Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

Mbona unaongea pumba jeshi litapinga hicho kifungu cha katiba?
Uraisi amepewa na katiba sio jeshi, na ndio maana
huwa wanapambana kuiba kura wapate uhalali wa kulindwa na katiba kuwa ni washindi na sio jeshi.
Kichwa maji umesikia.

Kwa taarifa yako Rais yuko madarakani kwakuwa jeshi limekubali, hiyo katiba ni zuga tu. Jeshi likiamua anatolewa kama fala yoyote. Tuombe tu hilo jeshi liendelee na hii shibe, mikopo na upendeleo wanaopewa. Lakini wakiamua wanakaa na hakuna lolote tutafanya.
 
Kwa taarifa yako rais yuko madarakani kwakuwa jeshi limekubali, hiyo katiba ni zuga tu. Jeshi likiamua anatolewa kama fala yoyote. Tuombe tu hilo jeshi liendelee na hii shibe , mikopo na upendeleo wanaopewa. Lakini wakiamua wanakaa na hakuna lolote tutafanya.
Acha upupu wewe..
Jeshi linaongozwa na utaratibu kumtii Rais sio mahaba.
Wafanye uchaguzi Samia atangazwe ameshindwa tuone jeshi litakalo mtii.
 
CCM mnatafunana
Dhambi ya kumuua Akwilina, Sanane, Azory, kuiba kura, tozo, itawatafuna mpka mtabaki mifupa.

Kiama. Kina kuja 2025 lazima mtatafutana uchawi ikishindikana mtapigana mwishowe mtaangamia
 
Acha upupu wewe..
Jeshi linaongozwa na utaratibu kumtii raisi sio mahaba.
Wafanye uchaguzi Samia atangazwe ameshindwa tuone jeshi litakalo mtii.

Yaani jeshi halioni huu wizi wa kura? Jeshi lote linajua CCM iko madarakani kwa wizi wa kura, kama hawafuati utaratibu kukaa madarakani, hilo jeshi linawaogopa kwa kipi?
 
Yaani jeshi halioni huu wizi wa kura? Jeshi lote linajua CCM iko madarakani kwa wizi wa kura, kama hawafuati utaratibu kukaa madarakani, hilo jeshi linawaogopa kwa kipi?
Wasingekuwa wanahaha kuiba kura kama ndio hivo..
Kuiba kura ndio uhalali wanaoutafta.
Jeshi halipo kudhibiti wizi wa kura au ushawahi sikia mwanajeshi amemshika
mtu na bangi.
Umenielewa kichwa maji?
 
Hii tabia ya uongozi wa kambale ndani ya CCM unatoka wapi? Kila mtu anakurupuka na kutoa tamko hii haina afya kwa chama hiki chama hakiwezi kuwaholela kiasi hiki na viongozi wanakaa kimya.
 
Baada ya jana Rais kuwasifia hadharani wenyeviti wa CCM wa baadhi ya mikoa aliowatuma kumjibu Ndugai sasa wanafiki wote wanajitokeza.
 
Eti hawa ndio vijana tunaosemaga, vijana ni taifa la kesho!! Ukiwa na mitoto ya kiume Kama hii unahasara kubwa ndani ya ukoo!!! Ukifuatilia hawa vijana ndo wale, waliokuwa wakipewa uji enzi za utoto wao na wadada wa kazi, wanakiparua na mikono au miguu, kinamwagika, halafu mama anakuwa pembeni anasema muache mtoto atakula baadae, mbebe mgongoni umbembeleze!!!!,. Hopeless kabisa!!! They don't think what wl be 20yrs to come
 
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.

Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.

Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.

Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.

Ni sawa na kumshika simba sharubu.

Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Unajidanganya Rais hajawah kufel keshapiga mahesabu yake vizuri tu
 
Wanafiki Wakubwa nyie. Mtamalizana
 
Wahi, hivyo vyote vichawa vya mama tuuu, vichumia tumbo. Njaa zinawasumbua.
 
Yah lakini anapoteza urais anabaki na uenyekiti wa chama, tayari ana advantage kuliko wenzie
Hiyo advantage anakuwa nayo kama anabackup huwezi ukatoswa na wabunge
na ukawa na nguvu kwenye chama maamuzi hafany as individual hilo ujue
na heshima anayopewa ni kwa nguvu za dola alizonazo zikiondoka hana nguvu na uenyekiti wake.
 
Back
Top Bottom