Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

Ukweli yule mwanasheria watu alikua hana ila sasa anao kwasabu uchaguzi ujao hauko mbali! Hawa kina zungu wanajifanya wapo kwa spika lakin ikipigwa kura ya wazi wote wataufyata! Najua kimbisa anawapa ujasiri lakin hamtaweza! Ujasiri alikua nao peke yake na baadae kalegeza
Zungu tulimwona skitoa pesa , clip zipo ili apate kura
 
Hivi hukuona jeshi mitaani wakati wa kila chaguzi??? Kuna kufuata katiba TZ?
Hiyo ni amri halali.
CCCM waambie wasijisumbue kuiba kura kwa sababu watapigiwa saluti hata
wakishindwa uchaguzi uone kama watakuelewa.
Hamna Jeshi la kumtii mpuuzi wa hivo ukikosa uhalali iwe kwa wizi au halali.
 
Mababu na Mababa zetu enzi za Uhuru wangekuwa kama hawa Chawa tungekuwa tunasema Not Yet Uhuru....

Yaani hawa vijana hakuna mwenye jipya zaidi ya kuwa Cheer Leader wa Kiongozi..., ni mashindano ya nani anaunga mkono juhudi zaidi ila sio nani anaboresha juhudi kwa mawazo mbadala....
Hao ndo wale waliokuwa wanawauza wenzao wakati wa Slavery.
 
Hiyo ni amri halali.
CCCM waambie wasijisumbue kuiba kura kwa sababu watapigiwa saluti hata
wakishindwa uchaguzi uone kama watakuelewa.
Hamna Jeshi la kumtii mpuuzi wa hivo ukikosa uhalali iwe kwa wizi au halali.
Kama ni amri halali ya kutumia jeshi kukiweka madarakani kuna kitu gani cha kumshinda Rais asilitumie tena kwa maslahi yake?
 
Kama ni amri halali ya kutumia jeshi kukiweka madarakani Kuna kitu gani cha kumshinda Raisi asilitumie tena kwa maslahi yake ?
Ukitangazwa umeshindwa uchaguzi huo ni uzembe wako na jeshi halitaweza kukubeba.
Hata bunge likipiga kura ya kutokuwa na iman na raisi jeshi halitaweza kukubeba.
 
Ukitangazwa umeshindwa uchaguzi huo ni uzembe wako na jeshi halitaweza kukubeba.
Hata bunge likipiga kura ya kutokuwa na iman na raisi jeshi halitaweza kukubeba.

Bunge lenyewe limewekwa Na Rais lipige kura ya kutokuwa na imani Na Rais, kazi ipo
 
Swali ni je, Ndugai hakujua impact ya kile alichozungumza? Ni wazi alijua! Sasa kwa nini alizumgumza? Ni wazi anajua. Mimi naamini Ndugai sio fala. Anajua wazi matokeo ya matendo yake na ana/wana malengo nayo! Mama awe makini asiingie kwenye mtego wa kina/Ndugai!
 
Hahahaha!!! una hamisha magoli mbona..
Samia hajaweka bunge bunge la Magufuli hilo.

Nilijuwa utajibu hivyo, Hivi Magufuli aliigombea Na nani hata ikabidi yeye awe Raisi. Hivi alikuwa akimpigia Nani kampeni ?
Mwisho isikilize tena hotuba ya mama labda hujamfahamu vizuri
 
Swali ni je,Ndugai hakujua impact ya kile alichozungumza? Ni wazi alijua! Sasa kwa nini alizumgumza? Ni wazi anajua. Mimi naamini Ndugai sio fala. Anajua wazi matokeo ya matendo yake na ana/wana malengo nayo! Mama awe makini asiingie kwenye mtego wa kina/Ndugai!
Ndungai huyo ni fisi mwenye njaa. Tumbo lake linamsumbua tu
 
Nilijuwa utajibu hivyo, Hivi Magufuli aliigombea Na nani hata ikabidi yeye awe Raisi. Hivi alikuwa akimpigia Nani kampeni ?
Mwisho isikilize tena hotuba ya mama labda hujamfahamu vizuri
Kinachomtesa Samia hana timu yake basi,
Waliopo hawakuwahi kumuunga mkono,
Hata kuvunja baraza anajisumbua tu.
 
Hivi unazijua njaa wewe. Yaan hao unaowaita wanamtandao sijui wasomi sijui akina nani kinachowatesa sio chochote ila njaa tuu. Watanzania njaa zinatutesa chezea viposho vya hapa na pale mafuta kwenye gari ya bure na kupata kimwanya cha kukwepa kodi kwenye vikampuni uchwara walivyonavyo hao wanamtandao.
Hivi hao wanamtandao ndo hawa akina hamisi kigwa hawa hawa hawa bendera fata upepo leo moto kesho baridi.
 
Leo madogo waUVCCM wanamtambia Ndugai, kweli maisha yanakwenda kwa kasi.

Yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom