muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,154
- 15,447
Apige Kazi, ajiunge na Chuo kikuu Huria, akijipanga vizuri anatimiza lengo lake, na kupanua wigo wa kuajiriwa sehemu nyingine bora zaidi.Habari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu.
Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.
Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!
Ni kaupumbavu😁.Hii JANJA JANJA Huwa mnaipigaga kwenye mshono haaahaa 😊
Sekta zetu za binafsi baadhi hazi support kujiendeleza moja ni hii anayoipitia mdau, achague kazi au shuleAngekua huko surebet(Serikalini) sawa,ila kama yupo private ni mtihani mwajiri kukupa ruhusa ya kusoma huku akaendelea na kibarua chake,aangalie kilicho bora kwake bila kuiathiri familia
Dira yake ya maisha ni nini?Familia inanitegemea ili niitunze na kuilinda. Kuhusu mdau anaomba ushauri wako katika hili analolipitia
Hatari sana,inakulazimu ukomae tu na hicho kibarua huku ukiendelea kuwa cheap labour kwani elimu ni ya kawaida.Sekta zetu za binafsi baadhi hazi support kujiendeleza moja ni hii anayoipitia mdau, achague kazi au shule
Mbona unashukuru Sana wakati siyo wewe?Shukrani kaka
Ni mtihani sana mtaalam, sekta zetu zinatudidimiza sana. Na biashara wengi wetu hatuwezi kuziendeshaHatari sana,inakulazimu ukomae tu na hicho kibarua huku ukiendelea kuwa cheap labour kwani elimu ni ya kawaida.
Labda ajaribu vyuo vinavyotoa mafunzo kwa njia ya blended,apige kazi huku akiendelea na kazi ambapo inabidi apambane haswaa,manake kujigawa kati ya kazi,shule na familia sio poa
Acha tu mkuuNi mtihani sana mtaalam, sekta zetu zinatudidimiza sana. Na biashara wengi wetu hatuwezi kuziendesha
Kwa hiyo ni wewe si ndio?Nimeomba ushauri ndio maana nashukuru wadau kwa hilo