Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Zawadi yako hii

Sababu ya ujio wa Biblia Takatifu ni hii
IMG_20190126_185507_375.jpg
Tumesha Elewa kwamba, YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI [emoji123] [emoji106] utube ndio mboga gani gavana [emoji47] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niliweka huu uzi kama informative ili kuchochea mjadala wa kufikirishana kuhusu baadhi ya discrepancy kwenye masuala ya imani ila haikuwa nia yangu ugeuzwe kuwa uwanja wa vita za kidini... Sasa ni vzuri mjadala ubaki kwenye original post usiwe diverted kwenye masuala ya kidini mtakua mmeua nia na dhima ya huu uzi.

Cc: mgen Kisoda2 na Gavana
Ukiulizwa madudu yalipo kwenye vitabu(siyo viji chapishi) unavyoviamini ndio matusi?
Mimi nimemuwekea Hadith inayosema mtume aliwanywesha swahaba zake Kojo lake kisha wana kuja kujisifia kuwa KOJO hili lina baraka ya kukupa nafasi kuingia mbinguni. Na tu video clip kibao vinasifia kuwa hilo kojo ni maridhawa kulinywa hasa ukitaka kuingia Firdausi!.Seriously??

Swali kwako mleta UZI huu.(najua kuna hayawani mmoja atajibu)
Kwanini Tujadili wingi/Uchache wa vitabu kwenye Biblia (ambayo ni Tafsiri) inayotumiwa na dhebu fulani la kikristo kuwa ipi ni SAHIHI, na tusijadili IMANI inayofundisha kuwa ili kwenda MBINGUNI lazima unywe KOJO la binadamu mwenzako? Imani inayofundisha kuwa wanawake wote ni mbumbumbu na ni watu wa motoni na watakuwa viburudisho (SEX TOYS) kwa mwaume wa kiisilam huko Peponi, sababu ya wao kuishia motoni eti wanapata HEDHI etc(kwanini Allah aliwaumba na mechanism hiyo ya mwili ambayo adhabu yake ni kwenda motoni?) Who is stupid here?
Imani inayofundisha kuwa ukiwa muumini wake na WAZAZI wako siyo hutakiwi kuwatendea jambo jema hata moja??
Halafu leo unakuja na UZI wa kutaka kujua Biblia ipi sahihi, Huku umeshajijibu mwenyewe kuwa zote zimekopiwa/tafsiriwa kutoka kwenye Biblia ya asili na umezitaja pia. Au nawe ni mmoja wao? Maana hata kunena kwako ,....
 
1. Kuhusu hayo ya sijui MKOJO sikuona faida yake kwenye huu mjadala maana sijayaandika kwenye original post.... Maana na wao wakianza kuja na baadhi ya vijembe kwa Yesu nafkiri hapatakalika hapa so muhimu ni kuvumiliana tu na kubaki kwenye mada husika hayo mengine unaweza fungulia uzi wako ili mkashifiane vzuri.

2. Nimeleta mada ya kuhoji Biblia gani ni sahahi sababu kumekuwa na wimbi la Biblia nyingi zikidai zimevuviwa na Roho mtakatifu ilihali zote zinakinzana. Na hapa sio tafsiri pekee zinazokinzana bali CANON yaani mfumo wa vitabu wa Biblia mfano kuna Biblia kama ya luther iliona waebrania,Esther,ufunuo wa Yohana havifai na iliamua kuvifutilia mbali ilihali kuna biblia mfano za wakatoliki inaviona hivo vitabu ni vya Kiroho ndio hapo nikaona nihoji kwamba nani yuko sahihi kwenye kupunguza/kuongeza vitabu ili nitegue kitendawili cha Biblia gani ni sahihi kwa mafundisho.

3. Kuhusu uislam na hayo mafundisho sina uelewa nayo maana mimi sio muislam zaidi ntaomba nieleweshwe kuliko kukashifu sababu naamini kila fundisho lina tafsiri yake kiimani mfano ww mtu anaweza kukuuliza Yesu alisema watu wale nyama na damu yake, kuna mahala kwenye Biblia Yakobo alipigana na Mungu na akashinda n.k sasa mtu akisoma kwa kichwa kichwa lazima ataikashifu Biblia ilihali hayo masuala yana tafsirika vizuri tu basi na ww kuliko kukashifu ungejipa muda wa kutafiti figurative meaning ya hizo hedhi,kojo n.k kwa minajili ya kujifunza kuliko kukashifu tu inakuwa haijengi zaidi ya kugeuza uzi kuwa uwanja wa vita.
 
