Allah kwa maswala ya kusali na kuomba huwezi kumpata.
Anamkumbuka sana Mungu wake.
Tatizo lake huwa anawaombea Maadui zake mambo mabaya.
Ile Amri ya Bwana Yesu ya mpende jirani yako, waombeeni mema maadui zenu yeye haitaki kabisa
Baada ya kumwomba Mungu wake awaangamize Wakristu na Wayahudi na kushindwa kufanikiwa.
Akageuka kumwombea Muhammadi ili Mwenyezi Mungu ampe Rehema na baraka tele.
Anasema hivi,
33:56 - Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
( Allah anampenda sana Muhammadi, lilcha ya kumruhusu kufanya chochote anachotaka, bado anakesha kumswalia)
Mhadhiri wa wa Kiislamu
Muhammed Hijab, alithibitisha hili kwenye mhadhara wa mdahalo na David Wood
Alisema hivi, kutokana na Aya ya 33:56,
" It is true, Allah Pray for Muhammad,
not to Muhammad"
Swali kwa
Gavana, na Waislamu wanzake.
Je Allah ni nani ?
Kama mara kadha wa kadha anaonekana akisali, kwa kuwalaani maadui zake na kuwa ombea rehema marafiki zake ?
Naomba Jibu.