Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Kwa akili zao hao covid 19 wanajua hata akitoka Ndugai watabaki salama? Au Ndugai ataiacha hiyo mbeleko yakuwabebea, wao watulie wasije wakatoka wote.Kwa taarifa yako mtandao wa ndugai bungeni Ni wale covid 19 ambao nao wameanza kusaliti , kwanza kwa kumnyima ngono zembe na pia kusema hadharani