Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Ninapo kuita kuwa wewe ni DONKEY si kosei wa kukutusi. bali unastahili kabisa.
Hujui kusoma sawa na Mtume yule aliyerogwa!
Ukisoma hizo IDD huwezi ona ni lini zimekuwepo(JIUNGA) humu JF, au ndio kuishiwa majibu?

mgen, Nilijua tu utakuja kwa id hii, unazo zaidi ya 4, za kuvuruga nyuzi za watu

njoo kwenye hoja

Je Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?
 
Jibu moja Unambwelambwela.
Nimekujibu mwalimu wangu huyo aliyeshusha hiyo aya. hayo ya kuulizha kama mie Mkristo ama la inatoka wapi?

Imekuchoma mie kufundishwa na Allah!! Stone kisser, wake up and read and learn what is in your books first. Kabla hujawa mwalimu wa vitabu vya wenzako!

Padri Mgen , kwani wewe una kitabu gani ???
 
Bado hujanijibu. Misimamo kwenye nini?
Hyo Biblia ya Luther ni ipi? Maana inayosomwa na kina MWAKASEGE/ MALASUSA etc kitabu cha UFUNUO, EBRANIA/ MATENDO YA MITUME, KUMB.LA TORATI, YOHANA(Hapa muslims wanakomaa napo ndipo utabiri wa Muhammad ulipo) nk vipo sasa ni kitu gani kilichokataliwa?
Hebu rudia tena maswali yangu kabla ya haya kisha njoo.

Mgen , biblia ya luther ni hii hapa kazi kwako

Online German Luther Bible.

Suala la Kutokamilika

Makanisa ya mwanzo ya kikristo hayakuwa na seti maalum (ya kiofisi - rasmi) ya maandiko Matakatifu.

Baadhi ya Makanisa yalikuwa na seti fulani ya vitabu wakati Makanisa mengine yalikuwa na seti tofauti ya vitabu. Kuna baadhi ya watu waliridhika hata kuwa na kitabu kimoja cha Injili katika vinne, wakiamini kwamba vyote vilikuwa sawa na vilikuwa na habari moja.

Kulikuwa hata vitabu ambavyo katika Biblia za leo havimo - kwa mfano kulikuwa vitabu kumi na tano vilivyozidi katika Agano la kale na vitabu kumi na sita katika Agano Jipya.

Kutokana na ukosefu wa mpangilio maalum katika kanisa kuhusiana na maandiko yake Matakatifu, Maaskofu walikutana pamoja ili kuweka sera ya kiofisi ya kanisa kuhusiana na suala la utatu Mtakatifu katika Mkutano wa Nicea mwaka 325 B.K. ambapo pia waliandaa na kujiwekea Maandiko Maalum Rasmi yatakayotumika katika Kanisa.

Walikusanya nakala moja kwa kila aina (seti) ya maandiko aliyokuwa ikitumika wakati ule na wakafanya maamuzi juu ya ni vitabu vipi vitambulike kuwa ndio maalum na rasmi kwa Wakristo wote na nchi zote za Kikristo (kuwa ni Maandiko Matakatifu). Hatimaye vitabu sitini na sita vilichaguliwa, 39 kwa ajili ya Agano la Kale na 27 kwa ajili ya Agano Jipya.

Vitabu saba katika kumi na tano vilivyozidi katika vitabu vya Agano la Kale viliendelea kutumiwa na kanisa Katoliki, lakini hata hivi baadaye vilitupiliwa mbali na Waprotestanti wakati wa harakati za mageuzi katika karne ya kumi na sita. HAKUNA HATA KIMOJA katika vitabu kumi na sita "vilivyozidi" vya Agano Jipya kilichofanywa kuwa ni sehemu ya Maandiko Matakatifu maalum na rasmi yanayotumika.

Vitabu hivi vilivyozidi vilipewa jina la "Apocrypha" - - neno la kigiriki lenye maana ya "iliyofichika" - vitabu hivi vya ziada ambavyo hapo awali vilikuwa sehemu ya Biblia vilitupiliwa mbali kwa kile kilichodaiwa na viongozi wa kanisa kuwa "vilikhitilafiana" na imani zilizokuwa zikikubaliwa na kanisa. "Waandishi wa vitabu vya Aprocrypha (yaani vitabu vya ziada) bila shaka walikuwa wachamungu na waliofanya kazi kwa dhati na uhodari mkubwa - na tukisoma waliyoyaandika, mara moja tutagundua kwamba maneno yao -- yalikuwa yameepukana na udhaifu wa kutokuwa sifa za kuwa maandiko matakatifu --".[ soma , Is the Bible Reliable? p. 30. (Je Biblia inaaminika? uk. 30)

La kushangaza zaidi ni kwamba rejea ya baadhi ya vitabu hivi vilivyofichikana (Apocrypha) zinaweza kupatikana katika Biblia ya leo inayotambulika kiofisi kama vile "kitabu cha vita vya Yehova" kilichotajwa katika Hesabu 21:14 "kitabu cha Jashar" kilichotajwa katika Joshua 10:13.

