Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Karibu kwa Yesu Kristo.
Yeye ndie pekee aliyesimama mbele za watu na kusema, "sina dhambi"
Na watu wakakubali
Ndiye pekee aliyesema.
" mimi ndiye NJIA, KWELI na UZIMA"
Na Watu wakakubali.
Mwalimu Bora anatoa Mwanafunzi Bora.
Mambo aliyoyafanya Muhammadi, siwezi hata kusema.
Ndiye Binadamu muovu zaidi toka Dunia iumbwe.
Ndio maana leo ukitoa filamu ya
Matendo ya Muhammadi unauwawa na wafuasi wake.
Lakini matendo filamu zipo, na hazina mgogoro wowote.

Ni hiari yako, kumfuata Muhammadi au Yesu Kristo.
Ila Mungu mwisho wa siku, atabaki na watu Wema.
Karibu kwa Yesu kaka.
Hujui kuwa Yesu alikataliwa kwao? 😁
 
Kwahiyo mkuu unaamini Yesu Kristo ndiye Issa bin Maryam ?
Sio mimi
Ila ni Qurani ndivyo inavyosema.
Mimi wakati huo sikuzaliwa.
Kama unaiamini Qurani tukufu, basi Yesu Kristo ndiye Issa.
Mimi ni nani nikanushe maneno ya Allah.
 
Bado hujaniambia Yesu ni nani kwako, alafu unanikaribisha.... Upo Sawa kweli ?

Alafu mbona sehemu alipohubiri Yesu ndo kuna asilimia ndogo ya Wakristo ? Hata Waislamu wapo wengi Israel ( alipoishi Yesu) kuliko wakristo !!

Kwanini Ukristo uwe umeenea sana nchi za wazungu kama Italy ? Ivi Yesu alikuwa Mzungu mkuu ?

Hivi huoni Saudi Arabia na nchi za karibu ambapo Muhammad alihubiri kuna asilimia 100 ya Waislamu ?

Tumia akili yako mkuu,, Ukristo ni uongo !
Betri ya simu imeisha, tutazungumza kesho
 
Bado hujaniambia Yesu ni nani kwako, alafu unanikaribisha.... Upo Sawa kweli ?

Alafu mbona sehemu alipohubiri Yesu ndo kuna asilimia ndogo ya Wakristo ? Hata Waislamu wapo wengi Israel ( alipoishi Yesu) kuliko wakristo !!

Kwanini Ukristo uwe umeenea sana nchi za wazungu kama Italy ? Ivi Yesu alikuwa Mzungu mkuu ?

Hivi huoni Saudi Arabia na nchi za karibu ambapo Muhammad alihubiri kuna asilimia 100 ya Waislamu ?

Tumia akili yako mkuu,, Ukristo ni uongo !
(Yesu Kristo anatambulika kama hivi)

[emoji117]Mathayo 16:13
Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?
Mathayo 16:14
Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
Mathayo 16:15
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
Mathayo 16:16
Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
Mathayo 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Mathayo 16:19
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

(Ukisoma kwa utulivu hapo atajifunza mengi sana, utajua hata maana ya neno Kanisa.
Wakristo kuwa wengi au wachache mahali fulani hili sio tatizo, tatizo ni kuto kuwa Mwanafunzi wa Yesu Kristo, maana yeye pekee ndiye, NJIA, KWELI na UZIMA. Na Ulimwengu mzima unakiri kwamba anatarudi siku za mwisho, kuja kuwachukua Wanafunzi wake, waliolishika NENO lake. Heri yao wasio na mashaka naye)
 
Kwakuwa hakuna Nabii aliye mwaagiza Watu wepewe Dini ya Kikristo.

Maagizo ya Yesu Kristo yalikuwa haya hapa chini


Mathayo 28:16
Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya mpaka mlima ule aliowaagiza Yesu.
Mathayo 28:17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Mathayo 28:20
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

emoji117.png
Ukiyashika yote aliyofundisha Yesu Kristo na Kubatizwa kama alivyo agiza utakuwa Mkristo.
Yaani Mwanafunzi wake. Huo ndio Ukristo.

Hakuna Dini hapo.

Natumaini umenielewa.

Wagalatia3:29​

Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Marko 9:41​

Amin, nawaambia, yeyote awapaye ninyi kikombe cha maji kwa Jina langu kwa sababu ninyi ni mali ya Kristo, hakika hataikosa thawabu
yake.”
Wikipedia
Ukristo
(kutoka neno la Kigiriki Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la Kiebrania מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" [1]) ni dini inayomwamini Mungu pekee[2] kama alivyofunuliwa kwa Waisraeli katika historia ya wokovu ya Agano la Kale na hasa Yesu Kristo katika Agano Jipya ambaye ni mwanzilishi wake katika karne ya 1.
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
Habari
Biblia ina maudhui yake , ambayo ni
1.Kuingia kwa dhambi na chanzo cha dhambi
2.Madhara/adhari za dhambi
3.Na suluhisho la dhambi/ namna gani tunakombolewa kutoka dhambini
Kwa hiyo biblia inatakiwa izingatie hivyo vitu
Kama kuna kitabu kinapingana na maudhui ya vitabu vingine hapo kuna shida
Mimi naamini Mungu anasimamia biblia isipotoshwe hadi kupoteza maudhui yake
Kwa waislam wao likiondolewa neno gumu(msamiati) likawekwa neno rahisi lenye maana ileile wanasema ni uchakachuaji
 
Narrated Abu Huraira: (that the Prophet said) It will be said to the Hell, 'Are you filled?' It will say, 'Are there any more (to come)?' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Sahih Bukhari 4849Allah alishasema kwenye suratul ikhlas aya ya 4,,, hana anayefanana nae...

Kwasababu hakuna anayefanana nae, this means hana hayo maumbile ( macho, miguu, etc) ya kibinaadamu unayoongolea..

Imetumika lugha hio ili tupate kuelewa..
View attachment 1812290
Jitaidi pata Koran online , usijaze mapicha picha
Allah kuwa na viungo hilo nimeshakumaliza na wala hakuna maali nimesema viungo vyake vinafanana na binadamu, kama anamiguu tofauti sawa ila miguu kazi yake inajulikana
  • Allah pia anakaa kwenye kiti na pia kinabebwa na malaika nane , Allah amewezaje kuenea kwenye kiti!!
    • 69:17. Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu; na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba Kiti cha Enzi cha Allah.
  • Kwa nini Allah atabadili shape yake na waislamu mtaikataa, Je mmeshawahi iona shape yake kabla
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  • Huu mguu wa Allah unasema ni tofauti na binadamu , Allah anautumia kufunyia nini
    • Narrated Abu Huraira: (that the Prophet said) It will be said to the Hell, 'Are you filled?' It will say, 'Are there any more (to come)?' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Sahih Bukhari 4849
 
Ndio maana nikakuuliza unajua maana yake hio ?

Anyway, sio kosa lako kwasababu hujui Kiarabu... Ngoja nikueleweshe

Unajua kwanini mmoja amesema ni Nation, mwengine kasema ni Community japokuwa nation na community ni vitu viwili tofauti ?

أُمَّة ,, hili neno linatamkwa ( UMMATAN ),, hii ni transliteration ( jinsi inavotamkwa) yake.

Kwa Kiingereza hakuna direct translation yake ( sababu kiingereza hakijatohoa maneno ya kiarabu), ndo maana imetajwa nation, na community... Lkn ukienda kwenye uchambuzi wa hio ayah utaona hawamaanishi taifa au jamii...

Kwa Kiswahili ipo direct translation yake kwasababu Kiswahili kimetohoa maneno ya kiarabu... Tunaiita UMMA kwa Kiswahili.

Hio UMMA wameitohoa kutoka Kiarabu UMMAT
Umma = Public , Nataka kujua Umma wewe unamaelezo gani kwamba umma ni nini ili nienda na logic yako, na ili uwe umma unatakiwa uwe na vigezo gani ,
 
Hapo kwenye Trinity ndo tunapata contradiction !!

Tunawezaje kuwa na miungu 3 ?
  • Wewe kutoelewa trinity sitakushangaa maana ata Allah alikuwa haelewi kabisa, tungeanza kwanza kumuelewesha Allah ndo tuje kwako
    • 5:116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu?
  • Ila Allah kuna mda anajisahau yeye ndo anatakiwa awe mungu, anaonge yeye alafu anamtaja Mungu
 
Yes,, huo u3 ni contradiction
Sikupi pole kwa kujivuruga mwenyewe hadi
Wewe Unalinganisha, UKUU! UWEZO! NA MAAJABU YA MWENYEZI MUNGU NA BABU YAKO?![emoji13]
ni KUFURU NA UJINGA ULIO VUKA MIPAKA AMBAO HATA IBILISI HANA UJASIRI WA KUWAZIA [emoji56]
MWENYEZI MUNGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106]
 

Religions guide on "Shit"​


Taoism: Shit happens.

