Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

Hahaha Nipo mbona babu, afu kila siku nakuvizia Bunju sikuoni
Hahahahahaa afu wewe bhana.... unaleta taarab msibani??

Hiyo Bunju unayoizungumzia wewe ni ile ya Torabora au ya Sudani Kusini??

Hili itabidi tulijadili PM
 
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.

Kwanza,tambua umri halisi wa mke wako,zoezi lifanyike kwenye kitanda mnacholala.

Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.

NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
Kama mkeo ni hawa walokole , lazima akupige sala ya nguvu na kusema amepewa maono umetokea kwa mganga
Kumbe NTANDABA
 
Hahahahahaa afu wewe bhana.... unaleta taarab msibani??

Hiyo Bunju unayoizungumzia wewe ni ile ya Torabora au ya Sudani Kusini??

Hili itabidi tulijadili PM
Hahaha wewe zuga tu, bunju yako hiyo hiyo
 
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.

Kwanza,tambua umri halisi wa mke wako,zoezi lifanyike kwenye kitanda mnacholala.

Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.

NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
Umenipa raha sana
 
Hahaha kwa hiyo leo nikuvizie kwa Jumbe, kwa Jeshi, Usalama au kwa Baharia? Au nishuke hadi Magengeni?
Hahahahahaa..... duh. Ya leo kali hakyamama!!

Shuka shule pale afu ukuje Kibila bar kaunta ya juu. Nimevaa flana ya zambarau, suruali ya njano na viatu vya bluu. Bill yako itakuwa juu yangu.
 
Hahaha ntafika fasta, utaniona tu nimevaa tracksuit ya orange, raba za chanikiwiti na kilemba cha ugoro. Saa 2 net
 
Khaaaaa..... muda huo nakushauri uje na dikshenare... mi nikishagongaga vigrants kadhaa, kizungu kinajileta chenyewe mdomoni.
 
Back
Top Bottom