Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Niulizie Gavana,
1. Mungu alivyovyowafundisha watu wake tunaona kabisa anawapa Maagano.
Agano la kale likawa na vitabu kama Torati na Zaburi.
Katika Yeremia 31: 31 Mungu anaahidi kuwasiliana na Binadamu ktk mafundisho ya Agano Jipya, akashuka nalo mwenyewe ktk Umbo la Binadamu Yesu na Kitabu chake cha Injiri.
Hapa tunaona Mungu katufundisha katika Agano la Kale na Jipya.

Swali
Hivi Mafundisho ya Muhammadi kwenye kitabu cha Khalifa Uthman Ibn Affan kinachoitwa Qurani Tukufu Je.
Ni Agano gani ?

Au ndo Agano la Kidigitali ?

Hayo ndiyo maneno ya Yesu anasema Mimi ni mungu niliyevaa mwili wa kibinaadamu ??
 
Wee msukule huwezi jua kwamba kipofu alikuwa anamuharibia dili lake tegeme na matajiri [emoji23][emoji23]
Hadi allah Anamkemea [emoji56]
Au kisilam silam alikuwa anampongeza?!

Ndio Yesu kasema kauvaa mwili wa kibinaadamu hapo ??
 
Wewe utakuwa Jinni Makata tu, maana naskia haelewi kabisa anachoambiwa.

Yesu aliuvaa mwili huo pia ???

Sasa tuambie ni wapi yesu alisema mimi ni mungu na hapa nimevaa mwili wa kibinaadamu??
 
BIBLIA INA MASHAKA MENGI KWELI MFANO.

MWISHO WA YUDA ULIKUWAJE?

1.Mathayo 27:3-7 Yuda alienda akajinyonga?

2.Matendo 1:16-19 Yuda alianguka kwa kasi akapasuka tumbo?

[emoji115] APO MTU USHIKE LIPI SASA.

1.Mathayo 27:27-29 –vazi jekundu

2.Marko 15:16-18 vazi la rangi ya zambarau

[emoji115]Tuamini vazi la zambarau au jekundu ?

3.Mathayo 27:45-46 saa sita Yesu yuko msalabani

4.Yohana 19:14-15 saa sita Yesu yuko mahakamani

[emoji115]Aya ipi kati ya hizi ni sahihi

WALIOENDA KABURINI NI WANGAPI?

1.Mathayo 28:1-2 wanawake walio enda kaburini ni Mariamu Magdalene na Mariamu Yule wa pili

2.Marko 16:1-walio enda ni Mariamu Magdalene,Mariamu mamaye Yakobo,naSalome

3.Luka 24:1,10 walioenda kaburini ni Mariamu Magdalene,Yoana,Mariamu mamaye Yakobo na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao
4.Yohana 20:1-2 Mariamu Magdalene peke yake alikwenda kaburini

MTIHANI MTUPU CONTRADICTION KAMA ZOTE
 
Unajichanganya mwenyewe dogo!
Kinacho kuponza ni kukariri na kuhifadhi elimu ya adui wa jibril[emoji83]
[emoji116][emoji116]
لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ( 97 )
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
 
Mantiki yako nini mkuu mbona kama unapotosha umma.
 
Unajichanganya mwenyewe dogo!
Kinacho kuponza ni kukariri na kuhifadhi elimu ya adui wa jibril[emoji83]
[emoji116][emoji116]
لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ( 97 )
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Ndio aya umeleta hiyo, Yesu anasema Mimi ni Mungu Na nimejivalisha mwili wa kibinadamu??
 
Huwa hataki ujue ukwelii, mwanzo wa hicho kitabu huanza na heli asomaye na kuyashika maana wakati wake u karibu kuja,

Hivyo huwa hataki ujue ukweli wa mambo yajayo na dunia itakavyokuwa
 
Maajabu ya Qurani na Waislamu.

Qurani inasema Uislamu ni Dini, tena Dini iliyokamilika na inajitegemea yenyewe.

Ukiwauliza Issa ni nani wanasema ni yule wa kwenye Biblia.
Allah ni nani?
jibu ni lilelile ni Mungu wa kwenye Biblia.

Hata Muhamadi ni kwakuwa tu alizaliwa wakati Biblia ishaandikwa, la sivyo wangedai ni "Nabi flani" wa kwenye Biblia.
Hata hivyo wanadai kuwa alitabiriwa kwenye Biblia.

Hii unaonesha bila Biblia Qurani haiaminiki, haina cha kusema, itabaki kuwa kama gazeti tu.

Wanadai vitabu vya Torati, Zaburi na Injiri, ambavyo vipo kwenye Biblia vipo pia kwenye Qurani.

Ukiwaambia nionesheni Amri Kumi za Musa ambazo ziliandikwa na Mungu Mwenyewe kwa mkono wake, na akapewa Musa, hazipo.

Kutoka 24:12
" Bwana akamwambia Musa, Njoo huku juu kwangu mlimani, uwe huku; nami nitakupa mbao za mawe na ile sheria na hiyo amri niliyoiandika ili uwafundishe."

Sasa ni Torati gani hiyo iliyopo ndani ya Qurani ambayo haina
Amri Kumi zilizoandikwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe, [emoji848][emoji848][emoji848]

Haya basi tuonesheni Zaburi ya Daudi, mambo ni yaleyale,
haipo.
Basi tuone wapi Ilipo Injiri ya Issa Bin Mariam, hali ni ile ile.

Biblia ni majumuisho ya Vitabu vilivyoandikwa kwa makubaliano kati ya Mungu na watu wake,
na alifanya Maagano nao. Kwamba fanya hiki na mimi nitakupa hiki.
Kuna Agano la Kale na Agano Jipya tu na hakuna zaidi ya hapo.

Tukiwauliza Waislamu Dini ya Uislamu na kitabu cha Muhammadi ni mafundisho ya AGANO gani kati ya Mungu na Wanadamu, ni Agano la Kale au Agano Jipya ?
Hakuna majibu.

Ukiuliza Waislamu,
mbona kitabu cha Qurani kimekopi maneno mengi kwenye Biblia na sio vitabu vya Dini nyingine kama Uhindu, Ubudha, Urastafarian nk. ?
Wanasita kukiri kwamba Biblia ndio kuna mafundisho sahihi ya Mwenyezi Mungu.

Kama ni hivyo mbona hamvikosoi vitabu vya Dini nyingine kama Ubudha, na bado mnaiandama Biblia ambayo kwenu ndio msingi wa mafundisho yenu ?
Hakuna majibu.

Sisi tunaotumia mafundisho ya Biblia yaani wenye Dini ya Kiyahudi na Wanafunzi wa Yesu Kristo.
Hatuitambui Qurani,
wala Allah hatumtambui,
Na sio Mungu wetu

Hatumfahamu Muhammadi na sio Nabii wetu, kwakuwa hakuna fundisho lolote JIPYA la Muhammadi tunalolikubali, hana fundisho la maana hata moja.
Kama lipo liwekeni hapa.

Tunaona Muhammadi kayachukua mafundisho ya maana ya kwenye Biblia, mengi kakosea kuyanukuu na kuyapesti na kachanganya na mafundisho yasiyoeleweka.

Kwetu Wakristo.
Mungu wetu, kitendo cha kujigeuza Binadamu na kuja duniani kuzungumza na watu wake, kipo katika Agano la Kale na katika Agano Jipya.

Mwanzo 18:1....
Mungu anamtokea Nabii Ibrahimu akiwa ktk Umbo la Mwandamu.
Akiongozana na Malaika wawili nao wakiwa ktk maumbo ya Kibinadamu kama sisi.

"Mwanzo 18:1
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
Mwanzo 18:2
Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
Mwanzo 18:3
akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako."
( hili waislamu hawalikanushi )

Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
(hili waislamu wanalikanusha kwa povu jingi sana)

Mungu wa Biblia anasema.
Mwanzo 1:26
[emoji117]" Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi."

Sisi tumechukua sura ya Mungu wetu.
Huu mwili sio umbo letu la asili, asili yake ni Mungu mwenyewe.
Sisi tumeumbwa tu katika sura yake, Mungu tunayemwabudu.

Sasa ni ajabu gani Mungu akitutembelea katika Umbo lake Mwenyewe ?
Waislamu mnashangaa nini ?
Mlitaka aje katika umbo gani ?
Na la nani ?

(Aje ktk umbo la Allah ambalo halijulikani hata na Mtume wake mtiifu Muhammadi ) ?

Nabii Ibrahimu, hakushangaa alipo mwona Mungu wake katika Umbo lake mwenyewe, umbo la mwili wa Binadamu, 18:1...."
Na Ibrahimu alimtambua mara moja kwakuwa anamjua.
Je ninyi ni zaidi ya Ibrahimu ?

Sisi Wakristo tunamtambua Mungu wetu akija katika umbo lake Mwenyewe,
Umbo la Binadamu.
Je ninyi ni zaidi ya sisi wenyewe ?
 
Ukipata wasaa embu soma hapa huenda ukapata jambo jipya kama kweli we msomi

Nimesoma.
Yesu Kristo hakuna mahali alipozungumzia habari ya UTATU

Labda uwaulize hao hao Waroman Cathoric, unaosema wanazungumza habari za UTATU.

Mimi ni Mkristo, najifunza kutokana na mafundisho ya Mwalimu wangu.
Rabi, Yesu Kristo.
 
Ndio Yesu amesema hapo kuwa mimi ni mungu niliyevaa mwili wa kibinaaadamu ??
  • Allah anasema kuna Mungu ambae ndie mwanzo na mwisho
    • Koran 57:3. Allah anasema "Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho", naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu. ,,, Je huyo Yeye ni nani?
  • Yesu anasemaje: Yesu anasema "Mimi ni wa kwanza na wa mwisho"
    • Ufunuo 1:17Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, “Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.
 
Back
Top Bottom