Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

KAMA HUNA ILIMU YA DEEN/IMANI KWA NINI KUJIINGIZA KWENYE USICHO KIJUA [emoji47] [emoji15] Biblia Takatifu imebainisha [emoji117] View attachment 1007667 quran Nayo imewang'amua [emoji117] View attachment 1007673 View attachment 1007676

Sio vyema Mkuu kuitambulisha Ilimu Islamu kuwa ni KASHFA [emoji15] Yeye Kisoda Amenukuu tu wanacho kiamini Waumini kwa mujibu wa deen yao [emoji106] ww UNASEMA KASHFA wakati wenzio kwa kuamini Hivyo wanategemea kufuzu na kupata [emoji117] View attachment 1007610

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasikilize wenye elimu hawa wakristo wenzako

Mkuu hakuna aliye mkashifu mtu hapa.
Nikuulize tena. Kwenye uzi wako kunasehemu umeandika au ulishawahi kuiona QUEEN JAMES VERSION?
Je, Hiyo Canon inavihusu hivyo vitabu kongwe au mfumo umekuja kwenye hawa watafsiri tu na umefanywa kwa uelewa wa hao?
Wakristo tunahitaji mjadala wa swali jibu, swali jibu. Sasa ukiuliza ukajibiwa halafu bado unaendelea kuuliza hilo hilo na unataka jibu ulilonalo kichwani huo sio mjadala.
Sasa kama hujaridhika na jibu, si unatoa maelezo uliyo nayo kwa kile unajokijua ili mjadala unoge.
Mada ilisema biblia halisi ni ipi??

Wewe ukasema zote sawa

Mie nikauliza sasa zikikinzana inakuaje ziwe sawa!! Orthodox bible inakinzana na mormon bible muda huo huo Protestant bible inakinzana na Catholic Bible and viceversa

Sasa wwe ukasema kila neno lenye pumzi ya Bwana ni zuri kwa mafundisho

Mimi msimamo wangu ni kwamba Bible zinakinzana na moja pekee ndio itakuwa ipo sahihi maana haiwezekani Mungu ajipinge mwenyewe

Hivyo ukitaka nielewe jibu lako kuwa bible zote zipo sawa naomba unieleze kivipi ziwe sawa huku zinakinzana??
 
KAMA HUNA ILIMU YA DEEN/IMANI KWA NINI KUJIINGIZA KWENYE USICHO KIJUA [emoji47] [emoji15] Biblia Takatifu imebainisha [emoji117] View attachment 1007667 quran Nayo imewang'amua [emoji117] View attachment 1007673 View attachment 1007676

Sio vyema Mkuu kuitambulisha Ilimu Islamu kuwa ni KASHFA [emoji15] Yeye Kisoda Amenukuu tu wanacho kiamini Waumini kwa mujibu wa deen yao [emoji106] ww UNASEMA KASHFA wakati wenzio kwa kuamini Hivyo wanategemea kufuzu na kupata [emoji117] View attachment 1007610

Sent using Jamii Forums mobile app

The Truth About the "BANNED BOOKS" of the Bible

According to the Pew Forum, an estimated 2.18 billion people around the world identify as Christian and use some version of the Bible as the foundation for their faith.

For Christians and historians alike, this is a remarkable text written by multiple authors across a vast span of time.

QmP3e2S3HHjrNDwCxNYpFK7Mkj41fKMv2UPirKdg555CgH

It's impossible to calculate just how profoundly these books have changed the world and there is the rub.

All of these people are not reading the same book.

Some versions of the Bible include works that are excluded in other versions.

Some texts have been cut out altogether and some exist only in one version of the Bible. Who decides what to keep and what to cut?
QmUfwdD7YZLEU6JFNY3MjEzexke46uuQs2VXvcfziQ3gBV

And perhaps the most important question is why? Here's where it gets crazy. We can't trace the evolution of the Bible to a single person. The first Council of Nicaea did not finalize the Bible in 325 CE. The first five books of the Bible were accepted as Jewish law as early as 1250 BCE. By 90 CE, 39 books were canonized, forming the Hebrew Bible. Since Gentile Christians rarely read Hebrew, they adopted a Greek translation along with additional books.
QmZXQTVj2EaxNe1j6RnAopHSVx8bJeY8fkb6snFU6Pmugi

This translation, called the Septuagint, dates to about 250 BCE.

While Jewish authorities evaluated books based on their relation to the Torah, early Christians based decisions on their own particular interpretation of what Christianity was, as well as the nature of Christ.

At this time, Christianity was a new religion, full of internal disagreements and competing ideas.

For example, Gnosticism argued that a person could interact with God without intermediaries, along with concepts of dualism and reality that would be considered similar to mysticism today.

QmcVJ2r9qSucNP8kPQ2NrPXH6XFe17DmhGonCx9yVVEez8

The rivalry between the church and Gnostics led to serious concerns about unity and ultimately a finalized canon was compiled by an Alexandrian bishop named Athanasius.

Not all churches finalized their canon at the same time or with the same books, generally for objections concerning doctrine, heresy, or fraudulence.

Books that did not seem inspired by God or advocated things contrary to church doctrine were excluded. In some cases, these books present Jesus in a very different light.

In the Gospel according to Thomas, Jesus speaks of turning Mary into a man so that she, too, may become a living spirit, along with other sayings that don't seem like the modern image of Jesus.

