Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
nilipata kuangalia vipande vya JB enzi akiwa anaigiza na kina Bishanga ITV jamaa namkubali mpaka kesho japo sijabahatika kuona movie zake kwa sasa
Kula tano mwana!
JB yuko juu atii.
Ray anapga makelele tu na kupaka poda na lipstick.
wote bado sana. am addicted with European movies