Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1. Je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha
Hakuna biblia wala quran ya kweli ni ngojnjera za mabeberu kuwanyonya na kuwatawala wengine.
 
Endelea kuwasaidia hawa watu. Muhammadi kawapumbaza kabisa, wanahitaji msaada mkubwa kuelewa mada za Kiroho ambazo hawakujaaliwa kuzifahamu.

Angalia hiyo maana ya Nafsi tu inawasumbua, pamoja kwamba nimewafafanulia nilipo anza kueleza maana ya UTATU.
It's ndio vitu gani...nyie ndio mmepotishwa ivi wawepo miunga watatu huko mbiguni kutakalika..unakuta mungu huyu nataka uyu afe huyu hataki hilo vagi dunia ingeenda? Acheni uzuzu vitu vingine ni simple logic... Mungu wa wivu anakubalije wawe miungu wa 3
 
Ili kuelewa vizuri chukua mtoto ndiye sisi wanadamu.
Mungu anaweza kusema na sisi kama
Baba yetu aliyetuzaa.
Au
Mwalimu wetu
anayetufundisha jinsi ya kuishi maisha yanayopasika.

Yeye anabaki kuwa Mungu mmoja.
Pamoja na kusema nasi katika Nafsi mbili.
Yesu alikuwa Binadamu kama wewe.
Soma mada yangu hapo juu.
Kwa hiyo unataka kusema pale alivyokuwa msalabani anavyolia Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha alikuwa anamlilia nani wakati hayupo kwenye mafunzo? Au alivyokuwa anasali yupo peke yake anavyomuomba Mungu baba ikibidi kikombe hiki kiniepuke? Kama ni yeye huyo mwenyewe ina maana alikuwa anajilalamikia mwenyewe kwa vitu anavyotendewa au inafundisha nini?
 
Kama Hakufanya dhambi ya Uongo kuna haja gani ya Msamaha?!
Halafu allah alipo mkemea baba kasimu Hakuomba msamaha kapotezea[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii uite nini ??

And they all forsook him and fled.
And a youth (“neaniskos”) accompanied him, clothed in a linen cloth (“sindona”) over his nudity (“gumnos”). And they seized him. And he, leaving his linen cloth, fled nude (“gymnos”).

(Mark 14: 50 -52)


Who is this youth?
What is he doing there? Why has he stayed behind, “accompanying” Jesus, after all the others have fled (at least until he is seized, and then flees, naked).
Why is he so lightly clothed, that his garment can fall away so easily (the “sindoma” was not properly an item of clothing at all, but just a loose linen sheet)?
And why use a word, “gymnos” for nudity, which is strongly associated with the homoeroticism of the Greek gymnasium – where young men exercised naked, and older men came to admire them?
 
Kwa hiyo Mungu kwa imani yako ni mmoja ila ana mgawanyiko wa utatu? Ilikuwa kuna haja gani huyo Yesu apigwe misumari pale msalabani kwa dhambi alizotenda mwingine?
UTATU sio mgawanyiko. Ni utambulisho wa Uhai flani unaodumu katika muda husika.
Kwenye Biblia kuna Mada ya Mama wa Nabii Musa.

Musa akiwa mtoto alichukuliwa na Binti Farao ili amlee baada ya kumuokota Mtoni.

Mama wa Musa ilibidi ajifanye Housegirl yaani Mjakazi ili uweze kumlea mtoto wake Nabii Musa.

Hivyo Basi Mama wa Musa ilibidi ajitambulishe kama kijakazi,
(Kwa Nafsi ya Kijakazi ili utimize lengo lake)

Hivyo pale kwa Farao, Mtoto Musa alijua kuwa huyu anayejitambulisha kama Kijakazi kwa Binti Farao ni mama yake mzazi.

Hivyo mama ya Musa alichukua aliishi katika Nafsi Mbili pale kwa Binti Farao.

1. Kama Mama wa Musa ( na alijitambulisha hivyo kwa mtoto wake Musa.
2. Kama Kijakazi wa Farao, mlezi wa mtoto Musa. ( na alijitambulisha hivyo kwa Binti Farao)

Pamoja na kujitambilisha kote huko kwa Nafsi mbili, mama wa Musa alibaki kuwa ni mtu mmoja.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

{Nasi tukauona utukufu wake
kama (Nafsi ya pili)[emoji117]Mwana pekee, atokaye kwa, (Nafsi ya kwanza) [emoji117]Baba, ambaye ni [emoji117]Roho Mtakatifu mwenyewe ambaye ndiye Neno ( Nafsi ya tatu)}

Kama ilivyokuwa kwa mama wa Musa.
Mungu ni yuleyule mmoja pia.

Nadhani hapa umepata kitu flani kama japo una elimu ya Madrasa.
 
Tamthiria ya hali ya juu, iliyoigizwa na mtu wa hali ya juu ni hii hapa.
Ipitie taratibu ufurahie Fani na Maudhui yake.

