Ray C ni madawa tu yalikatisha career yake Ila kama angeendelea na peak yake, Lady Jay Dee asingekuwa na mightness aliyonayo kutokana na consistence yakeAngalau uliposema kuhusu Ray C huyu angekomaa angekuwa mbali sana
Kwanza video zake alikuwa anashoot mambele kitambo tu
Ila hao wengine umepuyanga
Halafu kwanini Jay d nq Ray c hawapatani?Ray C ni madawa tu yalikatisha career yake Ila kama angeendelea na peak yake, Lady Jay Dee asingekuwa na mightness aliyonayo kutokana na consistence yake
Potential atakuwa nayo kama atakomaa, lazima uangalie mazingira, Jide alikuwa katika mazingira magumu na akasurvive, huyo Zuchu angeweza kurvive katika mazingira yale? Zuchu yuko katika kipindi ambacho muziki umekuwa sana, lakini jamani kweli ufananishe wimbo wa Honey Vs Joto hasira, ft Prof J, au Faraja uko wapi faraja, wanaume kama mabintiZuchu alichomzidi Lady Jay Dee kikubwa ni uwezo wa kucheza na lugha ya kiswahili kwenye ushairi wake. Only if kama anaandika mwenyewe maana nikisikiliza interviews zake na kina cha lugha ya kiswahili anachokitumia kwenye uandishi wake. Ni ngumu kamini kuwa haandikiwi baad hi ya vitu japo mwenyewe alikiri kwenye interview ya salama kuwa nyimbo nyingi akiziandika huwa namshirikisha mama yake kwenye utunzi
Vingine vyote kuanzia legacy, kuimba, live performances, tuzo etc Zuchu bado bado ijapokuwa potential ya kufika alipofika Jay dee anayo kama ataweza kukaa kileleni at least miaka 5-10 ijayo
Maybe issue ipo associated na Ruge maana Jide alikuwa na bifu nae wakati Ray C akiwa na Ruge hadi mwisho. Kingine ni bifu tu za kuwa juu kimzikiHalafu kwanini Jay d nq Ray c hawapatani?
unaongelea kucheza, Rayc mwenyewe alichokuwa anamzidi Jide kipindi hicho ni kiuno tu cha nyigu tu, Jide mkurya kiuno kigumuRay c alikuwa full package
Melody,kiuno sio powa, alikuwa anauzika
Jay dee kiuno kigumu kama shoka
Jaydee ni muimba kwaya.Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi wasanii wa sasa. Wakati Sanaa imekuwa sana na sasa hakuna tena ubabaishaji kama wa zamani ...kama kipaji kipo kinaonekana na kama sauti ipo inaonekana.
Nampa Lady Jaydee heshima kuliko Zuchu au Maua Sama lakini kulazimisha kuwa lady Jaydee ni mkali kisanaa kuliko Zuchu na Maua Sama sio kweli.
Wasanii wakongwe wanastahili heshima lakini tusiwape sifa za Uongo.
Lady Jaydee hata Ray C kwenye ubora wake alikuwa hamfikii kabisa, tuwape heshima lakini sio sifa za Uongo..
Nadhani Jide toka anaanza muziki alikuwa akiimbia matured audience ndio maana catalogue yake ya muziki ipo clean. Kuanzia machozi, usiusemee moyo hadi Mambo matano.Potential atakuwa nayo kama atakomaa, lazima uangalie mazingira, Jide alikuwa katika mazingira magumu na akasurvive, huyo Zuchu angeweza kurvive katika mazingira yale? Zuchu yuko katika kipindi ambacho muziki umekuwa sana, lakini jamani kweli ufananishe wimbo wa Honey Vs Joto hasira, ft Prof J, au Faraja uko wapi faraja, wanaume kama mabinti
umeongea ukweli kabisaNadhani Jide toka anaanza muziki alikuwa akiimbia matured audience ndio maana catalogue yake ya muziki ipo clean. Kuanzia machozi, usiusemee moyo hadi Mambo matano.
Zuchu alianza na EP lakini pia ana classics ambazo hazitochuja kama Raha, mwambieni, utaniua, nisamehe, wana, Naringa etc
Lakini pia Zuchu yupo katika Era ya Muziki wa club bangers na miziki rahisi rahisi ya matusi. Na WCB kama label inayoneemeka kwa strategy hiyo ya biashara, lazma Zuchu aimbe nyimbo za aina hiyo ili avume kama ilivyo sasa
Sema kitu kimoja ulichosema ni muhim, Lady Jay Dee alikuwa anaimba bongo flava ya kuasisi, yaani ndo wanaifuma ala na uandishi katika kipindi ambacho bongo flava ilionekana ni muziki wa kihuni, mauzo ni shows na albums lakini pia media ndo platforms pekee zinaendesha promotion ya muziki. Hivyo, hata kama smooth vibes chini ya ruge na clouds ndo ilinsimamia, lakini nazoo ndo zilikuwa zinaanza
kwa hiyo huwezi kulinganisha na Zuchu ambae kakulia familia ya muziki, kakabidhiwa kwenye Music empire ambayo ipo established kifedha, kiuandishi, kimuziki, kipromotion na kila kitu lakini bado akapikwa miaka mitano ili tu aje atoke. So hapo unaona kabisa kufanikiwa kwa Jide na Zuchu ni mbingu na Ardhi
Kwa hiyo kumuweka Zuchu na Lady Jay Dee kwenye sentensi moja ni kumkosea heshima Lady Jay Dee japo, kama Zuchu anaandika nyimbo zake Mwenyewe, ni kweli ana tungo nzuri za kiswahili pengine kuliko hata wasanii wa kiume tulionao
Shukrani 🙏🏽🙏🏽umeongea ukweli kabisa