Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Aya ya ngapi Na bibilia ipi inayosema Huo mtungo wako ulioutapika hapo?
Ha..ha...ha
Mtoto wa Mungu Gavana, unanifurahisha sana yaani, ungekuwa karibu ningekualika japo tule chakula cha mchana pamoja.
Asubuhi asubuhi tayari ushaamka na kuanza kufundisha Dini. Hupumziki japo kidogo...! [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aya ya ngapi Na bibilia ipi inayosema Huo mtungo wako ulioutapika hapo?
(Kuna watu hata ukiwasomea Aya za Mwenyezi Mungu huku unawapigia Ngoma wanasikia mlio tu lakini hawaelewi kinachoendelea.)

Luka 7:32
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.

(Maana Nabii Isaya anasema
juu yao)

Isaya 6:9
Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
Isaya 6:10
Uunoneshe moyo wa watu hawa, ukayatie uzito masikio yao, ukayafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.

(Yesu pia aliwafahamu, anasema juu yao)

Mathayo 13:10
Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?

Mathayo 13:11
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.

Mathayo 13:12
Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.

Mathayo 13:13
Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.

Mathayo 13:14
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.

Mathayo 13:15
Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.

Mathayo 13:16
Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.

Mathayo 13:17
Kwa maana, amin, nawaambia, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi, wasiyasikie.

(Gavana, kuna watu hata ukinukuu Aya hawaelewi, hata ukiwachapa bakora hawastuki.
Hata ukiwaambia kweli ya Ufalme wa Mbingu hawafahamu, wana mioyo migumu sana. Afadhali wewe Gavana, unaelewa, japo unajitoa ufahamu kwa malengo yako)

(Ndio maana tunaongea kwa Mithali, na Zaburi, na Mifano. Ili wapate kuelewa)
 
Saa hizi ni muda wa kulala tutalijadili kesho hili.
Ila baada ya kupitia Aya za Marko 15: 25 hazisemi kama wewe ulivyo nukuu.

Inasema hivi

Marko 15:25
Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.[emoji736]

Hakuna aya inayosema
saa tatu asubuhi[emoji777]
Neno "asubuhi" halipo

Hapa tayari swali lako linakuwa na kasoro, hali ulizi jinsi Bible inavyosema.

Yaani swali lako limeulizwa toka katika nukuu iliyokosewa.
Hivyo linakosa mashiko ya kujibiwa.

Mark 15:25​

25 It was nine in the morning when they crucified him.

John 19:14​

14 It was the day of Preparation(A) of the Passover; it was about noon.(B)
“Here is your king,”(C) Pilate said to the Jews.

Nimekuwekea na hiyo ya kingereza sijui nayo utasema wamekosea.
 
Hapa tunazungumza lugha ya Kiswahili.

Hiyo uliyoinukuu sijawahi kuiona.
Biblia za Kiswahili zote hazina neno

"asubuhi" kwenye Marko 15: 25.

Hebu ipige screenshot nione ni Biblia ipi imeandika neno (asubuhi ili niitambue) maana ziko Biblia nyingi sana)
 
Ndio, huyo ni Mwanadamu Yesu, anamlilia Mungu wake Yehova, baada ya kuondoka ndani mwake.
Kumbuka Mungu hakai ndani ya Maiti ya Binadamu.

Ni kama wale Masharifu Majini.
Huwa wanakariri Qurani yote kama Jini au Majini Maislamu yanakaa ndani yao.
Masharifu, wakisha zoea kula Nguruwe, Majini yanaondoka ndani yao na wanabaki watupu kabisa.
Hakuna tena cha kukariri Qurani wala cha nini.
Wanabaki maamuma tu, na wazurulaji wa mjini.

Nadhani kwa mfano huu umeelewa vizuri.
Kama Majini yanawaongoza Masharifu kusoma Qurani na kufundisha Dini ya Kiislamu.

Unashangaa nini Mungu kukaa ndani ya Yesu na kumwezesha,
1. Kufufua wafu
2. Kusamehe dhambi waovu
3. Kuhubiri Injiri
4. Kutangaza Amri kuu mbili mpya
- Kumpenda Mungu
-Kumpenda Jirani.
5. Kuponya wagonjwa
Nk.

