Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

Ndugu yangu, enzi zile sio enzi hizi. Kuna watu wako kazini kupigania katiba mpya. Hiyo stupid move itaukoleza moto wa kudai katiba mpya usipime!
Hamna kitu ,usafi wa mazingira Tu unaofanywa Na Kamanda Sirro , unawafanya watu kujifungia vyooni
 
Unaona kuna mbunge yupo tayari kirisk vita na president? Na ujue kajamaa wapo kwa maslahi binafsi zaidi wala sio imani ama itikadi
Kwa "umungu mtu" wa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kikatiba, hakuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyepo bungeni hivi sasa mwenye uwezo wa kuwa kinyume na rais & mwenyekiti wa chama.

Wabunge wote wameingia kimagumashi kwa ridhaa ya JPM.

Wabunge wote hawabebeki kwa uwezo na vigezo.

Rais na mwenyekiti wa chama ndiye kiongozi wa jopo la uteuzi wa wagombea ubunge.

Kwa vyovyote vile, hakuna mbunge yeyote wa CCM wa kumpinga mwenyekiti wake bila ya uoga wa kutemwa mchakatoni.
 
Kwa "umungu mtu" wa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kikatiba, hakuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyepo bungeni hivi sasa mwenye uwezo wa kuwa kinyume na rais & mwenyekiti wa chama...
Exactly nilichozungumza. Job included, hana ubavu wa kufurukuta
 
Hii mikopo ni kweli inapelekwa bungeni na kujadiliwa kabla ya kuizinishwa ikopwe?

Kama bunge haliijadili, ama halishirikishwi kuhusu mikopo,basi hoja hii ni mtaji mzuri sana wa kisiasa kwa Ndugai akiamua kujilipua.
 
Una tatizo kubwa sana wewe la kuwataka watu wawaze unachowaza na wafanye unachofanya
Kua ujifunze na ubadilike
Nimepachikwa kwenye kundi la Sukuma gang sababu ya mawazo mbadala... ukichaa wa kisiasa tu
 
Duuuuuuuuu team Jiwe kweli kichwani hamnazo.
Hii nchi ambayo Rais anatuhusiwa kikatiba kuwa dikteta ndio ashindwe kumtoa Ndugai 😝😝😝😝😝😝
 
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.

Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.

Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.

Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.

Ni sawa na kumshika simba sharubu.

Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Hakuna lolote hiyo ni mikwala Tu ya kishamba kama kumtoa wanamtoa Tu na hakuna lolote jipya.....huyo jamaa yako ni Fala Tu na tena Hana nguvu yeyote Ile ndani ya Bunge.

Sisi wananchi ndiyo tuna nguvu na sio huyo Fala
Hahaaaaa ndugai hawezi kuwa na nguvu hata theluthi ya nguvu alizo kuwa nazo lowasa ndan ya CCm lakini aliliwa kichwa na nchi ikatulia tuliiii , kwa wageni wa siasa za tanzania wanaweza thani ndungai ana impact lakini kwa sisi wakongwe chamani ndugai ni sawa na punje ya haladari ndan ya Ccm
 
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.

Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.

Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.

Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.

Ni sawa na kumshika simba sharubu.

Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
✓Gombaneni lakini mkae mkijua raisi ajae ni Roman Catholic. Kama wewe ni dini nyingine Fanya mchakato wa kubadilisha dini tuone
 
Hamna kitu ,usafi wa mazingira Tu unaofanywa Na Kamanda Sirro , unawafanya watu kujifungia vyooni

Don’t underestimate the emotional pains that social media attacks can cause. Muulize Speaker Ndugai na watawala kwa ujumla wao!
 
Kizazi cha kitanzania saizi kuna shida ya uongozi sana, ona hawa vijana wanavyoropoka....yaani wanacheza na upepo wa mwenye mamlaka ya uteuzi tu, ni aibu sana hata kama Ayubu kakosea ila uvccm saizi ni zero brain kabisa, focus ni uteuzi tu
 
Kwa mifumo ya kisheria na kisiasa ilivyo Tanzania, hakuna mwenye mtandao mpana zaidi ya Rais aliye madarakani. Haya mengine ni kujidanganya tu.
 
✓Gombaneni lakini mkae mkijua raisi ajae ni Roman Catholic. Kama wewe ni dini nyingine Fanya mchakato wa kubadilisha dini tuone
Kumbe Tanzania Kuna watu Si Watanzania wametokea Roman Catholic
 
Don’t underestimate the emotional pains that social media attacks can cause. Muulize Speaker Ndugai na watawala kwa ujumla wao!
Hamna lolote Kamanda Sirro alipofanya usafi mbona kila mmoja alijifungia ndani chooni?
 
Back
Top Bottom