Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

Yaani Mh. Spika Ndugai ni wa kupigwa biti na hawa watoto wanaonuka maziwa, wagogo huwa ni wakimya ila comeback yao huwa inakishindo kikubwa mno.

Mama awe makini na hao anaowaita washauri wake.
Watamgeuka hata amini, Ndugai ang'ang'anie humo humo
 
Hiyo advantage anakuwa nayo kama anabackup huwezi ukatoswa na wabunge
na ukawa na nguvu kwenye chama maamzi hafany as individual hilo ujue
na heshima anayopewa ni kwa nguvu za dola alizonazo zikiondoka hana nguvu na uenyekiti wake.
Ndio maana tangu mwanzo nilisema sio rahisi hata kuanzisha mchakato, kwa nguvu alizonazo Rais. Na bahati mbaya ama nzuri serikali na chama vina operate in concubinage
 
by the time the parliament is halfway through the impeachment process, non of them will still be MP. Labda president mwenyewe aamue kutulia tu
Umejipa hata muda kidogo kuisoma hiyo katiba?! Mchakato ukishaanza mamlaka ya urais hayatakuwa kwake tena mpaka mchakato utapokamilika.
 
Ndio maana tangu mwanzo nilisema sio rahisi hata kuanzisha mchakato, kwa nguvu alizonazo rais. Na bahati mbaya ama nzuri serikali na chama vina operate in concubinage
Mchakato unaanzishwa na anatoolewa kama bunge likimtupa mkono,
kutolewa kwake uraisi hata uenyekiti wake unakosa nguvu nan atampa
hata hizo information ndani ya usalama kwenye chama chake?
 
Umejipa hata muda kidogo kuisoma hiyo katiba?! Mchakato ukishaanza mamlaka ya urais hayatakuwa kwake tena mpaka mchakato utapokamilika.
Hilo nafahamu, lakini unaamini nchi yetu imenyooka kiasi kwamba huo mchakato utaanza kabla ya yeye kuchukua hatua yoyote?
 
Kwa taarifa yako rais yuko madarakani kwakuwa jeshi limekubali, hiyo katiba ni zuga tu. Jeshi likiamua anatolewa kama fala yoyote. Tuombe tu hilo jeshi liendelee na hii shibe , mikopo na upendeleo wanaopewa. Lakini wakiamua wanakaa na hakuna lolote tutafanya.
Hivi wanajeshi hawana Kadi za sisiem?
 
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.

Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.

Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.

Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.

Ni sawa na kumshika simba sharubu.

Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Kwa Tanzania, Rais ni kama alfa na omega. Hakuna jambo jipya hapo, job anapigwa back to back yaani😂😂😂
Rejea operation kata mikia enzi za magufuli, kwa system aloisuka lowaaa ndani ya kamati zote za ccm ungeamini mikia ingekatwa bila ganzi wala kupakwa detto kidonda mkiani?!😆😆
 
Mchakato unaanzishwa na anatoolewa kama bunge likimtupa mkono,
kutolewa kwake uraisi hata uenyekiti wake unakosa nguvu nan atampa
hata hizo information ndani ya usalama kwenye chama chake?
Wewe unaona uwezekano wa hilo kufanyika? If we are talking about Tanzania
 
Speaker Hana support mpk jimboni kwake Kongwa, sembuse bungeni. Huwa anashinda ubunge kimabavubavu na ubabebabe. Aliwe kichwa KAZI IENDELELEE
 
Halafu mmesahau kama mkwe wake ni mwanasheria mbobevu? Msijidanganye mko nje ya system tulien tu msijeharibu zaid mkashindwa kurudi kipindi kingine
Huyo mkwe wake zikipigwa kura bungeni anakuwa na uwezo kupiga kura nyingi kuliko wengine?
 
Here my point is, we have the laws to guide us through all such situations. But that is just one thing, practical application of the same is a whole different thing
That is the way they have fabricated our minds. We, as a result, see wrong as right and right as wrong.
 
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.

Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.

Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.

Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.

Ni sawa na kumshika simba sharubu.

Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Siungi mkono kwa Spika kujiuzulu kwa sababu hapo katofautiana Maoni na Rais na kaomba msamaha sasa hayo mengine ni ya nini?

Hakuna sababu ya kujiuzulu licha ya kwamba sikubaliani na namna Spika alivyoiwasilisha hoja yake
 
Jaribio la kumtoa Spika sio gumu ni jepesi sana ni kwamba linafanywa kwenye mwanga wa jua na nia na shun in la kufanya inajulikana.

Jaribio la kumtoa Rais ni hatari sana na lazima lifanyike kwa ujuzi na uwezo mkubwa sana maana likifeli hao wote ni wahaini. Jaribio la kumtoa Rais linatakiwa lifanyike gizani na kwa mawasiliano ya siri.

Nakuhakikishia Mimi, spika yupo pekee yake ndani ya bunge, hao watu unaosema anao naweza kuwafananisha na bodaboda wakipanga kufanya jambo, kiongozi akitangulia mbele huku nyuma wenzake wanajikataa kimya kimya na mwishoni anajikuta mwenyewe.

Narudia tena spika hana watu, kitendo cha kushindana na mwenyekiti wao itawagharimu wengi hususani wale ushindi wao ulipatikana kimizengwe. Sidhani kuna mtu anataka hicho kitokee.
Exactly, na kukuongozea tu kile kinacho onekana chepesi ndicho kizito Zaid kuliko kile kinacho onekana kizito, think Big,

Tufanye kura zimepigwa na za Siri na ikaonekana hazijatosha, unajua nn kinafuata?? Wanajua mambo mengi husema maji mapesi kupita huwa siyo yaliyotuama,, Bali yenye maporomoko, achen kabisa kulichukua hili Jambo kimzaha, litaghalim nafasi ya madam president.

Na ujue hatujawahi kuwa na uzoefu wakumpigia spika kula ya kutokuwa na imani nae, kumbuka kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu..
 
Hahaha jidanganye Nyerere was very intelligent alitengeneza mfumo raisi na mwenyekiti wa CCM kuwa. Na nguvu kuliko chchte kile ukijuacho.. Ndugai nguvu azitoe wap tena asiombe atoke kwene Chama ndo watamsaga meno... Hakuna aliewai kutoka CCM na akawa a nguvu aliweza walau lowassa kuisumbua CCM ila ndugai he is just a crap
 
Back
Top Bottom