Jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani?

Abortion is legit worldwide ila sio tanzania,watu wanasema kuliko mtoto azaliwe ateseke bora kutoa tu mimba.

Kwa mfano mtu kabakwa afu kapata mimba azae mtoto amchukie asimjali,mtoto asikae sawa kiakili bora tu umtoe
 
Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha.

Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa.

Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani, wengine wametoa mimba zaidi ya tano.

"Mimi wakwangu angekua anatimiza mwezi mmoja saivi akiwa tumboni kwa mama yake"
Ayii sitak hata kukumbuka asee
 
Ilitolewa ikiwa haijatungwa?
 
Regardless situations zitazotokea sitoshauri mimba itolewe au nimshauri atoe mimba. God forbids
 
Back
Top Bottom