Tutawafundisha hatutachoka!
Hayo maagizo ni ya umma wa Musa! Sawa eeh?!
Waka sasa Yesu Alipo Fundisha mafundisho hayo?
Hebu soma hapa kiti alipo mtoka baba kasimu
[emoji116][emoji116]
لِّكُلِّ أُمَّةٍ جَعَلْنَا مَنسَكًا هُمْ نَاسِكُوهُ ۖ فَلَا يُنَازِعُنَّكَ فِي الْأَمْرِ ۚ وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ ۖ إِنَّكَ لَعَلَىٰ هُدًى مُّسْتَقِيمٍ
[ AL -HAJJ - 67 ]
Kila umma tumewajaalia na ibada zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na waite watu kwendea kwa Mola wako Mlezi. Hakika wewe uko kwenye Uwongofu Ulio Nyooka.
Sent from my TECNO-W5 using
JamiiForums mobile app