Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Kati ya Aya za Qurani zenye mkanganyiko mkubwa ni hii Sura ya Toba 30.
Hebu tuisome kwa umakini hapa chini.

9:30 - Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

1. (Mayahudi wanasema, Uzeir ni mwana wa Mungu.)
a) Huyu Uzeir ni nani ?
b) Wayahudi walisema wapi kuwa Uzeir ni mwana wa Mungu ?
maswali haya hayajajibiwa hadi hii leo.

2. (Wakristo wanasema Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao)
sawa tumesema hivyo

[emoji117](Wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.)

1. Hao walio kufuru awali kabisa ya Wakristo, kwa kusema Masihi ni mwana wa Mungu ni akina nani ?

Mosi
Luka 1:35
Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
1. Malaika Gabriel

Pili
Mathayo 3:16
Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;

Mathayo 3:17
na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
2. Mungu mwenyewe kasema hivyo.

4. (Mwenyezi Mungu na awa angamize, wanageuzwa namna gani hawa ?)

Hapa tunapata dhana mbili.

1. Anayesema hapa ni nani ?
2. Vipi Mungu Allah, anamwomba Mungu wake, awaangamize Malaika Gabriel na Mungu Yehova ?
Kwakuwa walisema mwanzo kabisa kuwa Masihi ni mwana wa Mungu ?

Au basi tuseme, haya ni maneno ya Muhammadi na siyo ya Allah ?
sasa mbona Aya haina neno ka Kur,
yaani Sema ewe Mtume

Waislamu nguli njooni mtuelimishe kuhusu hii Aya.
Aya moja tu, 9:30, Surat Tawba. Sura ya kutubu.
Hapa shetani kajifunua bila chenga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
_ kama jibu ni alikuwa nae Koran inasemaje KUHUSU kufanya ngono na house girl kwenye Aya hii _Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa
Hakuna aya inayo wazungumzia house girl.
 
Kuna dhambi Ambayo ni kufuru ya kufa mtu hata ibilisi haja ikurubia! Ilaha allah na baba yake kasimu waliikurubia walipo sema!; Mwenyezi Mungu, Malaika Gabriel, Yesu ni makafiri!
Ushahidi rejea hapa ili ufahamu Wakristo Waliwaiga nani kusema Yesu ni Mwana wa Mungu?
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Mungu Mwenyezi ni wa Kwanza Kusema Yesu ni Mwanae!
[emoji116][emoji116]
MK. 1:10-11 Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Wa pili ni Malaika Gabriel naye Kasema Yesu ni Mwana wa Mungu!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
LK. 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Yesu Mwenyewe Kasema Mungu ni Baba Yake!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
MT. 16:17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.

Kwa mujibu wa qaraa hao wote ni Makafiri [emoji15][emoji134][emoji2533]‍[emoji3603]

Ukae Ukijua Wakristo REJEA yao ni Biblia Takatifu waliyo Ifuata na Kuiishi si pungufu wala zaidi[emoji106][emoji2533][emoji123][emoji2533]

Ndipo sasa Uone Adhari ya Kukaririshwa ilimu ya adui wa jibiril kwa bakora za makalio madrasa[emoji134][emoji2533]‍[emoji3603][emoji2956][emoji2956]
Sikumbuki kama ushawahi kujenga hoja ya maana.

Kamwe usilinganishe Qur'aan na vitabu au kitabu ambacho hata Yesu hakukiacha,bali waandishi wake hawajulikani. Huku ni kuikosea adabu elimu na watu wake.

Hiyo MK,muandishi wake ni nani na hayo maneno ameyasema Yesu au nani ? Thibitisha hili.

Huyo Luka,huyo Mathayo,hizi habari wamezinukuu toka kwa nani ?
 
Hapa
[emoji116][emoji116]
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى ( 10 )
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ ( 11 )
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ ( 13 )
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
Hapo haujaelewa nini?
 


ALISAHAU KUWA ALIKUJA KUFA KWA DHAMBI ZAKO????

Mungu gani anayemuomba Mungu mwenzake huku akipiga makelele ???


1625966838789.png
1625966838789.png
 
Kati ya Aya za Qurani zenye mkanganyiko mkubwa ni hii Sura ya Toba 30.
Hebu tuisome kwa umakini hapa chini.

9:30 - Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

1. (Mayahudi wanasema, Uzeir ni mwana wa Mungu.)
a) Huyu Uzeir ni nani ?
b) Wayahudi walisema wapi kuwa Uzeir ni mwana wa Mungu ?
maswali haya hayajajibiwa hadi hii leo.

2. (Wakristo wanasema Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao)
sawa tumesema hivyo

[emoji117](Wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.)

1. Hao walio kufuru awali kabisa ya Wakristo, kwa kusema Masihi ni mwana wa Mungu ni akina nani ?

Mosi
Luka 1:35
Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
1. Malaika Gabriel

Pili
Mathayo 3:16
Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;

Mathayo 3:17
na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
2. Mungu mwenyewe kasema hivyo.

4. (Mwenyezi Mungu na awa angamize, wanageuzwa namna gani hawa ?)

Hapa tunapata dhana mbili.

1. Anayesema hapa ni nani ?
2. Vipi Mungu Allah, anamwomba Mungu wake, awaangamize Malaika Gabriel na Mungu Yehova ?
Kwakuwa walisema mwanzo kabisa kuwa Masihi ni mwana wa Mungu ?

Au basi tuseme, haya ni maneno ya Muhammadi na siyo ya Allah ?
sasa mbona Aya haina neno ka Kur,
yaani Sema ewe Mtume

Waislamu nguli njooni mtuelimishe kuhusu hii Aya.
Aya moja tu, 9:30, Surat Tawba. Sura ya kutubu.

Pata dawa hii


Uzayr, who was exalted by a community of Jews, is identified as Ezra by Muslim commentators. The Qur'an says:


The Jews call `Uzair a son of Allah, and the Christians call Christ the son of Allah. That is the saying from their mouth; (In this) they are intimate; what the Unbelievers of the old used to say. Allah's curse be on them: how they are deluded away from the truth. [Qur'an 9:30]

Before we take care of the origin of the issue of exalting Ezra to son of God by some Jews, let us first discuss the life of the man himself.


Ezra (5th-4th century BC, Babylon and Jerusalem) was a religious leader of the Jews who returned from exile in Babylon, and a reformer who reconstituted the Jewish community on the basis of the Torah (Law, or the regulations of the first five books of the Old Testament). This monumental work of Ezra helped to make Judaism a religion in which law was central, that enabled the Jews to survive as a community when they were dispersed all over the world. Ezra has with some justice been called the father of Judaism since his efforts did much to give Jewish religion the form that was to characterize it for centuries after the specific form the Jewish religion took after the Babylonian Exile. So important was he in the eyes of his people that later tradition regarded him as no less than a second Moses(P). Regarding the tomb of Ezra Encyclopaedia Judaica says:


There are number of traditions concerning the site of Ezra's tomb. According to Josephus it is in Jerusalem; other hold that he was buried in Urta or in Zunzumu on the Tigris; but the general accepted version is that his tomb is situated in Uzer, a village near Basra. This tradition is mentioned by Benjamin of Tuleda, Pethahiah of Regensburg, Judah Alharizi, and other travelers, Jewish and non-Jewish who visited Babylonia.[1]

It is to be kept in mind that the knowledge about Ezra is derived from the Biblical books of Ezra and Nehemiah, supplemented by the Apocryphal (not included in the Jewish and Protestant canons of the Old Testament but present in Roman Catholic and Greek Orthodox Churchs' canon) book of I Esdras (Latin Vulgate form of the name Ezra), which preserves the Greek text of Ezra and a part of Nehemiah.


It is interesting to note that the Jews in Arabia, during the advent of Islam, were involved in mystical speculation as well as anthromorphizing and worshipping an angel that functions as the substitute creator of the universe. That angel is usually identified as Metatron[2]. Newby notes that:


...we can deduce that the inhabitants of Hijaz during Muhammad's time knew portions, at least, of 3 Enoch in association with the Jews. The angels over which Metatron becomes chief are identified in the Enoch traditions as the sons of God, the Bene Elohim, the Watchers, the fallen ones as the causer of the flood. In 1 Enoch, and 4 Ezra, the term Son of God can be applied to the Messiah, but most often it is applied to the righteous men, of whom Jewish tradition holds there to be no more righteous than the ones God elected to translate to heaven alive. It is easy, then, to imagine that among the Jews of the Hijaz who were apparently involved in mystical speculations associated with the merkabah, Ezra, because of the traditions of his translation, because of his piety, and particularly because he was equated with Enoch as the Scribe of God, could be termed one of the Bene Elohim. And, of course, he would fit the description of religious leader (one of the ahbar of the Qur'an 9:31) whom the Jews had exalted.[3]

