Huyu ndio mwanaume sio Tundu lissu na propaganda zake na maria sarungi kila siku youtube mara DW haina impact yoyote kwa nchi kama Tanzania.,Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion:
Habari hii ikimfikia Mbowe, Mbowe atamshauri/atamtaka Lema asirudi nyumbani kwani namuona Mbowe ni mtu wa kuhurumia wengine kuliko hata anavyojihurumia.
Hata hivyo, Lema atarudi tu hasa ikitokea Mwenyekiti anafungwa jela ingawa nae pia anaweza kupata upinzani kutoka kwa ndugu zake wakimsihi asirudi.
Maalim seif akipambana na hawa ccm ana kwa ana sio woga woga woga., nadhan ataweza kuipa Chadema uhai kidogo kuliko ilivyokufa fofofo sasa.