Picha linaanza.

[emoji871]Revisiting Muhammad's Marriage to His Adopted Son's Divorcee, Zaynab Bint Jash:

A Response to a Muslim's Defense of the Moral Ramifications of such a Union
Sam Shamoun
One of the most shocking events in the life of Muhammad, one which has been a major source of embarrassment for Muslims, is his marriage to his adopted son's former wife, Zaynab bint Jash. Zaynab had married Zayd, the freed slave of Muhammad's first wife, Khadijah, whom Muhammad adopted as his son. According to some versions of the story, Muhammad had ventured to see his adopted son, Zayd, at his house. Upon arriving, he found Zaynab unveiled and was enamored by her beauty. As he departed, Muhammad made some comments which she heard and, when her husband returned, told him what had transpired. After Zayd heard that Muhammad had made some comments about his wife's beauty, he went to his adoptive father and told him that he would divorce her so he could marry her if this is what Muhammad desired. Muhammad refused and encouraged his adopted son to remain with his wife. Subsequently, Zayd divorced his wife and Muhammad was commanded by Allah to then marry Zaynab, his adopted son's divorcee.
The Quran refers to this marriage in the following passage:

When thou saidst to him whom God had blessed and thou hadst favoured, 'Keep thy wife to thyself, and fear God,' and thou wast CONCEALING WITHIN THYSELF what God should reveal, FEARING OTHER MEN; and God has better right for thee to fear Him. So when Zaid had accomplished what he would of her, THEN WE GAVE HER IN MARRIAGE TO THEE, so that there should not be any fault in the believers, touching the wives of their adopted sons, when they have accomplished what they would of them; and God's commandment must be performed. S. 33:37

One Muslim who tries to justify this marriage is Mohd Elfie Nieshaem Juferi (MENJ) of the Bismikaallahuma web site. In this article MENJ seeks to refute the charge that Muhammad had adulterous desires for a married woman, which then caused her husband to divorce her, giving Muhammad the opportunity to marry her. He does so by quoting Qadi Iyad ibn Musa al-Yahsubi's comments on Muhammad's marriage to Zaynab. The section in MENJ's article is taken from the book, Ash-Shifa of Qadi ‘Iyad (Muhammad, Messenger of Allâh), Madinah Press, Granada (1991), pp. 352-354. The work was translated by Aisha Bewley.
For some strange reason MENJ seems to presume that Qadi Iyad's version of the story will somehow absolve Muhammad of the charges leveled against him, when, in point of fact, they do more damage.
Here, we will quote the story as it appears in MENJ's article and provide a response, in order to highlight how even this version of the events should cause major embarrassment for Muslims. All underline and capital emphasis is ours. The article begins:

The soundest version concerning this matter is in what the commentators have related from ‘Ali ibn Husayn. Allâh knew better than His Prophet that Zaynâb would be one of his wives. When Zayd complained about her to the Prophet(P), he told him, "Keep your wife and fear Allâh." He hid in himself what Allâh had intimated to him about his marriage to her but Allâh brought it into the open by bringing her marriage to an end through Zayd’s divorcing her.
Al-Qûshayrî said that saying such a thing is a great audacity on the part of the one who says it and a lack of recognition of what is due to the Prophet(P) and of his supreme excellence. How could it be said that he saw her and admired her when she was his cousin and he had been seeing her since the time when she was born? Women did not veil themselves from him and he himself had married her to Zayd.
ALLAH MADE ZAYD DIVORCE ZAYNAB and marry the Prophet(P) to remove the barrier set up by ties of adoption and invalidating its customs. He says, "Muhammad is not the father of any of your men." (33:40) And He says, "So that there would not be any fault for the believers regarding the wives of their adopted sons." (33:37)
Abû`l-Lâyth as-Samarqândî said that if people ask what is the benefit in the Prophet(P) commanding Zayd to keep Zaynâb when Allâh had informed him that she was to be his wife, it is that the Prophet(P) forbade Zayd to divorce his wife because of the disharmony between Zayd and her while concealing in himself what Allâh had informed him about. When Zayd divorced her, her [sic] FEARED THAT PEOPLE WOULD SAY HE WAS MARRYING HIS SON'S WIFE, so Allâh commanded him to marry her to make what he was doing lawful for his community as Allâh said, "So that there would not be any fault for the believers regarding the wives of their adopted sons." (33:37)

The Muslim source says a little later:

He said that the timidity (khashya) referred to here does not mean fear itself (khawf). It means to be modest or shy, i.e. he was shy before them because they would say, "He has married his son’s wife." The Prophet’s(P) fear of people was because of the lies spread by the hypocrites and Jews when they made controversies for the Muslims by saying, "He has married his son’s wife" after he had forbidden them to marry the wives of their sons. Allâh censured him for this and freed him from paying any attention to them concerning what He had made lawful for him as He censured him for his deference to his wives’ pleasure in Sura at-Tahrim when He said, "Why do you make haram what Allah has made halal for you?" (66:1) This is the same as when Allâh says to him, "You fear people and it is more fitting to fear Allah." (33:37)
Al-Hasan ibn ‘Ali and `Aishâ related, "If the Messenger of Allâh, may Allâh bless him and grant him peace, had concealed anything, he would have concealed this ayat since it contains blame of him and uncovers what he had concealed."

RESPONSE:
Here, we are asked to believe that Allah, whom Muslims believe is the same God revealed in the Holy Bible, was the one who wanted Muhammad to marry someone else's wife, moving Muhammad to have adulterous desires. Allah even caused the divorce of the married couple so as to bring about Zaynab's marriage with Muhammad!
The above quotes clearly say that Muhammad even tried to conceal his desires since he knew the shame and embarrassment this would cause in the eyes of the people, implying that Muhammad held to a higher moral standard than Allah himself!
The God of the Holy Bible, Yahweh Elohim, has this to say about those who have desires for married women:

"You have heard that it was said, 'You shall not commit adultery.' But I say to you that everyone who looks at a woman with lustful intent has already committed adultery with her in his heart." Matthew 5:27-28

The Holy Bible also says that the true God hates divorce:

"'This is another thing you do: you cover the altar of the LORD with tears, with weeping and with groaning, because He no longer regards the offering or accepts it with favor from your hand. Yet you say, "For what reason?" Because the LORD has been a witness between you and the wife of your youth, against whom you have dealt treacherously, though she is your companion and your wife by covenant. But not one has done so who has a remnant of the Spirit And what did that one do while he was seeking a godly offspring? Take heed then to your spirit, and let no one deal treacherously against the wife of your youth. For I hate divorce,' says the LORD, the God of Israel, 'and him who covers his garment with wrong,' says the LORD of hosts. So take heed to your spirit, that you do not deal treacherously.'" Malachi 2:13-16

Hence, Allah of the Quran is completely unlike the true God of the Holy Bible who hates adulterous acts and desires, as well as hating divorce, and would not force anyone to forsake their wives so as to allow others to marry them.
This isn't the only time that Allah contradicts the true God Yahweh, as the following passages show:

"When a man takes a wife and marries her, if then she finds no favor in his eyes because he has found some indecency in her, and he writes her a certificate of divorce and puts it in her hand and sends her out of his house, and she departs out of his house, and if she goes and becomes another man's wife, and the latter man hates her and writes her a certificate of divorce and puts it in her hand and sends her out of his house, or if the latter man dies, who took her to be his wife, then her former husband, who sent her away, may not take her again to be his wife, after she has been defiled, for that is an abomination before the LORD. And you shall not bring sin upon the land that the LORD your God is giving you for an inheritance." Deuteronomy 24:1-4
"'If a man divorces his wife and she goes from him and becomes another man's wife, will he return to her? Would not that land be greatly polluted? You have played the whore with many lovers; and would you return to me?' declares the LORD." Jeremiah 3:1
If he divorces her finally, she shall not be lawful to him after that, until she marries another husband. If he divorces her, then it is no fault in them to return to each other, if they suppose that they will maintain God's bounds. Those are God's bounds; He makes them clear unto a people that have knowledge. S. 2:230

Yahweh classifies as an abomination a practice that Allah says is perfectly fine!
But wait, there is more! There happens to be another major problem with the Quran's reasoning behind Muhammad marrying his adopted son's divorcee. The Quran claims that the purpose for the marriage, the rationale behind Muhammad marrying Zaynab, is so that the believers could see that there is no sin in a person marrying his adopted son's former wife. But the main problem with this line of reasoning is that the Quran prohibits Muslim men from adopting sons altogether!

God has not assigned to any man two hearts within his breast; nor has He made your wives, when you divorce, saying, 'Be as my mother's back,' truly your mothers, neither has He made your adopted sons your sons in fact. That is your own saying, the words of your mouths; but God speaks the truth, and guides on the way. Call them after their true fathers; that is more equitable in the sight of God. If you know not who their fathers were, then they are your brothers in religion, and your clients. There is no fault in you if you make mistakes, but only in what your hearts premeditate. God is All-forgiving, All-compassionate. S. 33:4-5

Regarding this passage, Ibn Kathir says:


This was revealed concerning Zayd bin Harithah, may Allah be pleased with him, the freed servant of the Prophet. The Prophet had adopted him before prophethood, and he was known as Zayd bin Muhammad. Allah wanted to put an end to this naming and attribution ...
This is a command which abrogates the state of affairs that existed at the beginning of Islam, when it was permitted to call adopted sons after the man who adopted them. Then Allah commanded that they should be given back the names of their real fathers, and states that this was more fair and just. Al-Bukhari (may Allah have mercy on him) narrated that ‘Abdullah bin ‘Umar said: "Zayd bin Muhammad, may Allah be pleased with him, the freed servant of the Messenger of Allah was ALWAYS CALLED Zayd bin Muhammad, UNTIL (the words of the) QUR'AN WERE REVEALED ...
"
This was also narrated by Muslim, At-Tirmidhi and An-Nasa’i. They used to deal with them as sons in every respect, including being alone with them as Mahrams and so on. Hence, Sahlah bint Suhaly, the wife of Abu Hudhayfah, may Allah be pleased with them both, said: "O Messenger of Allah! We used to call Salim our son, but Allah has revealed what He has revealed. He used to enter upon me, but I feel that Abu Hudhayfah does not like that." The Prophet said ...
((Breastfeed him and he will become your Mahram.))
Hence when this ruling was abrogated, Allah made it permissible for a man to marry the ex-wife of his adopted son, and the Messenger of Allah married Zaynab bint Jash, the divorced wife of Zayd bin Harithah, may Allah be pleased with him, Allah said ...
(33:37)
And Allah says in Ayat At-Tahrim ...
(4:23).
The wife of an adopted son is not included because he was not born from the man's loins. A "foster" son through breastfeeding is the same as a son born from one's own loins, from the point of view of the Shari‘ah, because the Prophet said in the Two Sahihs ...
((Suckling makes unlawful as lineage does.)) ...
This is concerning Zayd bin Harithah, may Allah be pleased with him. He was killed in 8 AH at the battle of Mu’tah. In Sahih Muslim it is reported that Anas bin Malik, may Allah be pleased with him, said: "The Messenger of Allah said ...
((O my son.))" It was also reported by Abu Dawud and At-Tirmidhi ...

Here Allah commands that adopted sons should be given back their fathers' names, if they are known; if they are not known, then they should be called brothers in faith or freed servants, to compensate for not knowing what their real lineage is. (Tafsir Ibn Kathir (Abridged) Volume 7 (Surat An-Nur to Surat Al-Ahzab, Verse 50), abridged by a group of scholars under the supervision of Shaykh Safiur-Rahman Al-Mubarakpuri [Darussalam Publishers & Distributors, Riyadh, Houston, New York, London, Lahore; First Edition: August 2000], pp. 634-637; bold and capital emphasis ours)

And, in reference to surah 33:40, Ibn Kathir writes:


After this it was not permitted to say Zayd bin Muhammad, i.e., he was not his father even though he had adopted him ... (Ibid., p. 701; bold emphasis ours)

Muslim jurist, Imam Malik, recorded:

Yahya related to me from Malik from Ibn Shihab that he was asked about the suckling of an older person. He said, ''Urwa ibn az-Zubayr informed me that Abu Hudhayfa ibn Utba ibn Rabia, one of the companions of the Messenger of Allah, may Allah bless him and grant him peace, who was present at Badr, adopted Salim (who is called Salim, the mawla of Abu Hudhayfa) as the Messenger of Allah, may Allah bless him and grant him peace, adopted Zayd ibn Haritha. He thought of him as his son, and Abu Hudhayfa married him to his brother's sister, Fatima bint al-Walid ibn Utba ibn Rabia, who was at that time among the first emigrants. She was one of the best unmarried women of the Quraysh. When Allah the Exalted sent down in His Book what He sent down about Zayd ibn Haritha, 'Call them after their true fathers. That is more equitable in the sight of Allah. If you do not know who their fathers were then they are your brothers in the deen and your mawali,' (Sura 33 ayat 5) people in this position were traced back to their fathers. When the father was not known, they were traced to their mawla... (Malik's Muwatta, Book 30, Number 30.2.12)

In light of the foregoing, we must ask how could Muhammad be an example for others to emulate regarding the permissibility of marrying one's adopted son's divorcee when Allah went on to forbid the practice of adoption? Does this make any sense whatsoever?
The Qadi continues:

It is said that the Prophet’s(P) command to Zayd to keep Zaynâb was to restrain the appetite which comes to the self from its desire. If we allow this, it must be that he saw her and suddenly thought her beautiful. Things like this are unobjectionable since it is the nature of the Banu Adam[2] to find beauty beautiful. The sudden glance is forgiven. Then he restrained himself from her and told Zayd to keep her.