Tatizo lako wewe Gavana unaamini uwezo wa Majini tu.
Uwezo wa Mungu huuamini.

Yaani Jini akae ndani ya Sharifu sawa kwako.
Mungu akikaa ndani ya Yesu huamini kabisa.

Hivi Mungu na Jini ni nani mwenye Uweza ?

Jinga sana wewe.

So Yesu ni mwanadamu Sio Mungu?
 
Mark 15:25​

25 It was nine in the morning when they crucified him.

John 19:14​

14 It was the day of Preparation(A) of the Passover; it was about noon.(B)
“Here is your king,”(C) Pilate said to the Jews.

Nimekuwekea na hiyo ya kingereza sijui nayo utasema wamekosea.
Basi tufanye imeandikwa.

Marko kasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi.
Luka anasema alisulubiwa saa Sita Mchana.
Yohana saa Saba mchana
Mathayo saa Tano Asubuhi

Swali lako ni nini ?
 
Kazi ya mimi kukupa tarjama si ya kwangu. Mwanzo ulitaka tarjama ya aya kwa wepesi nimekuwekea kwa Kiswahili. Baada ya kukosa pakutokea unataka nikupe maana ya maelezo ya kwenye Tafsiri ya Jalalayn. Hii kazi ifanye wewe,kisha ujenge hoja. Usiruke ruke.

Matini ya aya imeishia katika huo mstari wa tatu,yaliyo endelea ni maelezo ya kwenye Tafsiri ya Jalalayn,maelezo ambayo yatapa nguvu kwa kurejea katika sababu ya kushuka kwa aya hiyo. Ambapo nimekupa rejea ya aya hiyo. Ngoja nikuwekee :

Nanukuu :

Al-Bukhari recorded that `Ubayd bin `Umayr said that he heard `A'ishah claiming that Allah's Messenger used to stay for a period in the house of Zaynab bint Jahsh and drink honey in her house. (She said) "Hafsah and I decided that when the Prophet entered upon either of us, we would say, `I smell Maghafir on you. Have you eaten Maghafir' When he entered upon one of us, she said that to him. He replied (to her),

«لَا، بَلْ شَرِبْتُ عَسَلًا عِنْدَ زَيْنَبَ بِنْتِ جَحْشٍ وَلَنْ أَعُودَ لَه»​

(No, but I drank honey in the house of Zaynab bint Jahsh, and I will never drink it again.)'' Then the following was revealed;

﴿يأَيُّهَا النَّبِىُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَآ أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ﴾​

(O Prophet! Why do you fobid that which Allah has allowed to you) up to.

Mwisho wa kunukuu,hii ndiyo sababu ya kushuka aya hiyo ya kwanza katika sura ya 66.

Sasa nataka uweke hoja yako,siyo una kimbia kimbia.
Huyu alie andika hapa ni muislamu au mkristo?

Toa translation ya haya maneno
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn

O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.

Haya maneno yamepewa nguvu na koran
_Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa

Nikupe mwanga kidogo mnapo jaribu kuficha wakati Koran inaweka wazi mnarubusiwa kubaka house girl au vijakazi

Muhammad alikamatwa live Allah akashusha Aya za kumruhusu kubaka
 
Basi tufanye imeandikwa.

Marko kasema Yesu alisulubiwa msalabani saa tatu asubuhi.
Luka anasema alisulubiwa saa Sita Mchana.
Yohana saa Saba mchana
Mathayo saa Tano Asubuhi

Swali lako ni nini ?
We hapo hauoni Yohana saa 6 mchana ndiyo kwanza yupo kwa pilato bado hajasulubiwa wakati Marko yeye anasema saa 3 asubuhi amesulubiwa.
Ilianza hukumu kisha ikaja kusulubiwa. Je nani yupo sahihi kati ya Marko saa 3 asubuhi anadai ameshasulubiwa au Yohana anayedai saa 6 mchana yupo kwa Pilato ndiyo kwanza anasubiri hukumu? Hapo pia haujaelewa?
 
Naona.
Wewe unatambua kabisa neno "Sulubu" ni neno lenye asili ya Kiarabu likiwa na maana ya kutesa.

