisha , endelea kuelemika 28:30.....aliitwa........kutoka kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni Allah
  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo ,
  1. Je waislamu mshaona maumbo yake mangapi?
  2. kwa nini mtakataa umbo lake jipya?
  3. je akibadili umbo lile la kwanza linakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hilo umbo au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
الصُّورَةِ الَّتِي يَعْرِفُونَ kwenye hiyo hadith haujaelewa kitu hilo neno الصورة inamaanisha picha fulani/ taswira sio physical form. Tatizo lugha zenu zina uhaba wa misamiati.

Wangeweka neno الشكل badala ya الصورة ingekuwa physical form unayoelewa hapa. Mwenyezi Mungu sio kama unavyochukulia vitu kirahisi. Nadhani nimekujibu kijana.
 
ww nilisha kwambia kama mjuzi kuliko kina shehe qadi Abdala Salehe Farsii na wengine nenda haraka katafsir koloani yote ya kiarabu kwa kiswahili uuze au ugawe bure!
Na kama hukutandikwa bakora za Makalio na Waumini!
Umebaki kutupigia mikelele na KUJIVUNA!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ

[ GHAAFIR (AU AL MUUMIN) - 60 ]
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
 
الصُّورَةِ الَّتِي يَعْرِفُونَ kwenye hiyo hadith haujaelewa kitu hilo neno iالصورةnamaanisha picha fulani/ taswira sio physical form. Tatizo lugha zenu zina uhaba wa misamiati.

Wangeweka neno الشكل badala ya الصورة ingekuwa physical form unayoelewa hapa. Mwenyezi Mungu sio kama unavyochukulia vitu kirahisi. Nadhani nimekujibu kijana.
Scholar waislamu duniani wanasema allah ni physical structure na wanasema hana roho na hana soul wewe nani ubishe? (The spirit or soul is not one of the attributes of Allah)
Alafu unajiona umerekebisha kuliko sunna.com walioweka hiyo translation, yani wewe ni mjuzi wao,
ngoja niende unavyo warekebisha wewe

  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo(taswira, picha) ,
  1. Je waislamu mshaona taswira zake ngapi?
  2. kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
  3. je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
 
ww nilisha kwambia kama mjuzi kuliko kina shehe qadi Abdala Salehe Farsii na wengine nenda haraka katafsir koloani yote ya kiarabu kwa kiswahili uuze au ugawe bure!
Na kama hukutandikwa bakora za Makalio na Waumini!
Umebaki kutupigia mikelele na KUJIVUNA!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ

[ GHAAFIR (AU AL MUUMIN) - 60 ]
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Yani hawa jamaa wanajiona wao wanajua kuliko walioweka hizo translation , wakibanwa kidogo huwa karata yao ya mwisho ni lugha imekosewa ukiwabana zaidi wanasema Allah knows best
 
Scholar waislamu duniani wanasema allah ni physical structure na wanasema hana roho na hana soul wewe nani ubishe? (The spirit or soul is not one of the attributes of Allah)
Alafu unajiona umerekebisha kuliko sunna.com walioweka hiyo translation, yani wewe ni mjuzi wao,
ngoja niende unavyo warekebisha wewe

  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo(taswira, picha) ,
  1. Je waislamu mshaona taswira zake ngapi?
  2. kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
  3. je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
Ulivyofundishwa ukiambiwa shape kwamba ni physical form. Nakuwekea na kingereza pia. Ningeanza kingereza kungesema tafsiri zangu nabuni. Unabisha wakati mweupe wa lugha ya kiarabu. Shape unaweza kuwa ina maana ya attribute pia. Soma namba nne:
Screenshot_20210713-093023~2.png
 
Ulivyofundishwa ukiambiwa shape kwamba ni physical form. Nakuwekea na kingereza pia. Ningeanza kingereza kungesema tafsiri zangu nabuni. Unabisha wakati mweupe wa lugha ya kiarabu. Shape unaweza kuwa ina maana ya attribute pia. Soma namba nne:View attachment 1851356
Sawa turudi kwenye maswali
scholar nguli wenu wanasema "The spirit or soul is not one of the attributes of Allah" Allah hana spirit na hana soul
  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo(taswira, picha) ,
  1. Je waislamu mshaona taswira zake ngapi?
  2. kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
  3. je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
 
Ulivyofundishwa ukiambiwa shape kwamba ni physical form. Nakuwekea na kingereza pia. Ningeanza kingereza kungesema tafsiri zangu nabuni. Unabisha wakati mweupe wa lugha ya kiarabu. Shape unaweza kuwa ina maana ya attribute pia. Soma namba nne:View attachment 1851356
ww kweli hujui kwamba hujui!
Hivi allah alipo sema yeye ni wa "DHAHIR NA WA SIRI!" Ni muongo sio?!
Au alikuwa anamuongelea Yesu??
[emoji116][emoji116]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

[ AL -H'ADIID - 3 ]
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Sawa turudi kwenye maswali
scholar nguli wenu wanasema "The spirit or soul is not one of the attributes of Allah" Allah hana spirit na hana soul
  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo(taswira, picha) ,
  1. Je waislamu mshaona taswira zake ngapi?
  2. kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
  3. je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573
Naona sasa unauliza maswali ya bangi wakati nishakupa jibu.

Yaani kweli we ukafiri umekujaa. We unahoji kuhusu Mwenyezi Mungu kwamba waislamu tumemuona mara ngapi? Unadhani kama nyinyi mnavyotumia picha ya mzungu kuabudu.

Nimeshakuwekea ushahidi kutumia tafsiri zote za kingereza na kiarabu. Unavyoambiwa 'shape' haina maana physical form tu. Nikakuwekea hadi lugha ya kiarabu. Kama haujaelewa tumia Google translator. Naona una kichwa kigumu.

Nakumalizia na surah kama haujaelewa hapo basi jipige kifuani sema mimi ni kilaza.

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
(Qur'an 112:1-4)
 
Soma namba nne hiyo. Inaelekea kwenye lugha ulipata bendera. Unang'ang'ania tafsiri moja
Screenshot_20210713-093023~2.png
 
ww kweli hujui kwamba hujui!
Hivi allah alipo sema yeye ni wa "DHAHIR NA WA SIRI!" Ni muongo sio?!
Au alikuwa anamuongelea Yesu??
[emoji116][emoji116]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

[ AL -H'ADIID - 3 ]
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app

Kumbukumbu la Torati 23:1​

Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.

Swali kwa nini watu hawa wanazuiliwa kwenye mkutano wa Bwana?
 
Sawa turudi kwenye maswali
scholar nguli wenu wanasema "The spirit or soul is not one of the attributes of Allah" Allah hana spirit na hana soul
  • Turudi kwenye hili la Allah kubadili maumbo(taswira, picha) ,
  1. Je waislamu mshaona taswira zake ngapi?
  2. kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
  3. je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?
  4. je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje? , ukiwa unajibu weka akilini allah sio roho na wala hana roho ni physical stracture
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  5. Atajibadili kwenye umbo mnalo lijua ndio mtamkubali
    • Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' Sahih al-Bukhari 6573

Kumbukumbu la Torati 23:1​

Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.

Swali kwa nini watu hawa wanazuiliwa kwenye mkutano wa Bwana?
 
Naona sasa unauliza maswali ya bangi wakati nishakupa jibu.

Yaani kweli we ukafiri umekujaa. We unahoji kuhusu Mwenyezi Mungu kwamba waislamu tumemuona mara ngapi? Unadhani kama nyinyi mnavyotumia picha ya mzungu kuabudu.

Nimeshakuwekea ushahidi kutumia tafsiri zote za kingereza na kiarabu. Unavyoambiwa 'shape' haina maana physical form tu. Nikakuwekea hadi lugha ya kiarabu. Kama haujaelewa tumia Google translator. Naona una kichwa kigumu.

Nakumalizia na surah kama haujaelewa hapo basi jipige kifuani sema mimi ni kilaza.

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
(Qur'an 112:1-4)
Soma maswali kwa umakini ngoja nikupangie tena , Hakuna maali nimesema kuna kitu kinafanana nae, nimeenda na translation yako ya kusema sio shape ni taswira (muonekano)
  • Je waislamu mshaona taswira zake ngapi? ,kwa nini mtakataa taswira yake mpya?
    • Hadith Sahih al-Bukhari 6573 inasema Allah will come to them in a shape other than they know and will say 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you (Allah atawajia waislamu na muonekano ambao hawaujui na atasema mimi ni Allah, waislamu watasema Allah atuepushe na wewe)
  • Je akibadili taswira, ile ya kwanza inakuwa wapi?, Je allah anakuwa ndani ya hiyo taswira au anakuwa kwa nje?
    • Hadith inasema ,Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord. (Allah atawajia tena na muonekano ambao mnaufahamu na atasema mimi ni Allah , nyie mtajibu hapana shaka wewe ni Allah)
  • Acha kona kona nyingi jibu maswali ya msingi
  • "The spirit or soul is not one of the attributes of Allah"
 
Kumbukumbu la Torati 23:1​

Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.

Swali kwa nini watu hawa wanazuiliwa kwenye mkutano wa Bwana?
Turudi kwenye maswali yangu kwanza , ukimaliza kujibu ndio unauliza mambo ya torati
 
Naona sasa unauliza maswali ya bangi wakati nishakupa jibu.

Yaani kweli we ukafiri umekujaa. We unahoji kuhusu Mwenyezi Mungu kwamba waislamu tumemuona mara ngapi? Unadhani kama nyinyi mnavyotumia picha ya mzungu kuabudu.

Nimeshakuwekea ushahidi kutumia tafsiri zote za kingereza na kiarabu. Unavyoambiwa 'shape' haina maana physical form tu. Nikakuwekea hadi lugha ya kiarabu. Kama haujaelewa tumia Google translator. Naona una kichwa kigumu.

Nakumalizia na surah kama haujaelewa hapo basi jipige kifuani sema mimi ni kilaza.

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
(Qur'an 112:1-4)

allah ametoa sababu gani kwa nini hazai??
Halafu tuone kama hana mfano![emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom