Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Basi tufanye imeandikwa.

Marko kasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi.
Luka anasema alisulubiwa saa Sita Mchana.
Yohana saa Saba mchana
Mathayo saa Tano Asubuhi

Swali lako ni nini ?
Kwa hiyo hadi English translation unaipinga?
 
Naona.
Wewe unatambua kabisa neno "Sulubu" ni neno lenye asili ya Kiarabu likiwa na maana ya kutesa.

Kwa Kiswahili neno Suluba lime toholewa kwenye neno la Kiarabu "Sulubu" lina maana ya "Mateso"

Hapo kwenye mkanganyiko wa masaa pana maanisha muda wa mateso ya Yesu.

Marko 15:25 anasema kuwa Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi.
( na hasemi alisubiwa MSALABANI saa tatu asubuhi)

Hapo neno kusulubiwa lina eleza muda wa mateso ya Yesu kwa ujumla kuwa walianza kumtesa Yesu tokea asubuhi hadi mchana na Akafa muda wa jioni, wengine wametaja muda wa saa Tisa jioni ndio alikufa msalabani pale Golgota.

Hivyo ni Kweli, Yesu Muda wote huo wa Saa tatu asubuhi, saa sita mchana, aliendelea kusulubiwa kwa kukamatwa kinguvu, kusingiziwa kudhihakiwa, kuzomewa, kupigwa mijeredi, kubebeshwa msalaba nk.

Hizo zote ni suluba, yaani mateso, na zilichukua masaa zaidi ya Sita.
Kwahiyo kusulubiwa sio lazima kuwa msalabani tu.

{ Labda Marko angesema
Yesu alisulubiwa msalabani saa tatu asubuhi.
Na Yohana angesema Yesu alisulubiwa msalabani saa sita mchana, hapo ndio pange leta mkanganyiko}

Naomba Swali Lingine.
Sio hili tena.

Naona sasa umeamua kuipinga biblia wazi wazi. Soma hizo aya mbili zinazonafuata. Unaona kabisa hapo amesulubiwa pamoja na bandiko la mashtaka juu yake.​

Kisha inayofuatia majambazi wawili waliosulubiwa pamoja nae upande wa kulia mwingine kushoto.​

Marko 15:26-27​

26 Tangazo la mashtaka yake liliandikwa maneno haya: “MFALME WA WAYAHUDI.” 27 Majambazi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wa kushoto.

Kama biblia unashindwa kuelewa, angalia hata movie wazungu wamekuelewesha. Naona unajificha kwenye neno la kiarabu صلب .
Wazungu waliotafsiri biblia unataka kuniambia wamekosa neno la kingereza mateso na kuweka 'crucified'? Kama umeshindwa muulize hata mchungaji wake anaweza kukusaidia.
 
We umeniuliza swali kuhusu Aya moja tu.
Marko 15:25. Na mimi nimejibu kulingana na hiyo Aya.
Bado unaniletea Aya nyingine.
Ungebandika basi Sura nzima kama hii.

( Marko 15:1 Mara kulipokuwa asubuhi wakuu wa makuhani walifanya shauri pamoja na wazee na waandishi na baraza nzima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta mbele ya Pilato.
Marko 15:2 Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu, akamwambia, Wewe wasema.
Marko 15:3 Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi.
Marko 15:4 Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!
Marko 15:5 Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.
Marko 15:6 Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye.
Marko 15:7 Palikuwa na mtu aitwaye Baraba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina, na kufanya uuaji katika fitina ile.
Marko 15:8 Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea.
Marko 15:9 Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?
Marko 15:10 Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.
Marko 15:11 Lakini wakuu wa makuhani wakawataharakisha makutano, kwamba afadhali awafungulie Baraba.
Marko 15:12 Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi?
Marko 15:13 Wakapiga kelele tena, Msulibishe.
Marko 15:14 Pilato akawaambia, Kwani, ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulibishe.
Marko 15:15 Pilato akipenda kuwaridhisha makutano, akawafungulia Baraba; akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, ili asulibiwe.
Marko 15:16 Nao askari wakamchukua ndani ya behewa, ndiyo Praitorio (yaani, nyumba ya uliwali), wakakusanya pamoja kikosi kizima.
Marko 15:17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;
Marko 15:18 wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!
Marko 15:19 Wakampiga mwanzi wa kichwa, wakamtemea mate, wakapiga magoti, wakamsujudia.
Marko 15:20 Hata wakiisha kumdhihaki, wakamvua lile vazi la rangi ya zambarau, wakamvika mavazi yake mwenyewe; wakamchukua nje ili wamsulibishe.
Marko 15:21 Wakamshurutisha mtu aliyekuwa akipita, akitoka mashamba, Simoni Mkirene, baba yao Iskanda na Rufo, ili auchukue msalaba wake.
Marko 15:22 Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Marko 15:23 Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.
Marko 15:24 Wakamsulibisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.
Marko 15:25 Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.
Marko 15:26 Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Marko 15:27 Na pamoja naye walisulibisha wanyang'anyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto. [
Marko 15:28 Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.]
Marko 15:29 Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa, wakisema, Ahaa! Wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga katika siku tatu,
Marko 15:30 jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.
Marko 15:31 Kadhalika na wakuu wa makuhani wakamdhihaki wao kwa wao, pamoja na waandishi, wakisema, Aliponya wengine; hawezi kujiponya mwenyewe.
Marko 15:32 Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Hata wale waliosulibiwa pamoja naye wakamfyolea.
Marko 15:33 Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hata saa tisa.
Marko 15:34 Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Marko 15:35 Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.
Marko 15:36 Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumtelemsha.
Marko 15:37 Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Marko 15:38 Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini.
Marko 15:39 Basi yule akida, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Marko 15:40 Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;
Marko 15:41 hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.
Marko 15:42 Hata ikiisha kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,
Marko 15:43 akaenda Yusufu, mtu wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza ya mashauri, naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.
Marko 15:44 Lakini Pilato akastaajabu, kwamba amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.
Marko 15:45 Hata alipokwisha kupata hakika kwa yule akida, alimpa Yusufu yule maiti.
Marko 15:46 Naye akanunua sanda ya kitani, akamtelemsha, akamfungia ile sanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani; akavingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.
Marko 15:47 Nao Mariamu Magdalene na Mariamu mamaye Yose wakapatazama mahali alipowekwa.)

Ndo tuanzie kuijadili
Hiyo Aya uliyonipa haikusema Yesu alisulubiwa Msalabani.

Haya sura nzima hiyo hapo uliza sasa Shida yako iko wapi?
 
_ nipe Aya ya Koran imekataza kumuingilia kijakazi (kubaka kijakazi)
_thibitisha Muhammad hakuwa na house girl anaitwa Mariya
_ kama jibu ni alikuwa nae Koran inasemaje KUHUSU kufanya ngono na house girl kwenye Aya hii _Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa

Alafu thibitisha leo huyu mtu aliandika hapa ni muongo
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn

O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.
Kijana hivi unaelewa ninacho kiandika ? Naona una ruka ruka na kurudia nilicho kielezea huko nyuma.
 
Jibu ach kukwepa
nipe Aya ya Koran imekataza kumuingilia kijakazi (kubaka kijakazi)
_thibitisha Muhammad hakuwa na house girl anaitwa Mariya
_ kama jibu ni alikuwa nae Koran inasemaje KUHUSU kufanya ngono na house girl kwenye Aya hii _Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa
_ je unajua pia Allah sio tu kumuingilia kijakazi aliruhusu kumuingilia mwanamke yoyote na ukimaliza nae umlipe, (Mutah) na unaweza amua mwenyewe ukae nae siku ngapi?
 
We umeniuliza swali kuhusu Aya moja tu.
Marko 15:25. Na mimi nimejibu kulingana na hiyo Aya.
Bado unaniletea Aya nyingine.
Ungebandika basi Sura nzima kama hii.