The Islamic exegetes have mentioned that there existed a community of Jews in Yemen who considered Ezra as son of God. Hirschberg says in Encyclopaedia Judaica:


H. Z. Hirschberg proposed another assumption, based on the words of Ibn Hazm, namely, that the 'righteous who live in Yemen believed that 'Uzayr was indeed the son of Allah.' According to other Muslim sources, there were some Yemenite Jews who had converted to Islam who believed that Ezra was the messiah. For Muhammad, Ezra, the apostle (!) of messiah, can be seen in the same light as the Christian saw Jesus, the messiah, the son of Allah.[4]

George Sale makes an interesting comment concerning the Muslim as well as Judeo-Christian opinion on this issue.


This grievous charge against the Jews, the commentators endeavour to support by telling us, that it is meant of some ancient heterdox Jews, or else of some Jews of Medina; who said so for no other reason, than for that the law being utterly lost and forgotten during the Babylonish captivity, Ezra having been raised to life after he had been dead one hundred years, dictated the whole anew unto the scribes, out of his own memory; at which they greatly marvelled, and declared that he could not have done it, unless he were the son of God. Al-Beidawi adds, that the imputation must be true, because this verse was read to the Jews and they did not contradict it; which they were ready enough to do in other instances.

That Ezra did restore not only the Pentateuch, but also the other books of the Old Testament, by divine revelation, was the opinion of several of the Christian fathers, who are quoted by Dr.Prideaux, and of some other writers; which they seem to have first borrowed from a passage in that very ancient apocryphal book, called in our English Bible, the second book of Esdras. Dr. Prideaux tells us, that herein the Fathers attributed more to Ezra, than the Jews themselves, which he laboured much in, and went a great way in the perfecting of it. It is not improbable however, that the fiction came originally from the Jews, though they be now of another opinion, and I cannot fix it upon them by any direct proof. For, not to insist upon the testimony of the Mohammedans (which yet I cannot but think of some little weight in a point of this nature,) it is allowed by the most sagacious critics, that the second book of Ezra was written by a Chrisitian indeed, but yet one who had been bred a Jew, and was intimately acquainted with the fables of the Rabbins; and the story itself is perfectly in the taste and was of thinking of those men.[5]

Last but not the least, a Christian writer also proposed that Muhammad(P) got the information of Jews exalting Ezra to son of God from the Samaritans who said the Ezra had acted presumptuously and had changed the old divine alphabetical character of the holy Books of the Law - a character still used and revered to this day by rapidly dwindling Samaritan community.[6] This author concludes in a rather unchristian way that:


But it is not at all unlikely that the source of Mohammed's indictment of the Jews is to be found among the Samaritans or amongst Arab tribesmen of Samaritan strain. If we found in Samaritan literature the opposite belief that Ezra (or Uzair) was the son of Satan, we would be well-nigh sure of having settled the matter.[7]

And Allah knows best!

References​


[1] Encyclopaedia Judaica, Volume 6, Encylopedia Judaica Jerusalem, p. 1108.


[2] G. D. Newby, A History Of The Jews Of Arabia, 1988, University Of South Carolina Press, p. 59.


[3] Ibid, p. 61.


[4] Encyclopaedia Judaica, Ibid., p. 1108.


[5] George Sale, The Koran, IX Edition of 1923, London, p. 152.


[6] J. Walker, "Who Is 'Uzair?", The Moslem World, Volume XIX, No. 3, 1939, pp. 305-306.


[7] Ibid, p. 306.
 
Inamaana wewe ni muislamu nahaujui Allah alikuwa mti, na pia haujui Allah ni mkono wa jiwe la mecca,


Kama hujui vitu hivi jiulize uislamu wako

Ujibiwe mara ngapi kiumbe wewe ??? Unarudia kila siku hayo kwa hayo huku ukiletewa unasema huwezi kusoma.
 