Kikomo cha akili yako. hakishangazi yeyote humu. Sababu umezoea kunywa mikojo ya ngami na KOJO la MTUME ALIYE ROGWA muda wote unawaza kukojolewa tu.
Wake up Abdul and stop kissing stone!!
Sishangai kwa lugha hiyo ndiyo unayofundishwa kanisani kwenu
 
Ukiulizwa madudu yalipo kwenye vitabu(siyo viji chapishi) unavyoviamini ndio matusi?
Mimi nimemuwekea Hadith inayosema mtume aliwanywesha swahaba zake Kojo lake kisha wana kuja kujisifia kuwa KOJO hili lina baraka ya kukupa nafasi kuingia mbinguni. Na tu video clip kibao vinasifia kuwa hilo kojo ni maridhawa kulinywa hasa ukitaka kuingia Firdausi!.Seriously??

Swali kwako mleta UZI huu.(najua kuna hayawani mmoja atajibu)
Kwanini Tujadili wingi/Uchache wa vitabu kwenye Biblia (ambayo ni Tafsiri) inayotumiwa na dhebu fulani la kikristo kuwa ipi ni SAHIHI, na tusijadili IMANI inayofundisha kuwa ili kwenda MBINGUNI lazima unywe KOJO la binadamu mwenzako? Imani inayofundisha kuwa wanawake wote ni mbumbumbu na ni watu wa motoni na watakuwa viburudisho (SEX TOYS) kwa mwaume wa kiisilam huko Peponi, sababu ya wao kuishia motoni eti wanapata HEDHI etc(kwanini Allah aliwaumba na mechanism hiyo ya mwili ambayo adhabu yake ni kwenda motoni?) Who is stupid here?
Imani inayofundisha kuwa ukiwa muumini wake na WAZAZI wako siyo hutakiwi kuwatendea jambo jema hata moja??
Halafu leo unakuja na UZI wa kutaka kujua Biblia ipi sahihi, Huku umeshajijibu mwenyewe kuwa zote zimekopiwa/tafsiriwa kutoka kwenye Biblia ya asili na umezitaja pia. Au nawe ni mmoja wao? Maana hata kunena kwako ,....

Nani kakukataza kufungua uzi kuhusu mambo ya uislamu? hapa uzi unasema biblia ipi ni sahihi?
 
1. Kuhusu hayo ya sijui MKOJO sikuona faida yake kwenye huu mjadala maana sijayaandika kwenye original post.... Maana na wao wakianza kuja na baadhi ya vijembe kwa Yesu nafkiri hapatakalika hapa so muhimu ni kuvumiliana tu na kubaki kwenye mada husika hayo mengine unaweza fungulia uzi wako ili mkashifiane vzuri.

2. Nimeleta mada ya kuhoji Biblia gani ni sahahi sababu kumekuwa na wimbi la Biblia nyingi zikidai zimevuviwa na Roho mtakatifu ilihali zote zinakinzana. Na hapa sio tafsiri pekee zinazokinzana bali CANON yaani mfumo wa vitabu wa Biblia mfano kuna Biblia kama ya luther iliona waebrania,Esther,ufunuo wa Yohana havifai na iliamua kuvifutilia mbali ilihali kuna biblia mfano za wakatoliki inaviona hivo vitabu ni vya Kiroho ndio hapo nikaona nihoji kwamba nani yuko sahihi kwenye kupunguza/kuongeza vitabu ili nitegue kitendawili cha Biblia gani ni sahihi kwa mafundisho.

