Lakini maoni yao tumeyakataa .!!
Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar
Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar
Na sasa amepata nafasi, kaitumia kutimizia ahadi yake
Haki huinua taifa.