Hivyo, Biblia, tuliyonayo leo hii, si tu kwamba imekuwa (victim) muhanga wa kuingiliwa, kuongezwa na kupunguzwa bali pia haiwezi kuchukuliwa kuwa ni kamilifu. Inawezekanaje Maneno ya Mungu yakaondolewa na kutupiliwa mbali kwa sababu ya matakwa ya mwanaadamu?
 
Ninapo kuita kuwa wewe ni DONKEY si kosei wa kukutusi. bali unastahili kabisa.
Hujui kusoma sawa na Mtume yule aliyerogwa!
Ukisoma hizo IDD huwezi ona ni lini zimekuwepo(JIUNGA) humu JF, au ndio kuishiwa majibu?

Nakala za Nakala za Biblia

Nakala zote za mwanzo za Biblia zilikuwa ni nakala tu.

Nakala hizi ziliandikwa kwa mkono. Nakala ya kwanza kuchapwa kwa mashine ilitoka katika karne ya kumi na tatu ambayo iliitwa Biblia ya "Gutenburg".

Maandiko ya asili (original manuscripts) yalitupiliwa mbali na badala yake zikaanza kutumika nakala mpya kwa sababu zile zilikuwa zimechoka na kuchanika chanika kutokana na kutumiwa kwa muda mrefu. Nakala hizi mpya baadaye, zilitumika kutengenezea nakala nyingi zaidi.

Hata hivyo, kila nakala iliyotengezwa, ilimaanisha kuwepo kwa nafasi zaidi ya kufanya mabadiliko - aidha ya bahati mbaya au ya makusudi ambayo yote haya yaliingizwa katika Biblia.

Kama ilivyokuwa kwa Agano la Kale, Agano Jipya pia lilipatwa na balaa la kuongezewa na kupunguziwa baadhi ya maneno, aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya kutoka kwa waandishi wake.

Ni lazima ionyeshwe kwamba hakukuwa na namna yoyote ya kurudi nyuma na kuangalia usahihi wa kazi za waandishi hasa kwa vile hakuna maandiko ya asili (original manuscripts) ya Agano la Kale wala Jipya.

Nakala zilizopo ambazo tunaweza kusema ni za zamani kabisa ni za karne ya saba au ya nane baada ya kristo ambapo zilichambuliwa na kuchaguliwa ambazo ni bora zaidi kutokana na nakala nyingi na za aina mbalimbali zilizokuwepo wakati ule.

Kwa upande wa Agano Jipya hakuna nakala ya asili iliyopo. Tuna nakala tu, ambazo tunaweza kusema ni za zamani zaidi ambazo ziliandikwa katika karne ya nne, kipindi ambacho maandiko "rasmi au maandiko ya kiofisi" yaliwekwa na kanisa. Ukosefu huu wa nakala za asili (original manuscripts) uliondoa kabisa uwezekano kwa yeyote kujaribu kukagua usahili; na mabadiliko mbalimbali yaliyopenyezwa katika Biblia.
 
Bado hujanijibu. Misimamo kwenye nini?
Hyo Biblia ya Luther ni ipi? Maana inayosomwa na kina MWAKASEGE/ MALASUSA etc kitabu cha UFUNUO, EBRANIA/ MATENDO YA MITUME, KUMB.LA TORATI, YOHANA(Hapa muslims wanakomaa napo ndipo utabiri wa Muhammad ulipo) nk vipo sasa ni kitu gani kilichokataliwa?
Hebu rudia tena maswali yangu kabla ya haya kisha njoo.
1.Vinakinzana kwenye mafundisho kadha wa kadha

Mfano Protestant bible inasema Nuhu alikuwa mtakatifu maana alijiepusha na dhambi

Book of Enoch inaonyesha Nuhu hakuokolewa sababu ni mtakatifu ila sababu tu hakuwa na damu ya MALAIKA!!

