Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
hhahaaaaaaaaaaa LOL.........
Awe msafi basi huyo mwanamke, maana kuna mwingine unakuta ana magaga na kupasuka pasuka nyao kama ngozi ya kenge ukitoka hapo fungus mpaka kwenye koo.
Hahahahhahahahahaha pyeeeee
Mh!!Hata waganga wa sumbawanga hawajawahi kumshaur mteja WAP hvoo,,, Ila tutambue kuwa ndoa ni mpango kamili wa Mungu kwa hyo mwenyewe ndo anajua hii ndoa INA shida gani na dawa yake ni nini??
Hebu nitafsirie hako kahadithi tafadhaliMweeeeeeeeh
Mmh babu yani kama wewe hujaelewa, me ndo kabisaaaaHebu nitafsirie hako kahadithi tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena aliyedhamiria hasa kuhakikisha unashindwa masharti ili ushindwe kudai hela yako
Mi naona tukubali yaishe. Hizi syllabus za O level miaka hii hazifanani na zile za enzi zetu. Si unajua shule zimefungwa??Mmh babu yani kama wewe hujaelewa, me ndo kabisaaaa
Hahaha Nipo mbona babu, afu kila siku nakuvizia Bunju sikuoniMi naona tukubali yaishe. Hizi syllabus za O level miaka hii hazifanani na zile za enzi zetu. Si unajua shule zimefungwa??
Baada ya kusema hayo napenda kukutaarifu rasmi kuwa nakupenda sana na nimekumisi sana. Usiende mbali nami....
Ni Sayansi tu!.Ni ushirikina au?