Biblia inasema asili ya majini ni mashetani hivyo msisali nayo wala kuyatolea sadaka maana yalilaaniwa na Mungu pamoja na yule muovu( shetani mkuu au ibilisi). Yaani ndo unaona kua shetani ana maarifa ya ajabu kabadilisha kidogo tu herufi ili watu waamini kua ni tofauti. Na hii inatoka Agano la kale ambalo wenzetu ndo wanaikubali wanaita torati. Ukiangalia katika uumbaji Mungu hakuumba majini kama Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba basi hiyo ya saba aliumba majini lakini kama aliumba Siku sita basi majini hayakuemo kwenye uumbaji. Hata ukisoma Biblia hamna sehemu ilipo andikwa majini yali umbwa isipokua hawa ni watoto wa Ibilisi .Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Biblia inasema asili ya majini ni mashetani hivyo msisali nayo wala kuyatolea sadaka maana yalilaaniwa na Mungu pamoja na yule muovu( shetani mkuu au ibilisi). Yaani ndo unaona kua shetani ana maarifa ya ajabu kabadilisha kidogo tu herufi ili watu waamini kua ni tofauti. Na hii inatoka Agano la kale ambalo wenzetu ndo wanaikubali wanaita torati. Ukiangalia katika uumbaji Mungu hakuumba majini kama Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba basi hiyo ya saba aliumba majini lakini kama aliumba Siku sita basi majini hayakuemo kwenye uumbaji. Hata ukisoma Biblia hamna sehemu ilipo andikwa majini yali umbwa isipokua hawa ni watoto wa IbilisiHamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Biblia haikusema hivyo usitake kulazimisha joomba . Shetani ni kweli alimpeleka sehemu tofauti tofauti kwa majaribio lakini suala la kufunga hakusahulishwa ila ilikua sehemu ya ibada. Nashetani alimchukua akiwa amesha funga tayariYesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.Soma Matayo 4(1-11).

NAKUJIBU KWA MUJIBU WA MAFUNDISHO YA UISLAMU...PIA NAWEZA KUKOSOLEWA KWA MAFUNDISHO YA DINI NA SIO MAFUNDISHO YA KISHIRIKINA.
Nani aliwaumba majini?
MWENYEZI MUNGU
Majini wameumbwaje na kwanini waliumbwa kwa kazi gani?
WAMEUMBWA KWA NDIMI ZA MOTO,WAMEUMBWA ILI KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU
Kwanini hawaonekani nguvu gani au wao wapo ulimwengu gani hasa hadi tunashindwa kuwaona?
WANAONEKANA WAKITAKA WENYEWE,WAO WANAWAONA BINADAM LAKINI BINADAM HATUWAONI LABDA KWA NGUVU YA ZIADA.
Je, vitabu vya dini vinasemaje kuhusu hawa viumbe ni sehemu gan majini watajwa na je mitume wa Mungu wamewahi kuwatumia hawa kwa kazi gani na kwanini?
QURAN INAMTAJA JINI KAMA MIONGONI MWA VIUMBE WA MWENYEZI MUNGU,LENGO LA KUUMBWA KWAO NI SAWA NA LENGO LA KUUMBWA MWANADAM LA KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU.KUNA SURA KATIKA QURAN ITAITWA SURAT JINN IMEWAONGELEA.
KUHUSU MITUME KUWATUMIA KUNA HADITHI INAZUNGUMZIA KUNA VITA JINI ALISHIRIKI.
Kwanini wanaonekana kuwa na nguvu zaid kuliko binadamu, mbinu ipi sahihi ya kuwadhibiti hao viumbe?
