NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,509
- 17,411
Wamemfuga chatu acha awameze sasa!!
Unakuwa kama hujui madikteta? Kumbuka kutanguliza mtoto mdogo kuziba njia ya mkubwa tena kwa dharau! Mihimili itatangulizwa. Dikteta atagoma kukubali! Maandamano feki nchi nzima yatafanyika. Dikteta atakubali kwa shingo upande. P. kwa maslahi ya taifa atauliza kama tuna haja na uchaguzi tena. Maigizo. Unashindwa kusoma script kuanzia Nkamia hadi hii ya Kessy? Wote lao/kesi wakamia!Kila zama na zama zake, wao kila mmoja wao alikuwa na zama yake, ukimaliza zama yako inakuwa imepita, unatulia na kujilia vizuri pensheni yako, ya zama ya mwenzio unamwachia mwenyewe.
Aliyetaka katiba ibadilishwe ili Magufuli aendelee sio Magufuli ni Mbunge na Spika akaridhia kuwa hoja hiyo iletwe Bunge lijalo, lakini rais Magufuli hajataka yeye, na hata hoja hiyo ikiletwa na ikapita, maadam rais Magufuli aliisha toa msimamo wake kuhusu hili, then muda wake ukifika hatazidisha hata sekunde moja!.
P
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Kila zama na zama zake, wao kila mmoja wao alikuwa na zama yake, ukimaliza zama yako inakuwa imepita, unatulia na kujilia vizuri pensheni yako, ya zama ya mwenzio unamwachia mwenyewe.
Aliyetaka katiba ibadilishwe ili Magufuli aendelee sio Magufuli ni Mbunge na Spika akaridhia kuwa hoja hiyo iletwe Bunge lijalo, lakini rais Magufuli hajataka yeye, na hata hoja hiyo ikiletwa na ikapita, maadam rais Magufuli aliisha toa msimamo wake kuhusu hili, then muda wake ukifika hatazidisha hata sekunde moja!.
P
acha ramli.ni uchawiUnakuwa kama hujui madikteta? Kumbuka kutanguliza mtoto mdogo kuziba njia ya mkubwa tena kwa dharau! Mihimili itatangulizwa. Dikteta atagoma kukubali! Maandamano feki nchi nzima yatafanyika. Dikteta atakubali kwa shingo upande. P. kwa maslahi ya taifa atauliza kama tuna haja na uchaguzi tena. Maigizo. Unashindwa kusoma script kuanzia Nkamia hadi hii ya Kessy? Wote lao/kesi wakamia!
Hoja ya kuongezewa muda hata Rais Mkapa akiwa madarakani ilitolewa na mmoja wa mawakili nguli Masumbuko Lamwai na wengine wengi. Rais Mkapa aliheshimu katiba na kuondoka madarakani.Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Mtu anena kilichoujaza moyo wake. Umenena yalojaa moyoni mwako.acha ramli.ni uchawi
Nae mwl alitukosea sana maana alikuwa na uwezo wa kutufanya tubadili hii katiba inayotutesa sasa.Acha kabisa hiki kichwa! Mwalimu Nyerere ni wa pekee mno na mwenye akili sana. Alichosema ndicho kinachotokea sasa kwa majuha yenye maji ya madafu kichwani badala ya ubongo ndani ya kitchen party ya mgogo ndugai.
Na jamaa kawapoza kwa kuwapa zawadi ya ndege Tausi kila mmmoja wao.Hawa watu wamekuwa disappointment kubwa sana. Baada ya kutuletea hili balaa kubwa sana Nchini wamekuwa kimya sana ukiondoa mara chache ambazo wamezungumza juu juu bila kuweka msisitizo wa nguvu kisha kuingia mitini kwa kipindi kirefu huku dikteta akiendelea kuchezea katiba, Bunge na mahakama.
Achana na huyo mkabila anajua kila kitu ila anajifanya hajui na anafikiri sisi ni wajinga hatujui kinachoendelea.Hao wabunge Magu ndio anawatumia kukamilisha mipango yake ila wacha tuone mwisho wake utakuwaje.Unakuwa kama hujui madikteta? Kumbuka kutanguliza mtoto mdogo kuziba njia ya mkubwa tena kwa dharau! Mihimili itatangulizwa. Dikteta atagoma kukubali! Maandamano feki nchi nzima yatafanyika. Dikteta atakubali kwa shingo upande. P. kwa maslahi ya taifa atauliza kama tuna haja na uchaguzi tena. Maigizo. Unashindwa kusoma script kuanzia Nkamia hadi hii ya Kessy? Wote lao/kesi wakamia!
Ni sawa lkn Jiwe hakuwa chaguo la Wananchi bali Mkapa. Na mwenye mamlaka na uthubutu juu yake bado ni Mkapa. Naamini hata yeye hakutegemea haya yanayoendelea.Kama wananchi mmekaa kimya , mnataka wao wafanye nini ?
KweliKama wananchi mmekaa kimya , mnataka wao wafanye nini ?
Watafanya nn Hali nao ni wapenzi watazamaji,labda tu Kama wangekuwa si wanufaika wa udhalimu.Hata Nyerere angekuwepo angefungwa mdomo.Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Awawezi kutetea sababu maslai yao yameguswa,hao hawawezi ishi nje ya siasa ni lzm watakufa njaa.Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?
Je,watakaa kimya?
Maswali ya ziada:
Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.
Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Ukimuona mwanasimba anarukaruka jua mama yake yupo jirani.Huu ni mchakato tangu 2015.Kila zama na zama zake, wao kila mmoja wao alikuwa na zama yake, ukimaliza zama yako inakuwa imepita, unatulia na kujilia vizuri pensheni yako, ya zama ya mwenzio unamwachia mwenyewe.