Jaribio: Ukitakujua waTz wengi wana funza kichwani, lidondoshwe gari la mafuta lenye maji, uone kitachotokea

Maisha yamegeuza watu kuwa wabinafsi.. watu wanaona vile tu ambavyo vinawafaidisha. Yani hapo unakuta akili haitambui kama gari hua inadereva
Aisee, ni hatari hapo dereva kabanwa huko anahitaji msaada, wananchi tuko busy kujichukulia vitu, yaani ni kama tulikua tunasubiri hilo gari lianguke
 
Wala siyo wanafunza kichwani bali UMASIKINI. Kuna watu wanahangaika mtaani hata ule mlo mmoja kuupata ni shida. Umejifikiria wewe tu kwasababu unakula na unashiba. Unategemea mtu anaishi kwa kupambania maisha yake akute gari la petrol asichote mafuta? HAITAWEZEKANA
KAMA UNAKULA NA UNASHIBA MSHUKURU SANA MUNGU. KUNA WATU WANAISHI MAISHA YA SHIDA YAANI UKIMUANGALIA TU UNAJUA KUWA HUYU MAISHA YAMEMPIGA.
Labda uongelee umasikini wa kufikiria kama ulionao wewe. Kwa vigezo vyovyote bodaboda au mama ntilie hayuko kwenye kundi la masikini.
 
Watu wanachota mafuta kama hawajui Msamvu kulitokea nini, daah...!
 
Watu wanachota mafuta kama hawajui Msamvu kulitokea nini, daah...!
View attachment 1189910

cc: financial services
 
Jaman kuna ajali hapa Mliman City lorry la Mafuta limewabana watu kweny mtaro ina sikitisha sana. Daaaah Mungu awaepusha na kifo. Watu kama kawaida wamejana, wanataka kuiba mafuta. Polisi wanafanya kazi ya ziada kuwafukuza hawatoki.
 
Back
Top Bottom