KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Wewe umesahau masharti,ni lazima unyonye na tigo mara 17 huku unalia machozi.[emoji28][emoji28]
Wewe umesahau masharti,ni lazima unyonye na tigo mara 17 huku unalia machozi.[emoji28][emoji28]
hahahahWewe umesahau masharti,ni lazima unyonye na tigo mara 17 huku unalia machozi.
Kwa wanaume procedure ni hizohizo pia lakin upande wa kulia badala ya wa kushoto.Na kwa wanaume je?
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.
Kwanza,tambua umri halisi wa mke wako,zoezi lifanyike kwenye kitanda mnacholala.
Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.
NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
Yaheee umetowa zenji nn mmm mambo ya zenji hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji126]Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.