Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Hili bado hujaonyesha wapi alibaka,na hujaweka aya kuhalalisha hili,lakini hujaonyesha dhambi lolote alilo fanya jambo alisamehewa madhambi. Mitume wote walikingwa na kufanya madhambi makubwa,ila makosa madogo madogo walikuwa wanakosea,mathalani suala la kuwakataza maswahaba zake kupandikiza mitende,kisha walivyo fata ushauri wa Mtume mitende haikuzaa kama ilivyo kuwa awali,mtume akaja kuwaambia ya kuwa wao wanayajua zaidi ya dunia yao kuliko yeye.

Sasa nasubiri suala wapi mtume alifanya dhambi kubwa na wapi mtume alibaka.
Hapa!
[emoji116][emoji116]
muham mad alimuua mume wa Safiya, baba na kaka yake na siku hiyo hiyo alimuingilia kwa nguvu hemani kwake[emoji24][emoji24][emoji24]

Jee safiya alikaa edah na kulipiwa mahari kwa mujibu Wa maagizo ya allah??
[emoji116][emoji116]
وَالَّذِينَ يُتَوَفَّوْنَ مِنكُمْ وَيَذَرُونَ أَزْوَاجًا يَتَرَبَّصْنَ بِأَنفُسِهِنَّ أَرْبَعَةَ أَشْهُرٍ وَعَشْرًا ۖ فَإِذَا بَلَغْنَ أَجَلَهُنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا فَعَلْنَ فِي أَنفُسِهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ ۗ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌ

[ AL - BAQARA - 234 ]
Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakaacha wake, hawa wake wangoje peke yao miezi mine na siku kumi. Na wanapo timiza eda yao basi hapana ubaya kwao kwa wanao jifanyia kwa mujibu wa ada. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.

وَآتُوا النِّسَاءَ صَدُقَاتِهِنَّ نِحْلَةً ۚ فَإِن طِبْنَ لَكُمْ عَن شَيْءٍ مِّنْهُ نَفْسًا فَكُلُوهُ هَنِيئًا مَّرِيئًا

[ AN-NISAAI - 4 ]
Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha.

Alicho fanya muham mad Kama sio Dhambi ya kuzini na kubaka Tuiteje?![emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji1358]
Sisi hatuyakubali mafundisho ya quran mnatuita makafir [emoji56]
Huyu naye kayapuuza mafundisho ya quran ni muumini au kama Mimi?![emoji101][emoji101][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema haki launkana mura[emoji106]
 
Hili nimeshaliezea huki nyuma,unarudia.
  • Allah tena anamruhusu kufanya ngono na mwanamke yoyote anaenda kwake kujitoa afanye nae ngono
    • 33:50.......na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine................
  • Allah alivyo ona mpaka wabaya wanamfuata muhammad wakafanye ngono , akashusha aya kuwaambia Muhammad atachagua
    • 33:51. Unaweza kuakhirisha zamu kwa umtakaye katika wao, na umsogeze umtakaye........
 
Duu hii 33:50 kali [emoji23][emoji23]
Nikuulize Mubarridi hivi ingekuwa zama zile unamkuta mkeo kajipodoa kapendeza!
Unamuiliza kunani bibie!?
Anakujibu NAENDA JITOA BURE Kwa muham mad! Utapiga takbir au utatangaza jihadi??
 
Kuna mwanamke na mke,hapo aya inasema mwanamke,kwa maana ambaye hajaolewa na asiye kuwa na mume. Lakini ukisoma aya mwishoni na sisi pia tumeruhusiwa. Hili la Mwanamke kujitoa kwa Mtume lilishawahi kutokea,mwanamke alijitoa kwake lakini Mtume alimkataa,akaolewa na Swahaba mwingine.

Sasa nakupa kazi wewe,nionyeshe ni mke gani wa Mtu ambaye aliwahi kujitoa kwa Mtume...?
 
Aisee Yani mwanamke sio mke, ni kwamba umeishiwa logic au
 
Si kila mwanamke ni mke,kijana. Usijitoe ufahamu,naona umeishiwa hoja. Mke lazima awe ameolewa.

Nimekupa kazi,niletee tukio ambalo mtume alifatwa na mke wa mtu.
 
Si kila mwanamke ni mke , ila kila mke ni mwanamke
 
Si kila mwanamke ni mke,kijana. Usijitoe ufahamu,naona umeishiwa hoja. Mke lazima awe ameolewa.

Nimekupa kazi,niletee tukio ambalo mtume alifatwa na mke wa mtu.
Unazijua privileges alizopewa Muhammad ni pamoja na akipenda mwanamke yoyote inabidi mwenye mke ampe talaka mke wake ILI Muhammad amchukue.

Alifikia maali Aisha anaumia mpaka akasema anahisi Allah anajali Sana matamanio ya ngono ya Muhammad

A'isha (Allah be pleased with her) reported:

I felt jealous of the women who offered themselves to Allah's Messenger (ﷺ) and said: Then when Allah, the Exalted and Glorious, revealed this:" You may defer any one of them you wish, and take to yourself any you wish; and if you desire any you have set aside (no sin is chargeable to you)" (xxxiii. 51), I ('A'isha.) said: It seems to me that your Lord hastens to satisfy your desire.