NDIVYO MUUMBA ALIVYOWAJAALIA...IJAPO WANAUWEZO MKUBWA UKILINGANISHA NA BINADAM LAKINI MAJINI WANAWAOGOPA WANADAM HASA WACHAMUNGU.KUWATHIBIT HAO VIUMBE NI KUWA MCHA MUNGU NA KUISHI UKIJIKINGA NA DUA ZILIZOFUNDISHWA MFANO PINDI UNAINGIA CHOONI KUNA DUA YAKUOMBA ULINZI WA MWENYEZI MUNGU...PIA USIWACHOKOZE MF KUYAHARIBU MAKAZ YAO KAMA KUKOJOA KTK MASHIMO,MAPANGO,MAGOFU NA MAKAZ YAO MENGINE..KIDINI HAKUNA MAFUNGAMANO/MAHUSIANO BAINA YA BINADAM NA MAJINI SO MWENYE KUTAFUTA MAFUNGAMANO/MAPATANO/MAHUSIANO NA MAJINI AMEMUASI MWENYEZI MUNGU NAE JINI MWENYE KUJIINGIZA KTK MAISHA YA MWANADAM KWA NAMNA YOYOTE AMEMUAS MUUMBA.
Je, maumbile yao halisi ni yapi na utawezaje kuwatambua?
HUBADILIKA KWA KADIRI ATAKAVYO AWEZA KUWA UPEPO,MTU/BINADAM,JIWE MNYAMA NK.
Je, Mungu wanayemwamini ni huyu tunayemwamini sisi na huko watahesabiwa vipi haki siku ya mwisho na adhabu yao itakuwaje kwenye moto wa milele (nasikia wapo kama moto sina uhakika).
NDIO NAO WAMEPEWA AMRI YA KUMUABUDU ILA KAMA TULIVYO WANAADAM TUKO WACHA MUNGU NA WAASI NAO NDIO IVYO IVYO..JUU YA HUKUMU YAO SIKU YA MWISHO SINA UFAHAM JUU YA HILO.
Je, wanaliana vip mimba zao hukaa muda gan na huishii miaka mingap tokea azaliwe yaani jin Mzee yupoje.
WANAISHI MIAKA MINGI ZAIDI YA BINADAM ILA SIJUA KIMA CHA UMRI WAO....WANAOANA NA KUZAA.
Mfumo wao wa utawala upoje na je kuna adhabu za kuwapatia endapo wanasumbua binadamu?
WANAUTAWALA WAO NA MASULTAN WAO....INAPOTOKEA JINI KAMUINGILIA MWANADAM KWA NAMNA YOYOTE HUTOLEWA KWA KISOMO CHA RUQYA HAPA KUNA KUWASIHI,KUWAONYA,KUWAADHIBU KUWAUWA KWA KISOMO ICHO)
Je, wanaweza kuzaa na binadamu na mtoto akizaliwa huwaje?
SIJUI KAMA WANAWEZA KUZAA NA BINADAM ILA WANAWEZA KUFANYA MAPENZI NA BINADAM(NI MAKOSA/DHAMBI KUFANYA MAHUSIANO NA JINI)
Yaan dah yapo mengi maswali!
Soma maandiko vizuri,shetani alimbeba Yesu juu,akamuweka na njaa suku 40.Biblia haikusema hivyo usitake kulazimisha joomba . Shetani ni kweli alimpeleka sehemu tofauti tofauti kwa majaribio lakini suala la kufunga hakusahulishwa ila ilikua sehemu ya ibada. Nashetani alimchukua akiwa amesha funga tayari
Tofautisha Roho aliyetwaja hapa,na Roho wa Kweli.Soma Yohana 16:13-15.Roho ni active force ya Mungu. Siyo shetani.
Luka:4.1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
Luka:4.2
akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
Hapo kuna Roho ya Mungu na shetani ibilisi. Wacha kujifanya kujua, hujui kitu
NAKUJIBU KWA MUJIBU WA MAFUNDISHO YA UISLAMU...PIA NAWEZA KUKOSOLEWA KWA MAFUNDISHO YA DINI NA SIO MAFUNDISHO YA KISHIRIKINA.
Nani aliwaumba majini?
MWENYEZI MUNGU
Majini wameumbwaje na kwanini waliumbwa kwa kazi gani?
WAMEUMBWA KWA NDIMI ZA MOTO,WAMEUMBWA ILI KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU
Kwanini hawaonekani nguvu gani au wao wapo ulimwengu gani hasa hadi tunashindwa kuwaona?
WANAONEKANA WAKITAKA WENYEWE,WAO WANAWAONA BINADAM LAKINI BINADAM HATUWAONI LABDA KWA NGUVU YA ZIADA.
Je, vitabu vya dini vinasemaje kuhusu hawa viumbe ni sehemu gan majini watajwa na je mitume wa Mungu wamewahi kuwatumia hawa kwa kazi gani na kwanini?
QURAN INAMTAJA JINI KAMA MIONGONI MWA VIUMBE WA MWENYEZI MUNGU,LENGO LA KUUMBWA KWAO NI SAWA NA LENGO LA KUUMBWA MWANADAM LA KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU.KUNA SURA KATIKA QURAN ITAITWA SURAT JINN IMEWAONGELEA.
KUHUSU MITUME KUWATUMIA KUNA HADITHI INAZUNGUMZIA KUNA VITA JINI ALISHIRIKI.
Kwanini wanaonekana kuwa na nguvu zaid kuliko binadamu, mbinu ipi sahihi ya kuwadhibiti hao viumbe?
NDIVYO MUUMBA ALIVYOWAJAALIA...IJAPO WANAUWEZO MKUBWA UKILINGANISHA NA BINADAM LAKINI MAJINI WANAWAOGOPA WANADAM HASA WACHAMUNGU.KUWATHIBIT HAO VIUMBE NI KUWA MCHA MUNGU NA KUISHI UKIJIKINGA NA DUA ZILIZOFUNDISHWA MFANO PINDI UNAINGIA CHOONI KUNA DUA YAKUOMBA ULINZI WA MWENYEZI MUNGU...PIA USIWACHOKOZE MF KUYAHARIBU MAKAZ YAO KAMA KUKOJOA KTK MASHIMO,MAPANGO,MAGOFU NA MAKAZ YAO MENGINE..KIDINI HAKUNA MAFUNGAMANO/MAHUSIANO BAINA YA BINADAM NA MAJINI SO MWENYE KUTAFUTA MAFUNGAMANO/MAPATANO/MAHUSIANO NA MAJINI AMEMUASI MWENYEZI MUNGU NAE JINI MWENYE KUJIINGIZA KTK MAISHA YA MWANADAM KWA NAMNA YOYOTE AMEMUAS MUUMBA.
Je, maumbile yao halisi ni yapi na utawezaje kuwatambua?
HUBADILIKA KWA KADIRI ATAKAVYO AWEZA KUWA UPEPO,MTU/BINADAM,JIWE MNYAMA NK.
Je, Mungu wanayemwamini ni huyu tunayemwamini sisi na huko watahesabiwa vipi haki siku ya mwisho na adhabu yao itakuwaje kwenye moto wa milele (nasikia wapo kama moto sina uhakika).
NDIO NAO WAMEPEWA AMRI YA KUMUABUDU ILA KAMA TULIVYO WANAADAM TUKO WACHA MUNGU NA WAASI NAO NDIO IVYO IVYO..JUU YA HUKUMU YAO SIKU YA MWISHO SINA UFAHAM JUU YA HILO.
Je, wanaliana vip mimba zao hukaa muda gan na huishii miaka mingap tokea azaliwe yaani jin Mzee yupoje.
WANAISHI MIAKA MINGI ZAIDI YA BINADAM ILA SIJUA KIMA CHA UMRI WAO....WANAOANA NA KUZAA.
Mfumo wao wa utawala upoje na je kuna adhabu za kuwapatia endapo wanasumbua binadamu?
WANAUTAWALA WAO NA MASULTAN WAO....INAPOTOKEA JINI KAMUINGILIA MWANADAM KWA NAMNA YOYOTE HUTOLEWA KWA KISOMO CHA RUQYA HAPA KUNA KUWASIHI,KUWAONYA,KUWAADHIBU KUWAUWA KWA KISOMO ICHO)
Je, wanaweza kuzaa na binadamu na mtoto akizaliwa huwaje?
SIJUI KAMA WANAWEZA KUZAA NA BINADAM ILA WANAWEZA KUFANYA MAPENZI NA BINADAM(NI MAKOSA/DHAMBI KUFANYA MAHUSIANO NA JINI)
Yaan dah yapo mengi maswali!
.Mkuu inakuwaje pale shekhe anapofuga majini?wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.
TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.
NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Ninyakati za mwisho utaona kila aina ya kituko biblia ilisha tabiri haya yote hata waislam kuchinja wakristo yalisha tabiriwa si hao tu wengi watakuja na kujiita wao ni Yesu na watakuja kuleta miujiza na watu watawafuata ni wakati wa Shetani au ibilisi kufuata walio wake. Hata ishia hapo mwisho kabisa ataibuka mnyama 666 ambae Quran imesema mtaletewa waislam mnyama kutoka ardhini msemezane nae.Watu wanalishwa majani kama mbuzi kisa roho mtakatifu,watu watu wana nyweshwa hadi sumu kisa roho mtakatifu,wengine wanaambiwa wafanye masturbation kisa roho mtakatifu.
Ebwana huyu roho mtakatifu sasa balaa,maana hapo ndipo mkristo alipokamatwa hana ujanja chochote utakacho mwambia atafanya kwa sababu ya roho mtakatifu.
Si ajabu hata hizi ndoa za jinsia moja akawa ni yeye aliyeruhusu.
Walikua ni malaika wa Mungu kabla ya kuasi. Hilo ndo jeshi alilo ondoka nalo Lucifer au Shetani ambae mnamwita mola mleziKwahiyo kwa mujibu wa biblia haya mashetani ni malaika wa mungu?
Kuna siku ikiondikwa malaika waliumbwa?Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Roho ni active force ya Mungu ambayo ilimpeleka Yesu kiroho. Husisome biblia macho juu kama Qur'an!
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Luka:4.1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
Luka:4.2
akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Husisome biblia macho juu kama Qur'an
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.5
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,
Matayo:4.6
akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Matayo:4.7
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Matayo:4.8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
Matayo:4.9
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
Matayo:4.10
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Biblia inasema asili ya majini ni mashetani hivyo msisali nayo wala kuyatolea sadaka maana yalilaaniwa na Mungu pamoja na yule muovu( shetani mkuu au ibilisi). Yaani ndo unaona kua shetani ana maarifa ya ajabu kabadilisha kidogo tu herufi ili watu waamini kua ni tofauti. Na hii inatoka Agano la kale ambalo wenzetu ndo wanaikubali wanaita torati. Ukiangalia katika uumbaji Mungu hakuumba majini kama Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba basi hiyo ya saba aliumba majini lakini kama aliumba Siku sita basi majini hayakuemo kwenye uumbaji. Hata ukisoma Biblia hamna sehemu ilipo andikwa majini yali umbwa isipokua hawa ni watoto wa Ibilisi .
Kaka hakuna jin mzuri ila kitengo alicho pangiwa na Shetwani si cha kudhuru watu ila wote ni jeshi la ibilisi . Kabla ya vitabu vyote kulikua na kumbumbu la torati hamna sehemu iliosema kuna majini wazuri hii imekuja baada ya Quran ukitaka kujua hiki kitabu ni mkanganyiko Malaika alietumwa na Mungu ni wapole sana angalia malaika wa Ibrahimu walivyo mtokea pamoja na manabii wengine walijiwa kwa upole na upendo. Sasa huyu Mud malaika wake alikua mkali anamkwida roba anamwambia asome huyu alikua malaika wa namna gani !!!!Katika ukristo hakuna ilmu hii ya majini.Ngoja niwape darsa.Majini ni viumbe ambao wameumbwa na M/Mungu kama viumbe wengine(rejea Surat jinn) katika majinni kuna majini wabaya na wazuri kama ilivyo kwa binadamu.Majinni wana ulimwengu wao kama ilivyo sisi binadamu.Shetwani ni miongoni mwa majinni ambaye aliishi mbinguni pamoja na malaika ila aliasi akafukuzwa mbinguni.Wapo majinni ambao hawamwabudu Mungu
acha uongo ..km hujui tulia watu wakueleze sio kupayukaMajini ni shetani waliosilimu.
Yaani mashetani waislamu.
muongo,,umeongea vitu tofaut,..majin wengnena malaika wengne na wote ni viumbe wa m/mungMajini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.