Kwa Kiswahili neno Suluba lime toholewa kwenye neno la Kiarabu "Sulubu" lina maana ya "Mateso"

Hapo kwenye mkanganyiko wa masaa pana maanisha muda wa mateso ya Yesu.

Marko 15:25 anasema kuwa Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi.
( na hasemi alisubiwa MSALABANI saa tatu asubuhi)

Hapo neno kusulubiwa lina eleza muda wa mateso ya Yesu kwa ujumla kuwa walianza kumtesa Yesu tokea asubuhi hadi mchana na Akafa muda wa jioni, wengine wametaja muda wa saa Tisa jioni ndio alikufa msalabani pale Golgota.

Hivyo ni Kweli, Yesu Muda wote huo wa Saa tatu asubuhi, saa sita mchana, aliendelea kusulubiwa kwa kukamatwa kinguvu, kusingiziwa kudhihakiwa, kuzomewa, kupigwa mijeredi, kubebeshwa msalaba nk.

Hizo zote ni suluba, yaani mateso, na zilichukua masaa zaidi ya Sita.
Kwahiyo kusulubiwa sio lazima kuwa msalabani tu.

{ Labda Marko angesema
Yesu alisulubiwa msalabani saa tatu asubuhi.
Na Yohana angesema Yesu alisulubiwa msalabani saa sita mchana, hapo ndio pange leta mkanganyiko}

Naomba Swali Lingine.
Sio hili tena.
 
Haya maneno yamepewa nguvu na koran
_Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa

Nikupe mwanga kidogo mnapo jaribu kuficha wakati Koran inaweka wazi mnarubusiwa kubaka house girl au vijakazi

Muhammad alikamatwa live Allah akashusha Aya za kumruhusu kubaka
Hii kadhia iletee aya yake tuijadili. Hapa tunajadili aya ya 1 katika sura ya 66. Tuliza akili ujenge hoja. Nakuuliza wewe sasa uniambie umesoma sababu ya kushuka kwa hiyo aya ?

Leta hoja yako sasa.

Imamu Jalaludiin al Mahal na Imamu Jalaludiin Suyuti ni wanazuoni wetu wakubwa. Maneno yao yanapokuwa hayana ushahidi toka katika hadithi,au Qur'aan au kauli za maswahaba na huku kuna maelezo yenye hayo yote matatu tunafata yenye ushahidi.

Kuhusu kujamiiana na watumwa hii ilikuwa halali kipindi fulani,ila baada ya utumwa kukomeshwa na watu waka achwa huru hili likawa halipo tena na hili lilikuwa kwa wote na hili nilikuelezea huko nyuma. Ndiyo maana nasema hivi huna hoja kwenye Qur'aan tena lazima ukosee sababu huijui wala huisomi.

Aya ya kumruhusu kubaka iko wapi na ruhusu iko wapi na ushahidi wako uko wapi ? Usiwe na akilo za kitoto za kutunga mambo na kushindwa kuyajengea hoja.

Nakifundisha sasa kijana,Qur'aan inafasiliwa kwa Qur'aan yenyewe au kwa hadithi za Mtume au kwa uelewa wa maswahaba.

Ukisoma somo la "Usul Tafsir" (Misingi ya kufasiri Qur'aan)' utakuta Tafsiri zimegawanyika sampuli mbili,kuna kutafsiri kwa Rai yaani ule uelewa wa mwanazuoni husika na kutafsiri kwa Maathuri yaani kwa kutumia aya kwa aya au hadithi mfano wa Tafsiri hizi ni Tafsiri ya Imaam al Qurtubiy,Imamu Ibn Kathir na wengineo. Sasa hii nimekupa faida.

Leta hoja kijana.
 
_ nipe Aya ya Koran imekataza kumuingilia kijakazi (kubaka kijakazi)
_thibitisha Muhammad hakuwa na house girl anaitwa Mariya
_ kama jibu ni alikuwa nae Koran inasemaje KUHUSU kufanya ngono na house girl kwenye Aya hii _Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa

Alafu thibitisha leo huyu mtu aliandika hapa ni muongo
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn

O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.
 