RESPONSE:
It may be the case that a sudden glance can be forgiven, but when the glance causes a divorce then this becomes a major sin. It is the sin of adultery, a sin which God doesn't take lightly. The admission that Muhammad saw Zaynab and thought she was beautiful means that Muhammad had committed adultery in his heart. The fact that he went ahead and married the divorcee, instead of curtailing his adulterous desires, means that Muhammad and Zaynab were adulterers in the eyes of the true God:

"It was also said, 'Whoever divorces his wife, let him give her a certificate of divorce.' But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery. And whoever marries a divorced woman commits adultery." Matthew 5:31-32

According to the Lord Jesus, Zayd had no grounds for divorcing Zaynab, since neither party committed adultery, and their marriage was still binding when Muhammad married her. Thus, no matter what reason Muslims come up with, the moral problem still remains.
We now turn to the final point of our response:

Abu Bakr ibn Fûrak said that the Prophet(P) was free from hypocrisy and manifesting the opposite of what was inside him. Allâh freed him of that when he said, "There is no fault in the Prophet in what Allah has decreed for him." (33:38) Whoever thinks that about the Prophet(P) has lied.

RESPONSE:
Let us see if, whether, the Muslim sources agree that Muhammad was free from hypocrisy:

Narrated 'Aisha:
A man asked permission to enter upon the Prophet. When the Prophet saw him, he said, "What an evil brother of his tribe! And what an evil son of his tribe!" When that man sat down, the Prophet behaved with him in a nice and polite manner and was completely at ease with him. When that person had left, 'Aisha said (to the Prophet). "O Allah's Apostle! When you saw that man, you said so-and-so about him, then you showed him a kind and polite behavior, and you enjoyed his company?" Allah's Apostle said, "O 'Aisha! Have you ever seen me speaking a bad and dirty language? (Remember that) the worst people in Allah's sight on the Day of Resurrection will be those whom the people leave (undisturbed) to be away from their evil (deeds)." (Sahih al-Bukhari, Volume 8, Book 73, Number 59o)

The above hadith shows Muhammad acting hypocritically towards a person who he had just slandered behind his back! Thus, it is not at all evident that Muhammad was free of hypocrisy or of manifesting the opposite of what was inside him.
To summarize the data from the very Muslim source which MENJ cites approvingly, we learned that:

Allah caused Muhammad to have desires for a married woman, for his adopted son's wife.

Allah even caused Muhammad's son to divorce his wife so that Muhammad could then marry her.

The reason why Allah did this was to show others that it was permissible for them to marry their adopted sons' former wives.

Yet, later on, Allah forbids the adoption of children and does not allow any one to be called the child of someone other than his/her biological father.

Therefore, Muhammad's marriage to Zaynab was unnecessary since Muslims have no chance of ever marrying the former wives of their adopted children, seeing that there is no more adoption in Islam!

Furthermore, Muslims believe that Allah knows all things, which means that he knew beforehand that he was going to abolish the practice of adoption. Why, then, did he commission the divorce between Zayd and Zaynab, so as to allow Muhammad to marry the latter as a way of showing other Muslims that this practice is ok, when he already knew in advance that he would prohibit adoption altogether?

In light of the preceding, is it not rather obvious that Muhammad needed justification for marrying his adopted son's wife, his daughter-in-law, after having caused a rift in the marriage due to his desires for Zaynab which then led to the couple divorcing? Are we really supposed to believe that the true God not only put it in Muhammad's heart to desire a married woman, but also caused Zayd to divorce his wife in order that Muhammad could marry her? Does God really cause people to lust, to have adulterous desires?
Surprisingly, according to Islamic theology, he actually does:

Narrated Ibn 'Abbas:
I did not see anything so resembling minor sins as what Abu Huraira said from the Prophet, who said, "Allah has written for the son of Adam his inevitable share of adultery whether he is aware of it or not: The adultery of the eye is the looking (at something which is sinful to look at), and the adultery of the tongue is to utter (what it is unlawful to utter), and the innerself wishes and longs for (adultery) and the private parts turn that into reality or refrain from submitting to the temptation." (Sahih Al-Bukhari, Volume 8, Book 77, Number 609)
Abu Huraira reported Allah's Apostle (may peace be upon him) as saying: Verily Allah has fixed the very portion of adultery which a man will indulge in, and which he of necessity must commit. The adultery of the eye is the lustful look, and the adultery of the tongue is the licentious speech, the heart desires and yearns, which the parts may or may not put into effect. (Sahih Muslim, Book 033, Number 6421, see also Number 6422)

How, then, can the Allah of Islam be the same God revealed in the Holy Bible? The answer is, he can't be, simple as that.
Responses to Bismikaallahuma
Articles by Sam Shamoun
Answering Islam Home Page


Picha linaendelea

Analia kwa Mungu wa kweli Elloi Elloi Lamma .......... Mungu wangu , Mungu wangu mbona umeniwacha ??


1625861593051.png
1625861593051.png
 
Analia kwa Mungu wa kweli Elloi Elloi Lamma .......... Mungu wangu , Mungu wangu mabona umeniwacha ??


View attachment 1847767
Ndio, huyo ni Mwanadamu Yesu, anamlilia Mungu wake Yehova, baada ya kuondoka ndani mwake.
Kumbuka Mungu hakai ndani ya Maiti ya Binadamu.