3. Kuhusu uislam na hayo mafundisho sina uelewa nayo maana mimi sio muislam zaidi ntaomba nieleweshwe kuliko kukashifu sababu naamini kila fundisho lina tafsiri yake kiimani mfano ww mtu anaweza kukuuliza Yesu alisema watu wale nyama na damu yake, kuna mahala kwenye Biblia Yakobo alipigana na Mungu na akashinda n.k sasa mtu akisoma kwa kichwa kichwa lazima ataikashifu Biblia ilihali hayo masuala yana tafsirika vizuri tu basi na ww kuliko kukashifu ungejipa muda wa kutafiti figurative meaning ya hizo hedhi,kojo n.k kwa minajili ya kujifunza kuliko kukashifu tu inakuwa haijengi zaidi ya kugeuza uzi kuwa uwanja wa vita.
Mkuu hakuna aliye mkashifu mtu hapa.
Nikuulize tena. Kwenye uzi wako kunasehemu umeandika au ulishawahi kuiona QUEEN JAMES VERSION?
Je, Hiyo Canon inavihusu hivyo vitabu kongwe au mfumo umekuja kwenye hawa watafsiri tu na umefanywa kwa uelewa wa hao?
Wakristo tunahitaji mjadala wa swali jibu, swali jibu. Sasa ukiuliza ukajibiwa halafu bado unaendelea kuuliza hilo hilo na unataka jibu ulilonalo kichwani huo sio mjadala.
Sasa kama hujaridhika na jibu, si unatoa maelezo uliyo nayo kwa kile unajokijua ili mjadala unoge.
 
Sishangai kwa lugha hiyo ndiyo unayofundishwa kanisani kwenu
Nafundishwa na Allah aliyeshusha Aya hii.

Al Maida (The food) - المائدة
Quran 5.14

Arabic - وَمِنَ ٱلَّذِينَ قَالُوٓا۟ إِنَّا نَصَٰرَىٰٓ أَخَذْنَا مِيثَٰقَهُمْ فَنَسُوا۟ حَظًّا مِّمَّا ذُكِّرُوا۟ بِهِۦ فَأَغْرَيْنَا بَيْنَهُمُ ٱلْعَدَاوَةَ وَٱلْبَغْضَآءَ إِلَىٰ يَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ ۚ وَسَوْفَ يُنَبِّئُهُمُ ٱللَّهُ بِمَا كَانُوا۟ يَصْنَعُونَ

Pickthall - And with those who say: "Lo! we are Christians," We made a covenant, but they forgot a part of that whereof they were admonished. Therefor We have stirred up enmity and hatred among them till the Day of Resurrection, when Allah will inform them of their handiwork.

Sahih Intl - And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do.

Yusuf Ali - From those, too, who call themselves Christians, We did take a covenant, but they forgot a good part of the message that was sent them: so we estranged them, with enmity and hatred between the one and the other, to the day of judgment. And soon will Allah show them what it is they have done.

Sasa twambie kati ya hawa watatu walotafsiri hiyo Aya nani yupo sahihi?
Ili watu wajue nimejifunza wapi hiyo Lugha inayokukera humu.

hivyo ukiniona nimekujibu ndivyo sivyo ujue siyo mimi ni Allah yupo kazini!!

Stone Kisser big time.
 
Vitabu vingi au vichache ili kujua usashihi wake hupimwa kwenye mafundisho yake(IMANI ya kumkiri YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa ulimwengu. Alikuja katika MWILI ili atuokoe - TRINITY). Hiyo ndio IMANI ya Mkristo.Ukiwa Mkristo kipimo sahihi cha nani ni nani na kitabu chake kipo sahihi ama la kinapimwa kwa mistari hii. Matthew 24:5-31; Mark 13:6; Matthew 7:15-20.Na kwa kuwa wewe umesema ni wa Imani hii, Mistari hiyo ikuongoze kujiuliza kwenye hivyo vitabu unavyotilia shaka kujua vinafundisha nini kuhusu imani jibu utalipata, na mwisho unamwachia Jesus Himself will deal with them. Maana imeandikwa "Ufun 3:11 - Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako."
 