Ujibiwe mara ngapi kiumbe wewe ??? Unarudia kila siku hayo kwa hayo huku ukiletewa unasema huwezi kusoma.
Jibu basi Aya zimeshawekwa , mti unawaka moto unasema wenyewe ndio Allah
 
Lete aya, acha porojo.
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............ 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah, MUssa aliona mti unawaka moto alivyo usogele ule mti... Au ule moto ukasema Mimi Mimi ndiye Allah
 
Nilisha kuwekea scholar Al jalalayn kathibisha , sasa wewe kama mjuzi zaidi yake sema amedanganya

Kingine usiandike "scholar jalalayn" hakuna "scholar jalalayn". Bali kuna kitabu kinaitwa "Tafsiri Jalalayn". Ch wanachuoni wawili,mmoja ni mwanafunzi na mwingine ni mwali. Jalaludiin al Mahal huyu ni mwalimu,baada ya kufariki mwanafunzi wake Jalaludiin as-Suyutiy akamalizia pale alipo komea mwalimu. Ndiyo maana inaitwa "Tafsiri Jalalayn" kwa maana ni "Tafsiri ya Jalaludiin wawili". Udirudie tena kosa hilo.

Hujaweka yeye amerejea wapi. Ndiyo nikaja kukukosoa kwa kukiwekea rejea,yenye hadithi ya mtume. Kisha nikakwambia tunachukua ipi.

Bado nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Sikumbuki kama ushawahi kujenga hoja ya maana.

Kamwe usilinganishe Qur'aan na vitabu au kitabu ambacho hata Yesu hakukiacha,bali waandishi wake hawajulikani. Huku ni kuikosea adabu elimu na watu wake.

Hiyo MK,muandishi wake ni nani na hayo maneno ameyasema Yesu au nani ? Thibitisha hili.

Huyo Luka,huyo Mathayo,hizi habari wamezinukuu toka kwa nani ?
Ulitaka nikuonyeshe dhambi alizofanya baba kasimu hiyo ni mojawapo kumwambia Mwenezi Mungu, Malaika Gabriel, Yesu, na Wakristo wote duniani ni makafir!
Nimegundua kitu toka kwako ww ni kafir! Ingekuwa sivyu ungetii maagizo ya allah alipo Agiza haya!
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَسْأَلُوا عَنْ أَشْيَاءَ إِن تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْ وَإِن تَسْأَلُوا عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللَّهُ عَنْهَا ۗ وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ

[ AL - MAIDA - 101 ]
Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole.


Umefikia kukiponda Kitabu ambacho mungu wako amekuagiza ukiamini na usipo Kiamini Umepotelea mbali!
Halafu unatamba huku uswazi mii muumini[emoji23][emoji23][emoji13]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

mungu wako hajakuagiza hili
[emoji116][emoji116]

وَقَدْ نَزَّلَ عَلَيْكُمْ فِي الْكِتَابِ أَنْ إِذَا سَمِعْتُمْ آيَاتِ اللَّهِ يُكْفَرُ بِهَا وَيُسْتَهْزَأُ بِهَا فَلَا تَقْعُدُوا مَعَهُمْ حَتَّىٰ يَخُوضُوا فِي حَدِيثٍ غَيْرِهِ ۚ إِنَّكُمْ إِذًا مِّثْلُهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ جَامِعُ الْمُنَافِقِينَ وَالْكَافِرِينَ فِي جَهَنَّمَ جَمِيعًا

[ AN-NISAAI - 140 ]
Naye amekwisha kuteremshieni katika Kitabu hiki ya kwamba mnapo sikia Aya za Mwenyezi Mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi msikae pamoja nao, mpaka waingie katika mazungumzo mengine. Hivyo mtakuwa nanyi mfano wao hao. Hakika Mwenyezi Mungu atawakusanya wanaafiki na makafiri wote pamoja katika Jahannamu,
 
ALISAHAU KUWA ALIKUJA KUFA KWA DHAMBI ZAKO????

Mungu gani anayemuomba Mungu mwenzake huku akipiga makelele ???


View attachment 1849138View attachment 1849138
Hapa allah anamuomba Mwenyezi Mungu
Awaangamize Wakristo na wayahudi!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom