Kumekuwa na ubishani miongoni wma wadau wa sekta ya bongo movie hasa baada ya kufariki marehemu KANUMBA(R.I.P) kuwa nani hasa anafuta nyayo zake je ni RAY au JB kwa mtazamo wako kati ya RAY na JB nani mkali
ray anajikongoja na mtu majisifu kwelikweli jb ni jembe la kwee na nina mkubali ila hawezi kufuata nyanyo za kanumba kwa kuwa kila mtu ana vionjo vyake ambavyo mwenzake hana
Dah kweli wana JF noma, ikiletwa topic ya bongo movie mnakuwa wakali na kusema kuwa hamuangalii hizo muv, sasa hizo sifa za ray na jb mmezijulia wapi? Jst thinking aloud, tehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.