( Marko 15:1 Mara kulipokuwa asubuhi wakuu wa makuhani walifanya shauri pamoja na wazee na waandishi na baraza nzima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta mbele ya Pilato.
Marko 15:2 Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu, akamwambia, Wewe wasema.
Marko 15:3 Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi.
Marko 15:4 Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!
Marko 15:5 Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.
Marko 15:6 Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye.
Marko 15:7 Palikuwa na mtu aitwaye Baraba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina, na kufanya uuaji katika fitina ile.
Marko 15:8 Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea.
Marko 15:9 Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?
Marko 15:10 Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.
Marko 15:11 Lakini wakuu wa makuhani wakawataharakisha makutano, kwamba afadhali awafungulie Baraba.
Marko 15:12 Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi?
Marko 15:13 Wakapiga kelele tena, Msulibishe.
Marko 15:14 Pilato akawaambia, Kwani, ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulibishe.
Marko 15:15 Pilato akipenda kuwaridhisha makutano, akawafungulia Baraba; akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, ili asulibiwe.
Marko 15:16 Nao askari wakamchukua ndani ya behewa, ndiyo Praitorio (yaani, nyumba ya uliwali), wakakusanya pamoja kikosi kizima.
Marko 15:17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;
Marko 15:18 wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!
Marko 15:19 Wakampiga mwanzi wa kichwa, wakamtemea mate, wakapiga magoti, wakamsujudia.
Marko 15:20 Hata wakiisha kumdhihaki, wakamvua lile vazi la rangi ya zambarau, wakamvika mavazi yake mwenyewe; wakamchukua nje ili wamsulibishe.
Marko 15:21 Wakamshurutisha mtu aliyekuwa akipita, akitoka mashamba, Simoni Mkirene, baba yao Iskanda na Rufo, ili auchukue msalaba wake.
Marko 15:22 Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Marko 15:23 Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee.
Marko 15:24 Wakamsulibisha, wakagawa mavazi yake, wakayapigia kura kila mtu atwae nini.
Marko 15:25 Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.
Marko 15:26 Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Marko 15:27 Na pamoja naye walisulibisha wanyang'anyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto. [
Marko 15:28 Basi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na waasi.]
Marko 15:29 Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa, wakisema, Ahaa! Wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga katika siku tatu,
Marko 15:30 jiponye nafsi yako, ushuke msalabani.
Marko 15:31 Kadhalika na wakuu wa makuhani wakamdhihaki wao kwa wao, pamoja na waandishi, wakisema, Aliponya wengine; hawezi kujiponya mwenyewe.
Marko 15:32 Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Hata wale waliosulibiwa pamoja naye wakamfyolea.
Marko 15:33 Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hata saa tisa.
Marko 15:34 Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Marko 15:35 Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya.
Marko 15:36 Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumtelemsha.
Marko 15:37 Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Marko 15:38 Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini.
Marko 15:39 Basi yule akida, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Marko 15:40 Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;
Marko 15:41 hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.
Marko 15:42 Hata ikiisha kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,
Marko 15:43 akaenda Yusufu, mtu wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza ya mashauri, naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.
Marko 15:44 Lakini Pilato akastaajabu, kwamba amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.
Marko 15:45 Hata alipokwisha kupata hakika kwa yule akida, alimpa Yusufu yule maiti.
Marko 15:46 Naye akanunua sanda ya kitani, akamtelemsha, akamfungia ile sanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani; akavingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.
Marko 15:47 Nao Mariamu Magdalene na Mariamu mamaye Yose wakapatazama mahali alipowekwa.)

Ndo tuanzie kuijadili
Hiyo Aya uliyonipa haikusema Yesu alisulubiwa Msalabani.

Haya sura nzima hiyo hapo uliza sasa Shida yako iko wapi?
Ngoja nikuwekee video ya sekunde 30 kuhusu Marko anavyosema kwa vitendo nadhani utaelewa. Isikilize hiyo video inavyosema they crucified him na hawajasema "they crucified on the cross". Haina maana kusema "they crucified him" ni kwamba hakuna msalaba. Vitu hivi vidogo unashindwa kuelewa kweli?
 
Ngoja nikuwekee video ya sekunde 30 kuhusu Marko anavyosema kwa vitendo nadhani utaelewa.
View attachment 1848425
Weka Video au Aya zozote zile.

Hoja ya Msingi hapo ni kuwa Kijana
[emoji117]Yesu alisulubiwa Msalabani.

Wanafunzi wa Yesu, na walioiandika Injiri wote wanakiri hivyo.

Maswala ya Yesu alisulubiwa saa ngapi hasa.
Alivaa Joho Jekundu au la
Zambarau, sio hoja za msingi sana.

Hoja za Msingi ni,
Yesu alizaliwa, alibatizwa, alihubiri Injiri, aliteswa, alisulubiwa msalabani, alikufa, alizikwa, alifufuka siku ya tatu, alipaa mbinguni, atarudi siku ya Kiyama kuwahukumu wazima na wafu, na kuwatwaa Watakatifu na kuwapeleka Mbinguni.

Hiyo ndiyo Misingi ya Imani ya Kikristo na ilibidi ithibitishwe kama ilivyo na Mitume na Manabii.

Hayo maelezo mengine ni Sherehe tu, za kushehereshea hiyo misingi.
 
Ni vizuri umekiri mwenyewe kwamba biblia kuna aya zinakinzana. Kwenye agano la kale kuna "contradictions" kama zote, agano jipya pia hivyo hivyo.
Masuala ya kusulubiwa kuna pia "contradictions" kama zote.
 
Hakuna contradiction ,
Alafu kabla ya kutoa maoni Yako soma commentaries za wakristo zinasemaje ndio ujengee hoja yako

Umeona Mimi huwa hapo juu siweki maelezo yangu hua naitumia maelezo ya waislamu mpaka imefikia maali mubarridi anaona waislamu wenzake waongo
 
Ni vizuri umekiri mwenyewe kwamba biblia kuna aya zinakinzana. Kwenye agano la kale kuna "contradictions" kama zote, agano jipya pia hivyo hivyo.
Masuala ya kusulubiwa kuna pia "contradictions" kama zote.
Mimi sijakiri popote kuwa Biblia kuna Aya zinakinzana. Kwenye Agano la Kale na Agano Jipya.
Maeleza yangu yote yapo hapo
juu.
Nimekwambia Yako mafundisho ya Msingi ambayo kwayo Manabii na Mitume walipaswa kuyashuhudia na kuyafundisha kuhusu maisha ya Yesu Kristo.
Na nimekutajia hapo juu, mojawapo ni kifo chake Msalabani.

Mambo ya alisulubiwa saa ngapi, alivaa nguo rangi gani (maswali haya mawili yanaulizwa sana na Waislamu) alikamatwa saa ngapi siyo ya msingi katika imani ya Kikristo.

Hata kwenye Qurani yako, habari za saa ngapi Muhammadi alifanya kitu gani, au alivaa nguo ya rangi gani, hayajatiliwa maanani na waandishi wa Kiislamu,
Waliandika mambo waliyoyaona ndio msingi wa Uislamu.
 
Picha linaendelea

Analia kwa Mungu wa kweli Elloi Elloi Lamma .......... Mungu wangu , Mungu wangu mbona umeniwacha ??

View attachment 1847767View attachment 1847767
Ulicho post ni uharo
pmm-fart2.jpg
 
Subiri upewe porojo hapo kwamba ukiwa kuna shule unafundisha kwenye darasa ambalo ndani yake kuna mwanao anasoma, darasani atakuita mwalimu na nyumbani atakuita baba. Kwa hiyo huyo mtu mmoja amegawanyika pande mbili.
Kwa hiyo hapo jibu lake mwalimu anamlilia baba au baba anamlilia mwalimu.
Huu Ukafiri wenu wa kushahadia kwa kipunjo kwamba ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANA MSHAURI MMESHA ANGAMIA MSIPO TUBU![emoji24][emoji24][emoji24]

SASA TAMKA LEO HADHARANI NA HILO DOLE LAKO!; KWAMBA ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI!
 
Subiri upewe porojo hapo kwamba ukiwa kuna shule unafundisha kwenye darasa ambalo ndani yake kuna mwanao anasoma, darasani atakuita mwalimu na nyumbani atakuita baba. Kwa hiyo huyo mtu mmoja amegawanyika pande mbili.
Kwa hiyo hapo jibu lake mwalimu anamlilia baba au baba anamlilia mwalimu.
Allah aliwezaje kuwa mti na kuwa mkono jiwe la mecca ?
 
Unajua wewe huwa sikujibu sababu naona unaandika utoto mwingi na hauko serious na mjadala au kimjadala.

Uongo amefanya wapi,Allah ameshatusamehe waja wake kwa kufanya makosa kwa kuto kujua,hata mimi na wasio kuwa mimi.

Hili,mtume alisha samehewa makosa yake yaliyo pita na yajayo,na katu hakuzembea kufanya mema kisa amepewa msamaha,ndiyo maana mke wake aka hoji,inakuwaje umesha samehewa madhambi yako lakini bado una simama usiku na kumuomba Allah ?

Mtume maisha yake yote alikuwa anataka msamaha kila siku,tena saidi ya mara 70,na sisi akatufunza dua hizo za kumtaka msamaha Allah kwa makosa ya makusudi,bahati mbaya au kwa kuto kujua. Rejea kitabu "Hisnul Muslim" cha Shaykh Qahtaan,au "Sahih al Adhkar" cha Shaykh Albaani au "Adhkari sabah wa al Masaa" cha Shaykh Raslaan kama sijakosea. Zote wamekusanya dua alizo akiziomba Mtume na kuwafundisha maswahaba zake.

Bado nina wadai vijana.

Kuna dhambi Ambayo ni kufuru ya kufa mtu hata ibilisi haja ikurubia! Ilaha allah na baba yake kasimu waliikurubia walipo sema!; Mwenyezi Mungu, Malaika Gabriel, Yesu ni makafiri!
Ushahidi rejea hapa ili ufahamu Wakristo Waliwaiga nani kusema Yesu ni Mwana wa Mungu?
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Mungu Mwenyezi ni wa Kwanza Kusema Yesu ni Mwanae!
[emoji116][emoji116]
MK. 1:10-11 Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Wa pili ni Malaika Gabriel naye Kasema Yesu ni Mwana wa Mungu!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
LK. 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Yesu Mwenyewe Kasema Mungu ni Baba Yake!