Buddhism: If shit happens, it isn't really shit, its you

Hinduism: This shit happened before.

Mormonism: This shit is going to happen again.

Islam: If shit happens, take a hostage.

Protestant: Let this shit happen to someone else.

Pentecostal: Heal this shit!

Catholicism: Shit happens because you deserve it.

Judaism: Why does this shit always happen to us?

Scientology: This shit is in your mind

Jehovah Witness: Knock! Knock! Can we share our shit with you?

Rastafarian: Let's smoke this shit.

Atheist: I don't believe this shit
 
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Kwenye hii aya tunaona Paulo anasema Yesu ni Mungu..

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Kwenye hii aya tunaona kwamba kuna Mungu ambaye amemtuma Yesu ( Yesu pia ni Mungu).... Yaani kuna Mungu aliyemtuma Mungu mwengine ( Yesu)..

This means Kuna Mungu wawili,,

Umeona hio contradiction ?

Ila pia hii ayah Yohana 17:3 imesema "..... na Yesu Kristo uliyemtuma " inathibitisha kuwa Yesu alikuwa ni Mtume wa Mungu na sio Mungu ( kama Wakristo wanavomsingizia )

Pia unaweza kunithibitishia kuwa Yesu aliingia Kanisani ? Ikiwa Yesu hakuingia Kanisani kwanini wakristo wanaingia kanisani ?

Pia nioneshe sehemu Yesu alisema yeye ni Mungu,, usinioneshe maandiko ya Paulo...

Haya yote yanathibitisha Ukristo umetungwa tu !!
Basi we Baki na Dini yako ya Uislamu.
Kama unaona Ukristo ni wa Kutungwa.
Una Swali lingine ?
 
Sio suala la kutoelewa mkuu,, hicho kitu hakiwezekani abadan !!

Binadamu Anawezaje kuwa Mungu ?

Yesu alifanya miujiza mingi tu,, alifufua watu,, aliponya vipofu, n. K.... Waislamu tunaamini katika uwezo huu wa Yesu aliopewa na Mwenyezi Mungu.... Lakini hio haimpi nafasi yeye kuwa Mungu..
Mnambebesha jukumu zito ambalo yeye hakulisema !!
Naenda na logic za dini yako ,
  • Tuambie jibril aliwezaje kuwa binadamu?
    • Also on the authority of `Umar (ra) who said: While we were one day sitting with the Messenger of Allah (ﷺ) there appeared before us a man dressed in extremely white clothes and with very black hair..........He said, "That was Jibril. He came to teach you your religion." Hadith 2, 40 Hadith an-Nawawi
    • Jibril pia aliweza kumjia muhammad na mwili wa Dihyah Al-Kalbi (huyu alikuwa mwanaume handsome wa pale kijijini kwa muhammad)
      • .................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
  • Allah pia aliweza kuwa Mti unaowaka moto
    • 27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
    • 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
  • Allah anaweza kujibadili maumbo mbalimbali
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  • Ukiacha hypocrisy , Kwa nini wewe una haki ya kuamini Jibril alikuwa binadamu na kujibadili miili tofauti tofauti ya binadamu, na Allah ameweza kuwa mti unaowaka moto na pia anabadili maumbo (Shape) mbali mbali? lakini hutaki wengine waamini wanavyo amini?
 
Wewe nishakwambia hujui Kiarabu,, unabisha kitu wakati hukijui ?

Kajifunze kwanza Kiarabu halafu ndo uje tuichambue hio ayah...
Nikishaona muislamu anakimbilia kichaka cha kiharabu najua kazi yangu nimeshamaliza
 
Mkuu nilikwambia Umma inayomaanishiwa ni umma wa mitume... Kwa mfano umma wetu huu ni ummat Muhammad SAW.... Kila mtume alikuja na umma wake... Sasa hiki kitu huwezi kuelewa ikiwa hujui Kiarabu... Nilikuelezea vzr kwenye ile reply ila umekaza kichwa..