This Gospel according to Thomas wasn't discovered until 1945 in Egypt as part of the Nag Hammadi Library.

Research on the evolution of the Bible continues, and, as historians learn more and more about the course of this work, one thing's for sure.

There's plenty of stuff the early church didn't want you to know.

IMG_20190129_201028_551.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIJARIBU KUUCHAFUA UZI KWA KULETA MAMBO YA QURAN HAPA ???

UZI UNAONGELEA BIBLIA IPI NI SAHIHI

HIZO AYA ULIZO COPY NA Ku paste hapa si pahala pake kuzungumzia , USIBADILISHE MADA

AU UMETUMWA KUJA KUFANYA UCHAFUZI ???

KAMA HUWEZI KUVUMILIA HIZI HOJA KWANI LAZIMA KUJA HAPA ???

FUNGUA UZI KUHUSU QURAN NA BIBLE NITAKUJA HUKO KUKUTANDIKA BAROKA LAKINI SIO HAPA
 
Mada imeanza vizuri alafu wafia dini wakauvuruga. Tunaomba mjadala ujikite kujibu maswali ya mwanzisha mada, inakera uzi kujaa ubishani wa watu wawili ambao upo kinyume na lengo.
Gavana , mgen msivuruge mada kwa ubishani wenu na quotes ndefu bila sababu.
 
Mada ilisema biblia halisi ni ipi??

Wewe ukasema zote sawa

Mie nikauliza sasa zikikinzana inakuaje ziwe sawa!! Orthodox bible inakinzana na mormon bible muda huo huo Protestant bible inakinzana na Catholic Bible and viceversa

Sasa wwe ukasema kila neno lenye pumzi ya Bwana ni zuri kwa mafundisho

Mimi msimamo wangu ni kwamba Bible zinakinzana na moja pekee ndio itakuwa ipo sahihi maana haiwezekani Mungu ajipinge mwenyewe

Hivyo ukitaka nielewe jibu lako kuwa bible zote zipo sawa naomba unieleze kivipi ziwe sawa huku zinakinzana??
Hebu weka wazi hapa unaposema zinakinzana. Ukinzani huu ni upi? Imani ya kumkiri Kristo ni Mungu katika UTATU au wingi wa vitabu vilivyojumuishwa humo ndani yake ili kupata Biblia?
Hebu tuanzie hapo kisha nitafafanua jibu langu.
 
Kwani wewe ni Mkristo?
Jibu moja Unambwelambwela.
Nimekujibu mwalimu wangu huyo aliyeshusha hiyo aya. hayo ya kuulizha kama mie Mkristo ama la inatoka wapi?

Imekuchoma mie kufundishwa na Allah!! Stone kisser, wake up and read and learn what is in your books first. Kabla hujawa mwalimu wa vitabu vya wenzako!
 
Wacha kujificha Kwa I'd mbili si uje Tu kama mgen . Unaona aibu gani?
Ninapo kuita kuwa wewe ni DONKEY si kosei wa kukutusi. bali unastahili kabisa.
Hujui kusoma sawa na Mtume yule aliyerogwa!
Ukisoma hizo IDD huwezi ona ni lini zimekuwepo(JIUNGA) humu JF, au ndio kuishiwa majibu?
 
Hebu weka wazi hapa unaposema zinakinzana. Ukinzani huu ni upi? Imani ya kumkiri Kristo ni Mungu katika UTATU au wingi wa vitabu vilivyojumuishwa humo ndani yake ili kupata Biblia?
Hebu tuanzie hapo kisha nitafafanua jibu langu.
Kukinzana ni misimamo ya hivyo vitabu.... Nimekupa mfano ufunuo wa Yohana luther bible iliifuta sasa kwa msimamo wako unaona ni sawa kitabu cha unabii kifutwe??

Kitabu cha waebrania ambacho kilisimamia issue ya imani + matendo luther alikipinga akasema ni imani pekee inatosha hizo MATENDO ziliongezwa na Nabii uchwara yaani mwandishi wa Waebrania!! Sasa Biblia moja kuipinga hii hoja ya Faith and deeds ambayo ni msingi wa imani huoni tayari kuna ukinzano au kwako ww kitabu cha waebrania ni cha nabii uchwara kweli.

Book of Abraham kiliongezwa kwenye canon ya mormons na kinasema Abraham alipewa gauni la shetani na maono mengine ya ajabu ajabu kitu ambacho kinakinzana na kitabu cha mwanzo ambacho kinamtambua Abraham kama Baba wa Imani na mtakatifu!! Je biblia inayodai alipata nguvu kutoka gauni la shetani huoni zinakinzana??

Tuanzie hapo mkuu
 
Bado hujanijibu. Misimamo kwenye nini?
Hyo Biblia ya Luther ni ipi? Maana inayosomwa na kina MWAKASEGE/ MALASUSA etc kitabu cha UFUNUO, EBRANIA/ MATENDO YA MITUME, KUMB.LA TORATI, YOHANA(Hapa muslims wanakomaa napo ndipo utabiri wa Muhammad ulipo) nk vipo sasa ni kitu gani kilichokataliwa?
Hebu rudia tena maswali yangu kabla ya haya kisha njoo.
 
Back
Top Bottom