azikala ngulukizi
Senior Member
- Mar 23, 2016
- 190
- 124
Mh bora hata vidole vya mikono miguu tena
unanyonya MAKAMASI yake mara umri wakeHahahaa akiendelea kusaliti je?
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.
Kwanza,tambua umri halisi wa mke wako,zoezi lifanyike kwenye kitanda mnacholala.
Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.
NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
uwiiiiiiAwe msafi basi huyo mwanamke, maana kuna mwingine unakuta ana magaga na kupasuka pasuka nyao kama ngozi ya kenge ukitoka hapo fungus mpaka kwenye koo.
Inakuwa imekula kwako mkuu, haya masharti ni ya kiganga na huwa hela ijienda kwa mganga it is sunk cost none refundableHahahaa akiendelea kusaliti je?
Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.
NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
tumekatazwa kuongea mambo muhimu wacha tujiliwaze na upumbavuDah Tanzania yanguView attachment 358907
Nyonya vidole vyote vya mguu kwa mara moja mara 30Assumption - mke wangu ana 30 years
Maswali:
- Je, unanyonya kila kidole mara 30 au nanyonya vidole mara 6 yaani kwa kuwa viko vitano nitajikuta nanyonya mara sita.
- Je, kiwiko na goti unavinyonya mara ngapi...kwa muda gani?
hahahahahah umepotea kijana watu wanazama hadi zizini lakini ukitoka hapo ama wakati unahangaika kulamba mwenzio anawaza juma atamfiligisa ampe sh ngapi hehee fanya kazi ujenge familia hasa watoto, sisi wanawake sio ndugu zenu ........Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.