Ndo maana nakwambia Kajifunze Kiarabu alafu ndo uje tuichambue hio ayah
Vichaka vya mwisho vya waislamu ni Kiharabu (na unakuta na yeye hajui kiharabu) akishindwa kabisa anamalizia na Allah knows best
Kila umma umetumiwa Mtume , umma wa kabla ya Muhammad ulikuwa umma wa nani
 
Mkuu hujajibu maswali yangu alafu unaniuliza kama nina swali lingine !!

Jibu kwanza hayo alafu tutaendelea.
Swali lipi
Nishakueleza Wakristo hatukuachiwa Dini, na maagizo ya Yesu nimekupa kwa maandiko.

Kuhusu Yesu ni Nani nimekujibu kwa maandiko, Yesu akiambiwa na Wanafunzi wake yeye ni nani.

Ukahamia Kwa Paulo.
Unaweza kunionesha wapi Paulo kapewa Utume ?
Wewe unamwamini Paulo ?

Ukijibiwa hili unahamia lile,
Kama Biblia unaifahamu, unachokiuliza ni nini ?

Tatizo lako unauliza sio kwa kutaka kujulishwa bali kwa kutaka mabishano.

Ndo maana nakueleza ukiona Ukristo hauna Mashiko kwako basi baki na Dini yako ya Kiislamu.

Ukristo ni KUWA MWANAFUNZI WA YESU KRISTO.
Sio Dini, bali ni IMANI na imani hiyo maandiko yanasema

Warumi 10:17
[emoji117]" Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo."

IMANI ya Ukristo inatokana na kulisikia NENO la Yesu Kristo.

Hivyo ndugu Ukristo sio Dini bali ni kuamini na kutenda maagizo ya Yesu Kristo.

Kama una Masikio na Umesikia.
 
Jibril sio Mungu,, ni Malaika... Huo ni uwezo alopewa na Mola wake...
Sasa ikiwa Mungu atajibadlisha kuwa Binadamu,, Mungu atakuwa nani ? Bado mmeshindwa kulijibu hili

Sasa kujibadili shape kuna uhusiano gani na Binadamu kuwa Mungu ?

Swali la msingi ni hili.... Binadamu Anawezaje kuwa Mungu.? Na ikiwezekana, je nani atakuwa Mungu kwa mda huo ?
  • Nimekuelekeza vizuri sana Mungu wa wakristo ni Roho ndio nature yake , na pia wakristo wanaamini katika trinity
  • Kuna maswali umeyaruka kwa makusudi kabisa nayarudia na kuongeza mengine
  • Tuambie jibril aliwezaje kuwa binadamu?
    • Also on the authority of `Umar (ra) who said: While we were one day sitting with the Messenger of Allah (ﷺ) there appeared before us a man dressed in extremely white clothes and with very black hair..........He said, "That was Jibril. He came to teach you your religion." Hadith 2, 40 Hadith an-Nawawi
    • Jibril pia aliweza kumjia muhammad na mwili wa Dihyah Al-Kalbi(huyu alikuwa mwanaume handsome wa pale kijijini kwa muhammad)
      • .................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
  • Allah pia aliweza kuwa Mti unaowaka moto
    • 27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
    • 27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
  • Allah anaweza kujibadili maumbo mbalimbali
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
Jibrili alivyokuwa anajibadilisha maumbo nani alikuwa Malaika Jibril?
Allah alipojibadili kuwa mti unaowaka moto mungu alikuwa nani? na nai alikuwa mbingu yake wakati yeye yupo duniani
Allah anavyo jibadili maumbo, umbo la kwanza linakuwa limeenda wapi?
Kwa nini mwanzo ulisema Jibril hawezi kuwa binadamu?
 
Lile swali lako nilishakuonesha ni swali la uongo... Haijazungumziwa Taifa wala jamii... Hio ni Ummat ( zama) .... Kama unabisha nenda kwenye uchambuzi wa İbn kathir utaona...

Nashkuru umeelewa hilo..

Umma wa Yesu ( Issa bin Maryam )
Kwa hiyo unataka kusema waislamu mnaandika uongo , na wewe ndio unajua tafsir kuliko scholar, nachofanya naenda na logic zako ili nikuingize maali nikulipue
Huyu Issa alikuwepo miaka hipi?
 
Back
Top Bottom