Jaribio: Ukitakujua waTz wengi wana funza kichwani, lidondoshwe gari la mafuta lenye maji, uone kitachotokea

Nieamini kumbe malaika mtoa roho huja katika umbo la binaadamu
Yulee mbele pale anataka kutoa betri
IMG_20190812_220421.jpeg
 
Watu wanaweza kwenda kweli

Watu wanaweza kwenda maana Kuna watu akili zao na za kuku hazipishani,kuku wakiwa sehemu halafu mmojawapo akakamatwa na kimburu watatawanyika,lakini baada ya mda mfupi utawaona wamerudi hukohuko.Hivo likitokea tena(Mungu apishe mbali)Kuna watu wanaweza kwenda huku wakisema"kufa kulala bwana".
Na za kuku!!!!
 
Kuna siku nilikuwa kimara mwisho lilianguka gari LA kuku broiler,jamaa walijiwahia broiler japokuwa ilikuwa SAA nane usiku
Ila hii tabia ya kujiwahia vitu wakati Gari limeanguka shida nini ? mtu kapata ajali bado watu wanamwibia tena vitu vyake, kwanini tusitoe msaada pamoja na kumlindia hizo Mali zake, mfano hao kuku,mafuta kule morogoro, duh
 
Maisha yamegeuza watu kuwa wabinafsi.. watu wanaona vile tu ambavyo vinawafaidisha. Yani hapo unakuta akili haitambui kama gari hua inadereva
 
Yaani wakati bado hatujasahau; tufanye jaribio hili, tuchukue gari la mafuta halafu tujaze maji yenye rangi na harufu ya petrol, then tulipindue alfajiri kwa kutumia crane la breakdown bila watu kuona, halafu asubuhi tuyafungulie hayo maji/ petroli feki yaanza kutiririka mtaroni, uone watu watakavyojazana na vidumu vya maji kama wapo bombani. Hawatakumbuka ya Msamvu!
Wala siyo wanafunza kichwani bali UMASIKINI. Kuna watu wanahangaika mtaani hata ule mlo mmoja kuupata ni shida. Umejifikiria wewe tu kwasababu unakula na unashiba. Unategemea mtu anaishi kwa kupambania maisha yake akute gari la petrol asichote mafuta? HAITAWEZEKANA
KAMA UNAKULA NA UNASHIBA MSHUKURU SANA MUNGU. KUNA WATU WANAISHI MAISHA YA SHIDA YAANI UKIMUANGALIA TU UNAJUA KUWA HUYU MAISHA YAMEMPIGA.
 
Ila hii tabia ya kujiwahia vitu wakati Gari limeanguka shida nini ? mtu kapata ajali bado watu wanamwibia tena vitu vyake, kwanini tusitoe msaada pamoja na kumlindia hizo Mali zake, mfano hao kuku,mafuta kule morogoro, duh
SHIDA NI UMASIKINI. KWENYE AJALI YA MOROGORO UMESIKIA MTU MWENYE KIPATO KIZURI AMEKUFA? UKIANGALIA WALIKUFA BODABODA, MAMANTILIE NA WAMACHINGA
 
Namuona mama kaenda na mwanae mgongoni daah kwanini tusiridhike na hali zetu jamani utafikiri hiyo petrol watachota ndio watakuwa matajiri
 
Back
Top Bottom