rais wa mtaa
Member
- Oct 29, 2017
- 11
- 5
GDP is the perfect measure of economic growth?
No body is against any economic progress, but we against the infringement of people's rights and disregard of rule of law.The best is yet to come, for over ten years we have been having FDI's that provide employment to Tanzanian citizens but pay them less than what they gain from us. Now that our lovely president is pinning them, they turn to write against him. If he was their puppet we would have seen how they publish good economic figures even if there is disparity. We need ourselves more than we need international investors, let them write what they write. All we have to do is to focus upon our goals towards sustainable development, a true development for the citizens of our country.
Hii siyo sahihi kwani huwezi ukawa unajibu chochote kinachoandikwa na mwandishi yoyote wa habari. Kama ni Taasisi yoyote ingekuwa imetoa sawa lakini mtu binafsi kwa kujisikia kwake kuandika alichoona kinafaa kuandika huwezi kumjibuMsemaji Mkuu wa serikali anatakiwa afanye press conference na international media kujibu hizi tuhuma
Hana cha uandishi mzuri wala nini zaidi ya njaaPascal Mayalla Unaweza ukawa mwandishi mzuri, lkn kwa kipindi hiki cha "tujage lolo" , "twashilaga??", "ndii tabu"???? una some sort of inclination angle ingawa unajitahidi kuificha! All in all wewe ni mwandishi mzuri..........
Kithungu kizuri, I can see here a rogue President and a rogue journerlistsWanabodi.
Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania
Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.
Democracy in Africa How to save Tanzania
Start by containing President John Magufuli
![]()
Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.
Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.
The Teacher’s flawed lessons
Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.
Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.
Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.
![]()
Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.
They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.
For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.
This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"
Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.
Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?.
Paskali
Mzungu ashikwe pabaya na nani? Magu?? Huyu huyu anayetegemea misaada yao? Kujipa moyo nako ni muhimu, nimekuelewa though..Inaonekana wazungu wameshikwa pabaya sana
Kuna tofauti kati ya kuanini "kila kitu" kwenye habari na kuamini kila habari. Kwenye hiyo habari ya Magufuli nimesema ni "ukweli mtupu." Wewe kama unaona ni uongo au wamemsingizia rais "wetu mpendwa" , tueleze ni upi??
Your natural resources contribute just under 5% of the global economy. So stop pointing fingers at developed country and start to take care your own well being.
Amani ya DRC itapatikana watakapohakikisha madini yote yameisha, kwa sasa ni ndoto. Maofisa wa UN waliopo DRC kwa kisingizio cha peacekeeping asilimia kadhaa ni wezi wa madini. Sierra Leone hizo hizo nchi tajiri ndio wachochezi na wanaosaidia rebels huku zenyewe zikipora rasilmaliKuna wazungu wanyoofu wametoa taarifa ya utafiti unaoonesha kuwa ndege za misaada pamoja na MAMBO mengine huja na silaha na huondoka na madini Congo na Sudan ya Kusini.
Nduhu tabu wameleta tabu tupuPascal Mayalla Unaweza ukawa mwandishi mzuri, lkn kwa kipindi hiki cha "tujage lolo" , "twashilaga??", "ndii tabu"???? una some sort of inclination angle ingawa unajitahidi kuificha! All in all wewe ni mwandishi mzuri..........

Amani ya DRC itapatikana watakapohakikisha madini yote yameisha, kwa sasa ni ndoto. Maofisa wa UN waliopo DRC kwa kisingizio cha peacekeeping asilimia kadhaa ni wezi wa madini. Sierra Leone hizo hizo nchi tajiri ndio wachochezi na wanaosaidia rebels huku zenyewe zikipora rasilmali
Fitina za ACCAÇIA
Ahaaa Ahaaa Nipo na wewe brotherHivi wenzetu mnatumiaga nini kufikiri?
kuna madini gani yalitotunufaisha

Emalau which right have you been denied as a citizen.No body is against any economic progress, but we against the infringement of people's rights and disregard of rule of law.
Lakini juzi waziri wako wa fedha kaenda kwa haohao wazungu unawaona sio wa maana kuomba fedha za kuinua uchumiLiichafue Tanzania kwa kipi hasa,wakati mpk neti za malaria wanatoa wao bure kama misaadaMbona wakati anasifiwa na akina Forbes na wengineo mlikua hamsemi?!
Kwani hayo yaliyosemwa ni UONGO?!,
Je watu hawauawi?!
Hawafungwi?!
Demokrasia haijakandamizwa?!
Mikutano ya siasa haijazuiwa?!
Uchumi haujaporomoka?!
Hao wazungu wakiamua kumyoosha wanamyoosha vizuri tena kama ruler hawana hata haja ya kupiga kelele sijui,Uliza Venezuela na Iran watakueleza vizuri
Paskal ni kichwa sana tu,nimemfuatilia miaka mingi tu kupitia media mbalimbali ila kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea ktk nchi yetu,amekuwa "double standard" media tanzania irabidi muwe vibudu kwa miaka kumi mpaka mtukufu astaafu poleni sana.Pascal Mayalla Unaweza ukawa mwandishi mzuri, lkn kwa kipindi hiki cha "tujage lolo" , "twashilaga??", "ndii tabu"???? una some sort of inclination angle ingawa unajitahidi kuificha! All in all wewe ni mwandishi mzuri..........
Tanzania inajichafua yenyewe. Mbona enzi ya mkapa. Mwinyi na jk hawajatuchafua? Acheni kujitia wazimu kama vile hakuna linalotokea. Wanaouwawa ni nguruwe?
Ndo maana JPM anarekebisha elimu kwa sasa.Hivi wenzetu mnatumiaga nini kufikiri?
kuna madini gani yalitotunufaisha