Sasa huoni hapo tayari Biblia zinakinzana

2. Ukinzano kwenye Unabii
Kwenye Bible ya mormons kitabu cha Abraham ni canonical na kinatabiri kuhusu siku ya mwisho tofauti na unabii uliopo kwenye kitabu cha ufunuo wa Yohana sasa huoni hapa kunakinzana.

3. Ukinzano wa historia za kibiblia
Book of enoch kinasema Safina ilijengwa na malaika peke yao ila Protestant bible na hta catholic zinatuaminisha Nuhu alijenga safina kwa kuagizwa na Mungu na story hii inatumika sana kwenye somo la imani sasa huoni ukinzano huu unaharibu kabisa role ya Nuhu kama mtu muhimu kwa Biblia??

Yako mengi sana mkuu tuanzie hapo.....
 
Bado hujanijibu. Misimamo kwenye nini?
Hyo Biblia ya Luther ni ipi? Maana inayosomwa na kina MWAKASEGE/ MALASUSA etc kitabu cha UFUNUO, EBRANIA/ MATENDO YA MITUME, KUMB.LA TORATI, YOHANA(Hapa muslims wanakomaa napo ndipo utabiri wa Muhammad ulipo) nk vipo sasa ni kitu gani kilichokataliwa?
Hebu rudia tena maswali yangu kabla ya haya kisha njoo.
Mkuu inaonekana hujafuatilia uzi.... Nmekueleza Martin luther alipofanya utafsiri alivitenga hivo vitabu ana akavifuta sasa ukisema wanatumia kina mwakasege ina uhusiano gani na martin luther ambaye anatambulika kama mwanamabadiliko wa kanisa?? Mbona lutheran ya marekani inatambua ushoga ila ya Tanzania haiutambui??

Jikite kwanini luther alivikataa kwenye bible yake huko ujerumani alafu bado useme biblia zote zinafanana??
 
Ninapo kuita kuwa wewe ni DONKEY si kosei wa kukutusi. bali unastahili kabisa.
Hujui kusoma sawa na Mtume yule aliyerogwa!
Ukisoma hizo IDD huwezi ona ni lini zimekuwepo(JIUNGA) humu JF, au ndio kuishiwa majibu?

Getting Better All The Time!

adding-text.jpg

A page from "Gospel of St John" (Codex Sinaiticus). The copyist adds a new bit in the margin at verse 13. A later scribe will move the addition into the main body.
 
Jibu moja Unambwelambwela.
Nimekujibu mwalimu wangu huyo aliyeshusha hiyo aya. hayo ya kuulizha kama mie Mkristo ama la inatoka wapi?

Imekuchoma mie kufundishwa na Allah!! Stone kisser, wake up and read and learn what is in your books first. Kabla hujawa mwalimu wa vitabu vya wenzako!

A Work in Progress

"Do not add to these words lest He reprove you and you be proved a liar." – Proverbs 30.6.​

There are many Christian bibles. Several hundred in fact (and this number excludes the thousand-plus foreign language editions). Every group that has ever claimed the title ‘Christian’, from gnostic sects of the second century, through countless ‘heresies’ of the Middle Ages, to Mormons of the twentieth century, has had recourse to its own version of the holy testament.

This fine tuning of God’s word, which began at the very inception of Christianity, continues even in our own day. Though this plethora of bibles share a common core, many contain material omitted by others, and vice versa. Even where the content is ostensibly the same, verses have been removed or added, words transposed, rearranged or rephrased. Evidently, God, as the ultimate ‘author’ is endlessly searching for that fine nuance, that pithy turn of phrase.

What is not apparent, when we pick up the holy book, is the extensive editing that has prepared that volume for public consumption, and this editing applies just as much to the central story and its main characters as to any subsequent tinkering – more so, in fact. In the first two centuries of the Christian era, when a ‘Bible’ as such did not exist and the proselytes of the new faith were scouring the Jewish scriptures for confirmation of their heresy, many scribes turned their hand to ‘gospel’ writing. These publications were severely ‘limited editions’, painstakingly written by hand. Often untitled and unsigned these texts passed from hand to hand, in time acquiring the authority and aura of an antique and blurring the distinction between fiction, history and scripture.
 
mgen, Nilijua tu utakuja kwa id hii, unazo zaidi ya 4, za kuvuruga nyuzi za watu

njoo kwenye hoja

Je Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?
Biblia ya Allah ndio sahihi.
mgen huyo atakujibu.
 