Sahih Muslim 1464 a
 
Unazijua privileges alizopewa Muhammad ni pamoja na akipenda mwanamke yoyote inabidi mwenye mke ampe talaka mke wake ILI Muhammad amchukue.
Hili halipo na hajawahi kuchukua mke wa Mtu.
Alifikia maali Aisha anaumia mpaka akasema anahisi Allah anajali Sana matamanio ya ngono ya Muhammad

A'isha (Allah be pleased with her) reported:

I felt jealous of the women who offered themselves to Allah's Messenger (ﷺ) and said: Then when Allah, the Exalted and Glorious, revealed this:" You may defer any one of them you wish, and take to yourself any you wish; and if you desire any you have set aside (no sin is chargeable to you)" (xxxiii. 51), I ('A'isha.) said: It seems to me that your Lord hastens to satisfy your desire.

Sahih Muslim 1464
Wivu kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana,hii si hoja.

Na sharti linajulikana na liko ni mwanamke ambaye hayuko kwenye ndoa,ndiyo maana mmoja wapo aliwahi kujitoa kwa Mtume,lakini Mtume hakumpenda Mwanamke huyo. Hili hata kwetu sisi lipo,ikitokea Mwanamke amejitoa kwa ajili yangu na wasaa wa kuoa ninao namuoa.

Hujaelewa wapi kijana ?

Hii ni dhana tu mama Aisha,Allah amridhi,lakini Mola wetu anampa amtakaye katika waja kile anacho kitaka,leo wapo walio jaliwa Mali waka nyimwa afya,wapo walio ruzukiwa watoto na wapo walio nyimwa vizazi.
 
Unarudia nilichokiandika.

Sasa leta ushahidi wa wapi Mtume aliijiwa na mke wa mtu akimuhitajia.

Nipo hapa nasubiri.
Haujui alimtamani mke wa mtoto wake , ikabidi dogo ampe talaka mke aende kwa Muhammad , na Allah akajitokeza na Aya kabisa kumruhusu
 
Hili halipo na hajawahi kuchukua mke wa Mtu.

Wivu kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana,hii si hoja.

Na sharti linajulikana na liko ni mwanamke ambaye hayuko kwenye ndoa,ndiyo maana mmoja wapo aliwahi kujitoa kwa Mtume,lakini Mtume hakumpenda Mwanamke huyo. Hili hata kwetu sisi lipo,ikitokea Mwanamke amejitoa kwa ajili yangu na wasaa wa kuoa ninao namuoa.

Hujaelewa wapi kijana ?

Hii ni dhana tu mama Aisha,Allah amridhi,lakini Mola wetu anampa amtakaye katika waja kile anacho kitaka,leo wapo walio jaliwa Mali waka nyimwa afya,wapo walio ruzukiwa watoto na wapo walio nyimwa vizazi.
Aisha mke mtoto aliuliza kwa nini Allah anajali Sana matamanio ya ngono ya Muhammad , unaweza saidia kujibu
 
Haujui alimtamani mke wa mtoto wake , ikabidi dogo ampe talaka mke aende kwa Muhammad , na Allah akajitokeza na Aya kabisa kumruhusu
Hili huna ushahidi nalo na si kweli. Mtoto wake aliitwa nani ?
 
Aisha mke mtoto aliuliza kwa nini Allah anajali Sana matamanio ya ngono ya Muhammad , unaweza saidia kujibu
Hayo maswali ya kawaida sana na ni mghafala ulio mkuta kutokana na wivu kumzidi.

Nasubiri jibu la swali langu.
 
Haujui alimtamani mke wa mtoto wake , ikabidi dogo ampe talaka mke aende kwa Muhammad , na Allah akajitokeza na Aya kabisa kumruhusu
Kuna vitu huwa mnaandika vina thibitisha ujinga wenu.

Allah aliye juu anasema :

37. Na ulipo mwambia yule Mwenyezi Mungu aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Mwenyezi Mungu. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Mwenyezi Mungu kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Mwenyezi Mungu ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe, ili isiwe taabu kwa Waumini kuwaoa wake wa watoto wao wa kupanga watapo kuwa wamekwisha timiza nao shuruti za t'alaka. Na amri ya Mwenyezi Mungu ni yenye kutekelezwa. (al-Ahzab : 37)
 
Si kila mwanamke ni mke,kijana. Usijitoe ufahamu,naona umeishiwa hoja. Mke lazima awe ameolewa.

Nimekupa kazi,niletee tukio ambalo mtume alifatwa na mke wa mtu.
Umesoma pale palipo andikwa NA KILA MWANAMKE MUUMINI AMERUHUSIWA KUWAGONGA MKEO ATANUSIRIKA TU KAMA SIO MUUMINI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aya imesema Mwanamke lakini si mke. Ndiyo maana nimekupa kazi wapi mke wa Mtu alifanya hili.

Suala la vijakazi hili lilikuwa halali kwa waungwana,mpaka pale utumwa ulipo komeshwa.
 
Umesoma pale palipo andikwa NA KILA MWANAMKE MUUMINI AMERUHUSIWA KUWAGONGA MKEO ATANUSIRIKA TU KAMA SIO MUUMINI[emoji23][emoji23][emoji23]
Biblia yako ya Queen James Version ndivyo inavyosema?
 
Kuna vitu huwa mnaandika vina thibitisha ujinga wenu.

Allah aliye juu anasema :

37. Na ulipo mwambia yule Mwenyezi Mungu aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Mwenyezi Mungu. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Mwenyezi Mungu kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Mwenyezi Mungu ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe, ili isiwe taabu kwa Waumini kuwaoa wake wa watoto wao wa kupanga watapo kuwa wamekwisha timiza nao shuruti za t'alaka. Na amri ya Mwenyezi Mungu ni yenye kutekelezwa. (al-Ahzab : 37)
Allah alikuwa sharp Sana na hisia za ngono za Muhammad, Jamaa katamani Aya ikashuka, kumbuka ilianzia alimkuta naked akatamani
 
Back
Top Bottom