Ni kama wale Masharifu Majini.
Huwa wanakariri Qurani yote kama Jini au Majini Maislamu yanakaa ndani yao.
Masharifu, wakisha zoea kula Nguruwe, Majini yanaondoka ndani yao na wanabaki watupu kabisa.
Hakuna tena cha kukariri Qurani wala cha nini.
Wanabaki maamuma tu, na wazurulaji wa mjini.

Nadhani kwa mfano huu umeelewa vizuri.
Kama Majini yanawaongoza Masharifu kusoma Qurani na kufundisha Dini ya Kiislamu.

Unashangaa nini Mungu kukaa ndani ya Yesu na kumwezesha,
1. Kufufua wafu
2. Kusamehe dhambi waovu
3. Kuhubiri Injiri
4. Kutangaza Amri kuu mbili mpya
- Kumpenda Mungu
-Kumpenda Jirani.
5. Kuponya wagonjwa
Nk.

Tatizo lako wewe Gavana unaamini uwezo wa Majini tu.
Uwezo wa Mungu huuamini.

Yaani Jini akae ndani ya Sharifu sawa kwako.
Mungu akikaa ndani ya Yesu huamini kabisa.

Hivi Mungu na Jini ni nani mwenye Uweza ?

Jinga sana wewe.
 
Kwa hiyo unataka kusema pale alivyokuwa msalabani anavyolia Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha alikuwa anamlilia nani wakati hayupo kwenye mafunzo? Au alivyokuwa anasali yupo peke yake anavyomuomba Mungu baba ikibidi kikombe hiki kiniepuke? Kama ni yeye huyo mwenyewe ina maana alikuwa anajilalamikia mwenyewe kwa vitu anavyotendewa au inafundisha nini?
Soma nilivyo mjibu Gavana, hapo juu, Au Mada yangu ya UTATU hapo juu.
Mimi nataka muelewe tu.
 
UTATU sio mgawanyiko. Ni utambulisho wa Uhai flani unaodumu katika muda husika.
Kwenye Biblia kuna Mada ya Mama wa Nabii Musa.

Musa akiwa mtoto alichukuliwa na Binti Farao ili amlee baada ya kumuokota Mtoni.

Mama wa Musa ilibidi ajifanye Housegirl yaani Mjakazi ili uweze kumlea mtoto wake Nabii Musa.

Hivyo Basi Mama wa Musa ilibidi ajitambulishe kama kijakazi,
(Kwa Nafsi ya Kijakazi ili utimize lengo lake)

Hivyo pale kwa Farao, Mtoto Musa alijua kuwa huyu anayejitambulisha kama Kijakazi kwa Binti Farao ni mama yake mzazi.

Hivyo mama ya Musa alichukua aliishi katika Nafsi Mbili pale kwa Binti Farao.

1. Kama Mama wa Musa ( na alijitambulisha hivyo kwa mtoto wake Musa.
2. Kama Kijakazi wa Farao, mlezi wa mtoto Musa. ( na alijitambulisha hivyo kwa Binti Farao)

Pamoja na kujitambilisha kote huko kwa Nafsi mbili, mama wa Musa alibaki kuwa ni mtu mmoja.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

{Nasi tukauona utukufu wake
kama (Nafsi ya pili)[emoji117]Mwana pekee, atokaye kwa, (Nafsi ya kwanza) [emoji117]Baba, ambaye ni [emoji117]Roho Mtakatifu mwenyewe ( Nafsi ya tatu)}

Kama ilivyokuwa kwa mama wa Musa.
Mungu ni yuleyule mmoja pia.

Nadhani hapa umepata kitu flani kama japo una elimu ya Madrasa.
Kwa hiyo unataka kusema pale alivyokuwa msalabani anavyolia Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha alikuwa anamlilia nani wakati hayupo kwenye mafunzo? Au alivyokuwa anasali yupo peke yake anavyomuomba Mungu baba ikibidi kikombe hiki kiniepuke? Kama ni yeye huyo mwenyewe ina maana alikuwa anajilalamikia mwenyewe kwa vitu anavyotendewa au inafundisha nini?
Haujajibu maswali yangu zaidi ya porojo. Mfano wako ni 'irrelevant'. Mi nauliza Yesu alipokuwa peke yake pale msalabani na alivyokuwa anasali kabla ya kusulubiwa ambapo alikuwa peke yake alikuwa anamuomba nani ikiwa yeye ni Mungu kwa imani yenu? Hakuna mtu anayemfundisha au kujitambulisha kwake.
 
Haujajibu maswali yangu zaidi ya porojo. Mfano wako ni 'irrelevant'. Mi nauliza Yesu alipokuwa peke yake pale msalabani na alivyokuwa anasali kabla ya kusulubiwa ambapo alikuwa peke yake alikuwa anamuomba nani ikiwa yeye ni Mungu kwa imani yenu? Hakuna mtu anayemfundisha au kujitambulisha kwake.
Alikuwa anamuomba Mungu.
Yesu alikuwa Binadamu kama wewe.

Mungu aliishi muda mrefu sana ndani ya mwili wa Yesu.
Akamwezesha
Kufufua wafu, Kusamehe dhambi, kuponya wagonjwa nk.

Luka 3:22
Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Luka 4:1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,

Umepata chochote hapo ?
Au bado ?
 
Picha linaendelea

Analia kwa Mungu wa kweli Elloi Elloi Lamma .......... Mungu wangu , Mungu wangu mbona umeniwacha ??


View attachment 1847767View attachment 1847767
Subiri upewe porojo hapo kwamba ukiwa kuna shule unafundisha kwenye darasa ambalo ndani yake kuna mwanao anasoma, darasani atakuita mwalimu na nyumbani atakuita baba. Kwa hiyo huyo mtu mmoja amegawanyika pande mbili.
Kwa hiyo hapo jibu lake mwalimu anamlilia baba au baba anamlilia mwalimu.
 
Subiri upewe porojo hapo kwamba ukiwa kuna shule unafundisha kwenye darasa ambalo ndani yake kuna mwanao anasoma, darasani atakuita mwalimu na nyumbani atakuita baba. Kwa hiyo huyo mtu mmoja amegawanyika pande mbili.
Kwa hiyo hapo jibu lake mwalimu anamlilia baba au baba anamlilia mwalimu.
Soma nilivyokujibu hapo juu, mada namba 1207
Mbona husemi
Mtoto anamlilia Baba yake.
Mtoto Yesu anamlilia Baba yake Mungu,
Ambaye pia ni Mwalimu wake.

Jifunze kujifunza KWELI
 
Alikuwa anamuomba Mungu.
Yesu alikuwa Binadamu kama wewe.

Mungu aliishi muda mrefu sana ndani ya mwili wa Yesu.
Akamwezesha
Kufufua wafu, Kusamehe dhambi, kuponya wagonjwa nk.

Luka 3:22
Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Luka 4:1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,

Umepata chochote hapo ?
Au bado ?
Nashukuru kwa jibu Yesu alikuwa binadamu kama mimi ila alifanya miujiza. Kuna waliopasua bahari kwa fimbo sio jambo la mchezo.
 
Nashukuru kwa jibu Yesu alikuwa binadamu kama mimi ila alifanya miujiza. Kuna waliopasua bahari kwa fimbo sio jambo la mchezo.
Wachana na habari ya kupasua Bahari.
Hapa tunamzungumzia Yesu Kristo.
Asante naona umeanza kuelewa sasa.
Uliza swali lolote kuhusu Yesu utajibiwa kwa maandiko.
Soma pia Mada namba 1204 niliyomjibu Gavana,
Utaongeza maarifa ya Ufalme wa Mbingu.
Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja.
 
Wachana na habari ya kupasua Bahari.
Hapa tunamzungumzia Yesu Kristo.
Asante naona umeanza kuelewa sasa.
Uliza swali lolote kuhusu Yesu utajibiwa kwa maandiko.
Soma pia Mada namba 1204 niliyomjibu Gavana,
Utaongeza maarifa ya Ufalme wa Mbingu.
Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja.

Marko 15:25​

Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha.


Yohana 19:14​

Siku hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Pasaka, siku iliyoitwa siku ya Matayarisho, yapata kama saa sita hivi. Pilato Akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa Mfalme wenu!”


Hapa nani yupo sahihi? Huyu Marko anasema saa 3 asubuhi ameshasulubiwa ila Yohana anasema saa 6 mchana ndiyo kwanza yupo Kwa pilato.
 
Narudia tena kingereza unakielewa ? Kama unakielewa nipe translation rahisi
Ya tafsir Al jalalayn fanya hivyo ndio niendelee
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn

O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.
Kazi ya mimi kukupa tarjama si ya kwangu. Mwanzo ulitaka tarjama ya aya kwa wepesi nimekuwekea kwa Kiswahili. Baada ya kukosa pakutokea unataka nikupe maana ya maelezo ya kwenye Tafsiri ya Jalalayn. Hii kazi ifanye wewe,kisha ujenge hoja. Usiruke ruke.

Matini ya aya imeishia katika huo mstari wa tatu,yaliyo endelea ni maelezo ya kwenye Tafsiri ya Jalalayn,maelezo ambayo yatapa nguvu kwa kurejea katika sababu ya kushuka kwa aya hiyo. Ambapo nimekupa rejea ya aya hiyo. Ngoja nikuwekee :

Nanukuu :

Al-Bukhari recorded that `Ubayd bin `Umayr said that he heard `A'ishah claiming that Allah's Messenger used to stay for a period in the house of Zaynab bint Jahsh and drink honey in her house. (She said) "Hafsah and I decided that when the Prophet entered upon either of us, we would say, `I smell Maghafir on you. Have you eaten Maghafir' When he entered upon one of us, she said that to him. He replied (to her),



«لَا، بَلْ شَرِبْتُ عَسَلًا عِنْدَ زَيْنَبَ بِنْتِ جَحْشٍ وَلَنْ أَعُودَ لَه»​


(No, but I drank honey in the house of Zaynab bint Jahsh, and I will never drink it again.)'' Then the following was revealed;



﴿يأَيُّهَا النَّبِىُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَآ أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ﴾​


(O Prophet! Why do you fobid that which Allah has allowed to you) up to.