MT. 16:17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.

Kwa mujibu wa qaraa hao wote ni Makafiri [emoji15][emoji134][emoji2533]‍[emoji3603]

Ukae Ukijua Wakristo REJEA yao ni Biblia Takatifu waliyo Ifuata na Kuiishi si pungufu wala zaidi[emoji106][emoji2533][emoji123][emoji2533]

Ndipo sasa Uone Adhari ya Kukaririshwa ilimu ya adui wa jibiril kwa bakora za makalio madrasa[emoji134][emoji2533]‍[emoji3603][emoji2956][emoji2956]
 
Allah aliwezaje kuwa mti na kuwa mkono jiwe la mecca ?
Leta rejea kwa hicho unachokisema. We hauoni mi ninavyotoa aya za biblia hadi video ili muelewe ili baadaye usije kulalamika siku yako ikifika usidai kwamba haukujiwa na ujumbe.
 
Inamaana wewe ni muislamu nahaujui Allah alikuwa mti, na pia haujui Allah ni mkono wa jiwe la mecca,

Kama hujui vitu hivi jiulize uislamu wako
 
Kuna dhambi Ambayo ni kufuru ya kufa mtu hata ibilisi haja ikurubia! Ilaha allah na baba yake kasimu waliikurubia walipo sema!; Mwenyezi Mungu, Malaika Gabriel, Yesu ni makafiri!
Ushahidi rejea hapa ili ufahamu Wakristo Waliwaiga nani kusema Yesu ni Mwana wa Mungu?
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Mungu Mwenyezi ni wa Kwanza Kusema Yesu ni Mwanae!
[emoji116][emoji116]
MK. 1:10-11 Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Wa pili ni Malaika Gabriel naye Kasema Yesu ni Mwana wa Mungu!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
LK. 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Yesu Mwenyewe Kasema Mungu ni Baba Yake!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
MT. 16:17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.

Kwa mujibu wa qaraa hao wote ni Makafiri [emoji15][emoji134][emoji2533]‍[emoji3603]

Ukae Ukijua Wakristo REJEA yao ni Biblia Takatifu waliyo Ifuata na Kuiishi si pungufu wala zaidi[emoji106][emoji2533][emoji123][emoji2533]

Ndipo sasa Uone Adhari ya Kukaririshwa ilimu ya adui wa jibiril kwa bakora za makalio madrasa[emoji134][emoji2533]‍[emoji3603][emoji2956][emoji2956]
Kati ya Aya za Qurani zenye mkanganyiko mkubwa ni hii Sura ya Toba 30.
Hebu tuisome kwa umakini hapa chini.

9:30 - Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

1. (Mayahudi wanasema, Uzeir ni mwana wa Mungu.)
a) Huyu Uzeir ni nani ?
b) Wayahudi walisema wapi kuwa Uzeir ni mwana wa Mungu ?
maswali haya hayajajibiwa hadi hii leo.

2. (Wakristo wanasema Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao)
sawa tumesema hivyo

[emoji117](Wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.)

1. Hao walio kufuru awali kabisa ya Wakristo, kwa kusema Masihi ni mwana wa Mungu ni akina nani ?

Mosi
Luka 1:35
Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
1. Malaika Gabriel

Pili
Mathayo 3:16
Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;

Mathayo 3:17
na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
2. Mungu mwenyewe kasema hivyo.

4. (Mwenyezi Mungu na awa angamize, wanageuzwa namna gani hawa ?)

Hapa tunapata dhana mbili.

1. Anayesema hapa ni nani ?
2. Vipi Mungu Allah, anamwomba Mungu wake, awaangamize Malaika Gabriel na Mungu Yehova ?
Kwakuwa walisema mwanzo kabisa kuwa Masihi ni mwana wa Mungu ?

Au basi tuseme, haya ni maneno ya Muhammadi na siyo ya Allah ?
sasa mbona Aya haina neno ka Kur,
yaani Sema ewe Mtume

Waislamu nguli njooni mtuelimishe kuhusu hii Aya.
Aya moja tu, 9:30, Surat Tawba. Sura ya kutubu.
 
Leta rejea kwa hicho unachokisema. We hauoni mi ninavyotoa aya za biblia hadi video ili muelewe ili baadaye usije kulalamika siku yako ikifika usidai kwamba haukujiwa na ujumbe.
Hapa
[emoji116][emoji116]
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى ( 10 )
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ ( 11 )
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ ( 13 )
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
 
Back
Top Bottom