Mkuu inaonekana hujafuatilia uzi.... Nmekueleza Martin luther alipofanya utafsiri alivitenga hivo vitabu ana akavifuta sasa ukisema wanatumia kina mwakasege ina uhusiano gani na martin luther ambaye anatambulika kama mwanamabadiliko wa kanisa?? Mbona lutheran ya marekani inatambua ushoga ila ya Tanzania haiutambui??

Jikite kwanini luther alivikataa kwenye bible yake huko ujerumani alafu bado useme biblia zote zinafanana??
Ooh Now i see. Sasa kama huyo naye alikuwa mtafsiri tu, unapataje shida kwenye hilo.
Do you have any proof kuwa America Lutheran Church wanakubali USHOGA? na wana wamefundishwa kutoka kwenye Biblia?
 
Padri mgen Wadanganye kondoo kanisani lakini sio hapa jf
The Best liar is Allah.
Deal with these first.

But they (the Jews) were deceptive, and Allah was deceptive, for Allah is the best of deceivers (Wamakaroo wamakara Allahu waAllahu khayru al-makireena)! S. 3:54; cf. 8:30​
Other texts that identify Allah as a makr include:

Are they then secure from Allah's deception (makra Allahi)? None deemeth himself secure from Allah's deception (makra Allahi) save folk that perish. S. 7:99
So they schemed a scheme: and We schemed a scheme (Wamakaroo makran wamakarna makran), while they perceived not. S. 27:50​
The word for deception/deceiver/scheme is makr. The lexical sources define the term as:

Miim-Kaf-Ra = To practice deceit or guile or circumvention, practice evasion or elusion, to plot, to exercise art or craft or cunning, act with policy, practice stratagem.
makara vb. (1)
perf. act. 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22
impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10
n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22
pcple. act. 3:54, 8:30​
Bewitched prophet follower.
Ukimmiss mgen mtafute inbox umalizane naye huko!
 
Ninapo kuita kuwa wewe ni DONKEY si kosei wa kukutusi. bali unastahili kabisa.
Hujui kusoma sawa na Mtume yule aliyerogwa!
Ukisoma hizo IDD huwezi ona ni lini zimekuwepo(JIUNGA) humu JF, au ndio kuishiwa majibu?
Hana uwezo wa kujua kwamba SAME SPIRIT anacho jua ni kupiga ramli tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukinzana ni misimamo ya hivyo vitabu.... Nimekupa mfano ufunuo wa Yohana luther bible iliifuta sasa kwa msimamo wako unaona ni sawa kitabu cha unabii kifutwe??

Kitabu cha waebrania ambacho kilisimamia issue ya imani + matendo luther alikipinga akasema ni imani pekee inatosha hizo MATENDO ziliongezwa na Nabii uchwara yaani mwandishi wa Waebrania!! Sasa Biblia moja kuipinga hii hoja ya Faith and deeds ambayo ni msingi wa imani huoni tayari kuna ukinzano au kwako ww kitabu cha waebrania ni cha nabii uchwara kweli.

Book of Abraham kiliongezwa kwenye canon ya mormons na kinasema Abraham alipewa gauni la shetani na maono mengine ya ajabu ajabu kitu ambacho kinakinzana na kitabu cha mwanzo ambacho kinamtambua Abraham kama Baba wa Imani na mtakatifu!! Je biblia inayodai alipata nguvu kutoka gauni la shetani huoni zinakinzana??

Tuanzie hapo mkuu
I
,

wewe mwalimu wako Mkuu ni allah! Kwa nini usianzie kwa allah aliye kufundisha...allah ameelewa na kuwaele mchana kweupe?! Kwa nini unabagua na huamini? au wewe ni mjuzi zaidi ya allah na muhammad kwa umoja wao? Sema bro! Ili tubague na tukuamini wewe!
IMG_20190126_203015_735.jpeg
IMG_20190126_202803_595.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Best liar is Allah.
Deal with these first.

But they (the Jews) were deceptive, and Allah was deceptive, for Allah is the best of deceivers (Wamakaroo wamakara Allahu waAllahu khayru al-makireena)! S. 3:54; cf. 8:30​
Other texts that identify Allah as a makr include:

Are they then secure from Allah's deception (makra Allahi)? None deemeth himself secure from Allah's deception (makra Allahi) save folk that perish. S. 7:99​
So they schemed a scheme: and We schemed a scheme (Wamakaroo makran wamakarna makran), while they perceived not. S. 27:50​
The word for deception/deceiver/scheme is makr. The lexical sources define the term as:

Miim-Kaf-Ra = To practice deceit or guile or circumvention, practice evasion or elusion, to plot, to exercise art or craft or cunning, act with policy, practice stratagem.​
makara vb. (1)​
perf. act. 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22​
impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10​
n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22​
pcple. act. 3:54, 8:30​
Bewitched prophet follower.
Ukimmiss mgen mtafute inbox umalizane naye huko!