Mwisho wa kunukuu,hii ndiyo sababu ya kushuka aya hiyo ya kwanza katika sura ya 66.

Sasa nataka uweke hoja yako,siyo una kimbia kimbia.
 
Kama Hakufanya dhambi ya Uongo kuna haja gani ya Msamaha?!
Halafu allah alipo mkemea baba kasimu Hakuomba msamaha kapotezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua wewe huwa sikujibu sababu naona unaandika utoto mwingi na hauko serious na mjadala au kimjadala.

Uongo amefanya wapi,Allah ameshatusamehe waja wake kwa kufanya makosa kwa kuto kujua,hata mimi na wasio kuwa mimi.

Hili,mtume alisha samehewa makosa yake yaliyo pita na yajayo,na katu hakuzembea kufanya mema kisa amepewa msamaha,ndiyo maana mke wake aka hoji,inakuwaje umesha samehewa madhambi yako lakini bado una simama usiku na kumuomba Allah ?

Mtume maisha yake yote alikuwa anataka msamaha kila siku,tena saidi ya mara 70,na sisi akatufunza dua hizo za kumtaka msamaha Allah kwa makosa ya makusudi,bahati mbaya au kwa kuto kujua. Rejea kitabu "Hisnul Muslim" cha Shaykh Qahtaan,au "Sahih al Adhkar" cha Shaykh Albaani au "Adhkari sabah wa al Masaa" cha Shaykh Raslaan kama sijakosea. Zote wamekusanya dua alizo akiziomba Mtume na kuwafundisha maswahaba zake.

Bado nina wadai vijana.
 

Marko 15:25​

Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha.


Yohana 19:14​

Siku hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Pasaka, siku iliyoitwa siku ya Matayarisho, yapata kama saa sita hivi. Pilato Akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa Mfalme wenu!”


Hapa nani yupo sahihi? Huyu Marko anasema saa 3 asubuhi ameshasulubiwa ila Yohana anasema saa 6 mchana ndiyo kwanza yupo Kwa pilato.
Saa hizi ni muda wa kulala tutalijadili kesho hili.
Ila baada ya kupitia Aya za Marko 15: 25 hazisemi kama wewe ulivyo nukuu.

Inasema hivi

Marko 15:25
Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.[emoji736]

Hakuna aya inayosema
saa tatu asubuhi[emoji777]
Neno "asubuhi" halipo

Hapa tayari swali lako linakuwa na kasoro, hali ulizi jinsi Bible inavyosema.

Yaani swali lako limeulizwa toka katika nukuu iliyokosewa.
Hivyo linakosa mashiko ya kujibiwa.
 
Ndio, huyo ni Mwanadamu Yesu, anamlilia Mungu wake Yehova, baada ya kuondoka ndani mwake.

Kumbuka Mungu hakai
ndani ya Maiti ya Binadamu.

Ni kama wale Masharifu Majini.
Huwa wanakariri Qurani yote kama Jini au Majini Maislamu yanakaa ndani yao.
Masharifu, wakisha zoea kula Nguruwe, Majini yanaondoka ndani yao na wanabaki watupu kabisa.
Hakuna tena cha kukariri Qurani wala cha nini.
Wanabaki maamuma tu, na wazurulaji wa mjini.

Nadhani kwa mfano huu umeelewa vizuri.
Kama Majini yanawaongoza Masharifu kusoma Qurani na kufundisha Dini ya Kiislamu.

Unashangaa nini Mungu kukaa ndani ya Yesu na kumwezesha,
1. Kufufua wafu
2. Kusamehe dhambi waovu
3. Kuhubiri Injiri
4. Kutangaza Amri kuu mbili mpya
- Kumpenda Mungu
-Kumpenda Jirani.
5. Kuponya wagonjwa
Nk.

Tatizo lako wewe Gavana unaamini uwezo wa Majini tu.
Uwezo wa Mungu huuamini.

Yaani Jini akae ndani ya Sharifu sawa kwako.
Mungu akikaa ndani ya Yesu huamini kabisa.

Hivi Mungu na Jini ni nani mwenye Uweza ?

Jinga sana wewe.

Aya ya ngapi Na bibilia ipi inayosema Huo mtungo wako ulioutapika hapo?
 
Back
Top Bottom