Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Japo mwenyewe alishawahi kukiri kuwa ana ukichaa fulani kichwani lakini wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema Nyongo kutoka huko kanda ya ziwa. Lakini ningependa tujikumbushe kitu ukiachilia mbali umwagaji huo wa Nyongo. Kuna walakin labda sababu ya chuki za kisiasa hapa ama yasemwayo yanaweza kuwa sahihi kwani kauli za hii tabia ya kaka zimesemwa na wengi na sijawahi kuona kaka mkubwa mwingine akisemwa kwa mifano hiyo. Ama labda ukichaa, au huo uMirembe unahusishwa na uchapakazi wake. Sijajua bado lakini unahitaji kujua why walituambia haya na bado wanatuambia haya kuwa kichwa ya kaka ilikuwa inaingiza "Miss"
Nachelea kujiuliza kwa maana suala la tatizo kwenye ubongo limekuwa likihusishwa sana na kaka tangu hata hajakalia kiti cha Jamuhuri.Naomba mtukumbushe wengine waliwahi kunena yapi kuhusu Ubongo wa kaka mi naanza na hawa:
Mh. Sumaye aliwahi kusema hadharani 2015 pale Jangwani wakati wa kampeni kuhusu haya mambo ukichaa na Mirembe na uhusiano wa shujaa wa Africa (alisema alikuwa bosi wake, anamfahamu vizuri)..
Hatukuelewa
Tukiwa Geita pia 2015, Mzee kingunge aliwahi kusema "Magufuli anaakili za kinyampara hivo hafai kuwa Rais, Abaki kuwa Nyampara wa mabarabara."
Watu hawakuelewa
".Ndio Maana Nilipotoka Pale Nikaona Nitafute Waziri Ambaye Atakua Ni KICHAA KICHAA Kama Mimi." - John Pombe Magufuli (4/9/2018)
Nahisi nimeelewa leo
...... alikuwa ni kichaa tu ambaye akina Kikwette na Mkapa walipuuza ushauri wa Mama yake mzazi. ......alikuwa ni kichaa, mwongo,................

Autodidacts,Jun 26, 2021
......... alikuwa ni psychiatric case kabisa na hili wenzake walilijua ndio maana walikuwa wanamuogopa,imagine unarudi kazini unamkuta kichaa sitting room na ana bastola...ndicho kilichotokea TanzaniaOmusolopogasi said:
Kwa kweli alikuwa ni "rahisi" mwenye kichaa... Hakuwa na akili ya kawaida. Nadhani waliokuwa karibu sana naye wanajua kuwa alikuwa kichaa...
Huihui2, Jun 29, 2021
Hivi maana ya neno Best imebadilika siku hizi?Jasmoni Tegga said:
Tuliwaambia .... ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
...... alikuwa ni kichaa tu ambaye akina Kikwette na Mkapa walipuuza ushauri wa Mama yake mzazi. ......alikuwa ni kichaa, mwongo,................
Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe
Achana na mambo ya mgombea mwenza wewe mataga Katiba mpya itakayoimarisha taasisi ndio kila kitu. Sawa mkuu ahsante kwa kunipa jina jipya nitafungua ID mpya itaitwa mataga Kama itanipendeza.
www.jamiiforums.com
Serikali ya Rais Magufuli na hesabu kichaa za fedha
Wanabodi, Huu ni utafiti mdogo nilioufanya katika mwenendo wa fedha ndani ya serikali ya Rais JPM. Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya mwisho, serikali ya Rais Kikwete iliajiri takribani waalimu elfu 31 kwa kila mwaka ambapo ndani ya miaka mitatu waalimu zaidi ya elfu 80 waliajiriwa. Katika...
www.jamiiforums.com
Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa
Mimi naendelea kufurahia Magufuli kuitwa Fisadi, maana yake Magufuli akiitwa fisadi, basi serikari inayomfuata ifanye mambo meengi na makubwa kuliko aliyofanya Magufuli Kwa miaka yake mitano Usambazaji umeme na bei chipa ya kuunganishia watu, ziwe Chini zaidi yake na umeme usambazwe Kwa Kasi...
www.jamiiforums.com