KWA MUJIBU WA ILIMU ISLAMU YESU NI MTUME [emoji106] HIVYO MUISILAMU YEYOTE ATAKAE LETA VIJEMBE KWA YESU NA BIBLIA TAKATIFU SI MUUMINI ILAHA NI KAFIRI [emoji117]
IMG_20190126_202904_062.jpg
[emoji117]
IMG_20190126_203015_735.jpg
Hivyo inawezekana tuna-chat na makafir humu [emoji15]

2. Nimeleta mada ya kuhoji Biblia gani ni sahahi sababu kumekuwa na wimbi la Biblia nyingi zikidai zimevuviwa na Roho mtakatifu ilihali zote zinakinzana. Na hapa sio tafsiri pekee zinazokinzana bali CANON yaani mfumo wa vitabu wa Biblia mfano kuna Biblia kama ya luther iliona waebrania,Esther,ufunuo wa Yohana havifai na iliamua kuvifutilia mbali ilihali kuna biblia mfano za wakatoliki inaviona hivo vitabu ni vya Kiroho ndio hapo nikaona nihoji kwamba nani yuko sahihi kwenye kupunguza/kuongeza vitabu ili nitegue kitendawili cha Biblia gani ni sahihi kwa mafundisho.

HUNA MAMLAKA WALA SIFA YA KUHOJI BIBLIA TAKATIFU [emoji12]

3. Kuhusu uislam na hayo mafundisho sina uelewa nayo maana mimi sio muislam zaidi ntaomba nieleweshwe kuliko kukashifu sababu naamini kila fundisho lina tafsiri yake kiimani mfano ww mtu anaweza kukuuliza Yesu alisema watu wale nyama na damu yake, kuna mahala kwenye Biblia Yakobo alipigana na Mungu na akashinda n.k sasa mtu akisoma kwa kichwa kichwa lazima ataikashifu Biblia ilihali hayo masuala yana tafsirika vizuri tu basi na ww kuliko kukashifu ungejipa muda wa kutafiti figurative meaning ya hizo hedhi,kojo n.k kwa minajili ya kujifunza kuliko kukashifu tu inakuwa haijengi zaidi ya kugeuza uzi kuwa uwanja wa vita.

KAMA HUNA ILIMU YA DEEN/IMANI KWA NINI KUJIINGIZA KWENYE USICHO KIJUA [emoji47] [emoji15] Biblia Takatifu imebainisha [emoji117]
IMG_20190129_115630_495.jpg
quran Nayo imewang'amua [emoji117]
IMG_20181122_114841_817.jpg
IMG_20190104_091623_024.jpg

Sio vyema Mkuu kuitambulisha Ilimu Islamu kuwa ni KASHFA [emoji15] Yeye Kisoda Amenukuu tu wanacho kiamini Waumini kwa mujibu wa deen yao [emoji106] ww UNASEMA KASHFA wakati wenzio kwa kuamini Hivyo wanategemea kufuzu na kupata [emoji117]
IMG_20181222_094502_845.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafundishwa na Allah aliyeshusha Aya hii.

Al Maida (The food) - المائدة
Quran 5.14

Arabic - وَمِنَ ٱلَّذِينَ قَالُوٓا۟ إِنَّا نَصَٰرَىٰٓ أَخَذْنَا مِيثَٰقَهُمْ فَنَسُوا۟ حَظًّا مِّمَّا ذُكِّرُوا۟ بِهِۦ فَأَغْرَيْنَا بَيْنَهُمُ ٱلْعَدَاوَةَ وَٱلْبَغْضَآءَ إِلَىٰ يَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ ۚ وَسَوْفَ يُنَبِّئُهُمُ ٱللَّهُ بِمَا كَانُوا۟ يَصْنَعُونَ

Pickthall - And with those who say: "Lo! we are Christians," We made a covenant, but they forgot a part of that whereof they were admonished. Therefor We have stirred up enmity and hatred among them till the Day of Resurrection, when Allah will inform them of their handiwork.

Sahih Intl - And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do.

Yusuf Ali - From those, too, who call themselves Christians, We did take a covenant, but they forgot a good part of the message that was sent them: so we estranged them, with enmity and hatred between the one and the other, to the day of judgment. And soon will Allah show them what it is they have done.

Sasa twambie kati ya hawa watatu walotafsiri hiyo Aya nani yupo sahihi?
Ili watu wajue nimejifunza wapi hiyo Lugha inayokukera humu.

hivyo ukiniona nimekujibu ndivyo sivyo ujue siyo mimi ni Allah yupo kazini!!

Stone Kisser big time.

Kwani wewe ni Mkristo?
 
Vitabu vingi au vichache ili kujua usashihi wake hupimwa kwenye mafundisho yake(IMANI ya kumkiri YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa ulimwengu. Alikuja katika MWILI ili atuokoe - TRINITY). Hiyo ndio IMANI ya Mkristo.Ukiwa Mkristo kipimo sahihi cha nani ni nani na kitabu chake kipo sahihi ama la kinapimwa kwa mistari hii. Matthew 24:5-31; Mark 13:6; Matthew 7:15-20.Na kwa kuwa wewe umesema ni wa Imani hii, Mistari hiyo ikuongoze kujiuliza kwenye hivyo vitabu unavyotilia shaka kujua vinafundisha nini kuhusu imani jibu utalipata, na mwisho unamwachia Jesus Himself will deal with them. Maana imeandikwa "Ufun 3:11 - Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako."
Wacha kujificha Kwa I'd mbili si uje Tu kama mgen . Unaona aibu gani?
 
KAMA HUNA ILIMU YA DEEN/IMANI KWA NINI KUJIINGIZA KWENYE USICHO KIJUA [emoji47] [emoji15] Biblia Takatifu imebainisha [emoji117] View attachment 1007667 quran Nayo imewang'amua [emoji117] View attachment 1007673 View attachment 1007676

Sio vyema Mkuu kuitambulisha Ilimu Islamu kuwa ni KASHFA [emoji15] Yeye Kisoda Amenukuu tu wanacho kiamini Waumini kwa mujibu wa deen yao [emoji106] ww UNASEMA KASHFA wakati wenzio kwa kuamini Hivyo wanategemea kufuzu na kupata [emoji117] View attachment 1007610

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unaitumia imani gani? Hii ya kuchafua uzi ?, jibu hoja ? Ndiyo Biblia yako imekuwa sahihi Kwa hiyo copy and paste yako?
 
Nafundishwa na Allah aliyeshusha Aya hii.

Al Maida (The food) - المائدة
Quran 5.14

Arabic - وَمِنَ ٱلَّذِينَ قَالُوٓا۟ إِنَّا نَصَٰرَىٰٓ أَخَذْنَا مِيثَٰقَهُمْ فَنَسُوا۟ حَظًّا مِّمَّا ذُكِّرُوا۟ بِهِۦ فَأَغْرَيْنَا بَيْنَهُمُ ٱلْعَدَاوَةَ وَٱلْبَغْضَآءَ إِلَىٰ يَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ ۚ وَسَوْفَ يُنَبِّئُهُمُ ٱللَّهُ بِمَا كَانُوا۟ يَصْنَعُونَ

Pickthall - And with those who say: "Lo! we are Christians," We made a covenant, but they forgot a part of that whereof they were admonished. Therefor We have stirred up enmity and hatred among them till the Day of Resurrection, when Allah will inform them of their handiwork.

Sahih Intl - And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do.

Yusuf Ali - From those, too, who call themselves Christians, We did take a covenant, but they forgot a good part of the message that was sent them: so we estranged them, with enmity and hatred between the one and the other, to the day of judgment. And soon will Allah show them what it is they have done.

Sasa twambie kati ya hawa watatu walotafsiri hiyo Aya nani yupo sahihi?
Ili watu wajue nimejifunza wapi hiyo Lugha inayokukera humu.

hivyo ukiniona nimekujibu ndivyo sivyo ujue siyo mimi ni Allah yupo kazini!!

Stone Kisser big time.

Biblia yako ndio sahihi hapo??
 
Mkuu hakuna aliye mkashifu mtu hapa.
Nikuulize tena. Kwenye uzi wako kunasehemu umeandika au ulishawahi kuiona QUEEN JAMES VERSION?
Je, Hiyo Canon inavihusu hivyo vitabu kongwe au mfumo umekuja kwenye hawa watafsiri tu na umefanywa kwa uelewa wa hao?
Wakristo tunahitaji mjadala wa swali jibu, swali jibu. Sasa ukiuliza ukajibiwa halafu bado unaendelea kuuliza hilo hilo na unataka jibu ulilonalo kichwani huo sio mjadala.
Sasa kama hujaridhika na jibu, si unatoa maelezo uliyo nayo kwa kile unajokijua ili mjadala unoge.

Kwani hiyo biblia yako ilianza vipi hata uone Nyengine si biblia?
 
Back
Top Bottom