(Kuna watu hata ukiwasomea Aya za Mwenyezi Mungu huku unawapigia Ngoma wanasikia mlio tu lakini hawaelewi kinachoendelea.)

Luka 7:32
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.

(Maana Nabii Isaya anasema
juu yao)

Isaya 6:9
Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
Isaya 6:10
Uunoneshe moyo wa watu hawa, ukayatie uzito masikio yao, ukayafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.

(Yesu pia aliwafahamu, anasema juu yao)

Mathayo 13:10
Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?

Mathayo 13:11
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.

Mathayo 13:12
Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.

Mathayo 13:13
Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.

Mathayo 13:14
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.

Mathayo 13:15
Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.

Mathayo 13:16
Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.

Mathayo 13:17
Kwa maana, amin, nawaambia, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi, wasiyasikie.

(Gavana, kuna watu hata ukinukuu Aya hawaelewi, hata ukiwachapa bakora hawastuki.
Hata ukiwaambia kweli ya Ufalme wa Mbingu hawafahamu, wana mioyo migumu sana. Afadhali wewe Gavana, unaelewa, japo unajitoa ufahamu kwa malengo yako)

(Ndio maana tunaongea kwa Mithali, na Zaburi, na Mifano. Ili wapate kuelewa)

Mbona hizo aya hazisemi ule mtungo wako uliouandika?

Aya ya ngapi Na bibilia ipi inayosema ule mtungo wako ulioutapika ?
 
Hapa tunazungumza lugha ya Kiswahili.

Hiyo uliyoinukuu sijawahi kuiona.
Biblia za Kiswahili zote hazina neno

"asubuhi" kwenye Marko 15: 25.

Hebu ipige screenshot nione ni Biblia ipi imeandika neno (asubuhi ili niitambue) maana ziko Biblia nyingi sana)
Kama biblia ziko nyingi sana, biblia ipi ni sahih
 
Je nikisema injili au biblia ni kitabu cha kale ambacho kwa karine hii ya 21 kimepitwa na wakati.kama vile mfumo wa uchumi ule uitwao ujamaa ulivyopitwa na wakati.nitakuwa nimekosea?
Je kwani hakuna kitabu kingine kutoka kwa Mungu kilichokuja baada ya injili na ambacho kimejumuisha vitabu vyote vya huko nyuma vilivyopita ambacho ndio kikawa ni kitabu cha karne ya 21 kkikatuongoza kama vile tunavyoongozwa na uchumi wa kisasa wa ubepari???
 
Naona.
Wewe unatambua kabisa neno "Sulubu" ni neno lenye asili ya Kiarabu likiwa na maana ya kutesa.

Kwa Kiswahili neno Suluba lime toholewa kwenye neno la Kiarabu "Sulubu" lina maana ya "Mateso"

Hapo kwenye mkanganyiko wa masaa pana maanisha muda wa mateso ya Yesu.

Marko 15:25 anasema kuwa Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi.
( na hasemi alisubiwa MSALABANI saa tatu asubuhi)

Hapo neno kusulubiwa lina eleza muda wa mateso ya Yesu kwa ujumla kuwa walianza kumtesa Yesu tokea asubuhi hadi mchana na Akafa muda wa jioni, wengine wametaja muda wa saa Tisa jioni ndio alikufa msalabani pale Golgota.

Hivyo ni Kweli, Yesu Muda wote huo wa Saa tatu asubuhi, saa sita mchana, aliendelea kusulubiwa kwa kukamatwa kinguvu, kusingiziwa kudhihakiwa, kuzomewa, kupigwa mijeredi, kubebeshwa msalaba nk.

Hizo zote ni suluba, yaani mateso, na zilichukua masaa zaidi ya Sita.
Kwahiyo kusulubiwa sio lazima kuwa msalabani tu.

{ Labda Marko angesema
Yesu alisulubiwa msalabani saa tatu asubuhi.
Na Yohana angesema Yesu alisulubiwa msalabani saa sita mchana, hapo ndio pange leta mkanganyiko}

Naomba Swali Lingine.
Sio hili tena.
Hayo maelezo yako unayapata biblia ipi? Au kichwa cha aloshiba makende Che mittoga
 
Back
Top Bottom