V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 533
Umengangania I agree and disagree! That's all you know? I hope husali na Majini?I agree to disagree. .Bye-bye. ..and have a nice life ndugu yangu. .Naenda sebuleni kupata upepo wa Indian Ocean. .na kusali maana ndiyo mida yenyewe. .
Viumbe roho havina ithibati za kisayansiUnaweza kuthibitisha majini yapo?
Yes havina ithibati, lakini Science inakubali kuhusu uwepo wa UFO (unidentified flying objects) kutokana na evidence zinazoachwa na UFO or aliens. It's possible aliens kuwa spirit creatures visiting the earth!Viumbe roho havina ithibati za kisayansi
Hakuna kitu kama UFO hiyo ilikuwa no michezo ya wamarekani na warusiYes havina ithibati, lakini Science inakubali kuhusu uwepo wa UFO (unidentified flying objects) kutokana na evidence zinazoachwa na UFO or aliens. It's possible aliens kuwa spirit creature visiting the earth!
Ni lazima iwe hatari maana ndo njia ya kwenda peponi ipo huko peponi hawaeindi kiholela na hii ndo vita tulio ambiwa tupigane sio ya mapanga bali ni ya kiroho kumwomba Mungu tusishawishike.Basi hatari sana hii dini.
Naam ila wana baadhi ya mambo wanaweza kufanya kama malaika ndo maana waislam wanachanganyikiwa wanajua ni malaika kumbe majinBaada ya kuasi umalaika wao ukapotea?
Sasa ulitaka tuyapende majini?Mbona nyinyi wagalatia mnapenda kuandika kitu ambacho huna ujuzi nacho au chuki tu
Asante sanaWarmly welcome ndugu....good prayer.
Nimeuliza swali nawe unaniuliza swali ambalo hata haliusiani na biblia,maana mie nauliza maswali yenye kuhusu majini ndani ya biblia.Yakhee kabla ya kujibiwa hayo....wamjua sheitwan (according to Qur'an aliyoshushiwa mtume muhammad (S.A.W) acha Shetani.
Wamjua huyo?
Ukijibu hilo itakuwa rahisi kujibiwa zaidi.
Kuwa na Pride au Kibri ndiyo akataka tu kupambana na Mungu yani ndiyo hivyo tu?Aliota PRIDE, ile ambayo waumin wa dini ya hakhi mwaita KIBRI.
Umeelewa au lengo lako si kuelewa ila kubishana kama waislam wa ubwabwa waso akili upstairs?
Malaika ana sifa zake zenye kumtofautisha na viumbe wengine kama ilivyo kwa wanadamu pia wana sifa zao zenye kuwatofautisha na viumbe wengine.Wewe nilikufahamu kama muumin wa Muhammad S.A.W (Amani iwe kwake) mwenye ufahamu mpana zaidi ya waislam mapovu ila kwa baadhi ya standard ya maswali yako...yanadhihirisha jinsi gani unafanya kitu kinachoitwa
"Voluntarly retardation of your own IQ capacity"
Hiyo imetokea kutokana na kuuliza maswali yaliyo chini ya kiwango cha uelewa wako.
Swali la msingi na muhimu hapo ni hilo la kuhusu
"Habari ya Lucifer kuhasi na kutupwa kuzimu" na utajibiwa
ILA, hilo la kuuliza kuwa tumetoa wapi au kwanini tusiwaite hao "Malaika" badala ya "Majini" au "Mapepo" ni ILLOGICAL QN.
Again, how could we answer that, while ua concrete justification here...kwa wenye uelewa hv noticed this:-
" what u need is Arguments n not positive dialoque neither discussion"
-Mnaamini "Malaika" wameumbwa na Nuru
-Majini yameumbwa kwa moto
-Bin'adamu wameumbwa kwa udongo
NOTE:
Ikiwa nitakuuliza uliye smart kichwani kuwa ni kwanini hamkuwaita Bin'adamu MALAIKA
Huoni utaniona mimi ni Taahira mkurupukaji.
Sasa fikiria wamepotea wangapi katika hiyo vita?Ni lazima iwe hatari maana ndo njia ya kwenda peponi ipo huko peponi hawaeindi kiholela na hii ndo vita tulio ambiwa tupigane sio ya mapanga bali ni ya kiroho kumwomba Mungu tusishawishike.
Kwani umalaika ni nini hadi umalaika wao upotee baada ya kuasi na kuwa majini? na nini maana jini?Naam ila wana baadhi ya mambo wanaweza kufanya kama malaika ndo maana waislam wanachanganyikiwa wanajua ni malaika kumbe majin
Kwahyo unapingana na Kitabu kitukufu Mkuu, Quran? Napita tu.Go on.
Umewahi kushiriki ibada ya kiislam mara ngapi?
Je ulishuhudia Waislam wakiswali pamoja na majini?
Uliyaona vipi majini wakati wengi tunajuwa hayaonekani?
Unaweza vipi kushiriki ibada na kisichoonekana?
Usipende kukaririshwa tukia akili yako walau kidogo tu ufikiri,
*Nijibu hayo maswali kiufasaha nikuelewe*
-Ukishindwa kuyajibu utakuwa dhalimu kwa kusema usiyokuwa na ufahamu nayo
Kwani vitabu hivi viwili (Quran na Bible) vinasemaje kumuhusu Shetani? Je vyote vinasema kuwa Shetani ibilisi, hakuwahi kuwa mchamungu? Dhambi gani ilimtoa uchamungu wake?Hao malaika walimuasi mungu kwa jambo lipi yani ni uasi gani waliyoufanya kwa mungu?
Na kwanini wameitwa majini au mapepo badala ya kuendelea kuitwa tu malaika,kwani neno jini au pepo lina maana gani hadi wakaitwa hivyo?
Na ina maana hao majini wana sifa zote za malaika kama walizonazo malaika wengine ila tofauti yao wao walimuasi mungu tu?
Kwa mujibu wa vitabu, uasi ulotendeka ni kutotii mamlaka ya Mungu. Kuleta upinzani (kudai demokrasia zidi ya kile walichokiita serikali ya kidikteta ya Mungu) ili yeyote yule atakaye na mwenye uwezo ashike hatamu ya uongozi.Ni uasi gani hao malaika waliufanya kwa mungu?
Na je,idadi ya hao malaika waliyomuasi mungu huwa haipungui wala kuongezeka?
Sasa vinatofautiana,na mie nauliza kwenye biblia.Kwani vitabu hivi viwili (Quran na Bible) vinasemaje kumuhusu Shetani? Je vyote vinasema kuwa Shetani ibilisi, hakuwahi kuwa mchamungu? Dhambi gani ilimtoa uchamungu wake?
Je wanajeshi wanaohasi wataendelea tu kuitwa wanajeshi au waasi? Shetani ibilisi=mpinzani muasi.
Hawajielewi tu hao,pale wanaposema PEPO WACHAFU,lazima kutakuwa na kinyume chake PEPO WASAFI.Mbona hawesemi Malaika wasafi,wanasema malaika tu,kwa sababu hakuna kinyume chake.Biblia haina ilmu ya majinni,majinni ni viumbe kama walivyobinadamu wapo wabaya na wazuri
Sijakuelewa pepo msafi ndo una manisha nini kwahiyo kuna shetan mwema na shetan mbaya yaan kuna shetan mcha mungu au mimi sijakuelewa nduguHawajielewi tu hao,pale wanaposema PEPO WACHAFU,lazima kutakuwa na kinyume chake PEPO WASAFI.Mbona hawesemi Malaika wasafi,wanasema malaika tu,kwa sababu hakuna kinyume chake.
Kwa hiyo wajuwe,ikiwa wapo Pepo wachafu na Pepo wasafi watakuwako.
Tatizo kitabu chao,kimetafsiriwa kutoka mlolongo mrefu wa lugha ya asili,kila tafsiri inavyoongezeka,ndio vitu vingi vinaachwa,kutegemea na ugumu wa kutafsiri.