Mgen, Sorry mada ni Biblia ipi ni sahihi?? Usijaribu kupindisha mada.

A Work in Progress

"Do not add to these words lest He reprove you and you be proved a liar." – Proverbs 30.6.

There are many Christian bibles. Several hundred in fact (and this number excludes the thousand-plus foreign language editions). Every group that has ever claimed the title ‘Christian’, from gnostic sects of the second century, through countless ‘heresies’ of the Middle Ages, to Mormons of the twentieth century, has had recourse to its own version of the holy testament.

This fine tuning of God’s word, which began at the very inception of Christianity, continues even in our own day. Though this plethora of bibles share a common core, many contain material omitted by others, and vice versa. Even where the content is ostensibly the same, verses have been removed or added, words transposed, rearranged or rephrased. Evidently, God, as the ultimate ‘author’ is endlessly searching for that fine nuance, that pithy turn of phrase.

What is not apparent, when we pick up the holy book, is the extensive editing that has prepared that volume for public consumption, and this editing applies just as much to the central story and its main characters as to any subsequent tinkering – more so, in fact. In the first two centuries of the Christian era, when a ‘Bible’ as such did not exist and the proselytes of the new faith were scouring the Jewish scriptures for confirmation of their heresy, many scribes turned their hand to ‘gospel’ writing.

These publications were severely ‘limited editions’, painstakingly written by hand. Often untitled and unsigned these texts passed from hand to hand, in time acquiring the authority and aura of an antique and blurring the distinction between fiction, history and scripture.
 
Sasa uategemea napata wapi kujifunza uongo kama siyo kwa Allah!!
Hapo sijapinda mada. Unapoongea/andika pumba zako ukumbuke pia. Ila sababu wewe ni Kasuku(C&P) ili niende vema kuongopeana na mapadri wangu lazima kwanza nichote ujuzi toka kwa Allah. the one who created his people in this way.

Al-Tirmidhi Hadith - 38

Narrated AbudDarda'

Allah's Messenger (peace be upon him) said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind.
Transmitted by Ahmad.

Source: Hadith Al-Tirmidhi

Keep on drinking Camel Urine will help to find out Which Bible is correct, while your books is as shown here.
Sasa wewe na hiyo Dini unatoka nayo wapi ikiwa uliumbwa na rangi yako ya lami ili kwenda motoni. Au ndio Mfa Maji?.......
 
Huyo anaoga kabsaa
IMG_20181114_090738_250.jpeg

Mgen , UMEKUWA SIKIO LA KUFA , UNATAFUTA TUKUJIBU LAKINI HATUKUJIBU

SISI TUKO KWENYE MADA YA THREAD,

Je Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Director's Cut

"The evangelists were inventors – not historians." – Porphyry, Against the Christians, c. 280 AD.

It was well into the 2nd century before a number of these ‘testimonies’ were collected together and bound into a single volume. From the mass of available material ecclesiastical editors selected what would and what would not be included in the Good Book. But of course different editors made different choices.

Search the Bible in vain for the gospels of Thomas, Matthaias or the ‘The Twelve’; for the Acts of Andrew or Acts of John; for the Epistle of Barnabas, the Didache; for the Shepherd of Hermas or the Apocalypse of Peter. Yet for the first two centuries of Christianity all of these were holy scripture, the revealed Word of God.

On the other hand rejected by the early church fathers were Paul’s letter to Philemon, the second and third letters of John, the second letter of Peter and the General Epistle of Jude, all part of the canon after Christianity became the state religion!

Clearly the Big Guy had had a major rethink. Roman bibles after the fourth century hedged their bets and included ‘doubtful’ and previously rejected material at the end as ‘Apocrypha’ (‘hidden’). Clearly this was God’s rough draft, not really meant for publication. Luther kept the apocrypha in his bible whereas Calvin and most other Protestant reformers excluded them.

To regard this wholesale editorial selection and censorship, and the rewriting which accompanied it, as a function purely of the human mind, influenced by considerations of ambition and wealth, power and politics, is, of course, to lose sight of the hand of god; the divine, beavering away in overdrive in central Europe and the eastern Mediterranean centuries ago!
 
Back
Top Bottom