Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,387
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jamo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Basi kazi tunayo wabongo!!Bila shaka yoyote wameridhika , kama magufuli akibahatika kurudi , ( japo uwezekano ni 20% ), kuna tetesi rizi moko kuwa waziri wa sheria
Wakikosa hizo nafasi,ndio Magu atajua kama walikuwa wanamkubali au walikuwa wanatazama tu masilahi yao.Wabunge wengi wanategemea hisani kurejea.Kusifia ni namna bora kupata toba.
Huyo c nasikia anahemea mipira jimbon kwakeBila shaka yoyote wameridhika , kama magufuli akibahatika kurudi , ( japo uwezekano ni 20% ), kuna tetesi rizi moko kuwa waziri wa sheria
Mmoja hapo ashazeekaKama JPM akiendelea kuna uwezekano JK nae akaja kungombea tena
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
nibebe nikubebeHuyo c nasikia anahemea mipira jimbon kwake
Watakosaje?, kura za maoni gani?. Kwani determinant ya kuteuliwa kugombea CCM ni kura za maoni?.Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Kila zama na vitabu vyake, tulia dawa ikuingie vizuri.Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.