Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Huyo TV na Radio yake iliwahi kufungiwa kwa kudaiwa malimbikizo makubwa ya kodi ambayo alikuwa halipi kwa makusudi. Hivyo hawezi kumpenda JPM na kwa sababu JPM hayupo ndio maana sasa anamshambulia.

Aeleze kwanza kama yeye ni mzalendo kuliko JPM kwa nini awamu ya nne alikuwa halipi kodi?

Watu wanaumwa na kupona, kwenda specialist hospital haimaanishi mtu hawezi kupona na kufanya kazi fulani.
 
Yeye mwenyewe alikuwa zaidi ya mpigaji, jambazi sugu baba wa Sabaya na Makonda.... mwezi mchanga org huyo anajulikana, ni vile kichaa chake kilikuwa kinadhibitika hivyo kuna kipindi anakuwa poa na akicharuka mnaokota maiti kwenye viroba.
Jambazi sugu? Uko na mahisia kama wa Kike.
 
Huyo TV na Radio yake iliwahi kufungiwa kwa kudaiwa malimbikizo makubwa ya kodi ambayi alikuwa halipi kwa nakusudi. Hivyo hawezi kumpenda JPM na kwa sababu JPM hayupo ndio maana sasa anamshambulia.

Aeleze kwanza kama yeye ni mzalendo kuliko JPM kwa nini awamu ya nne alikuwa halipi kodi?

Watu wanaumwa na kupona, kwenda specialist hospital haimaanishi mtu hawezi kupona na kufanya kazi fulani.
Media zake ziliifanyia kampeni CCM bure kwa makubaliano ya kupata upendeleo wa kodi lakini wakamchenjia kama ilivyotokea kwa Shigongo,CCM wachafu sana
 
Kwahiyo mashule, zahanati, hospitali na mabarabara yanayojengwa nchini ni ccm inajenga? Una akili timamu kweli? Inahitaji rocket science kujua kwamba miundombini hhii inajengwa kutokana na kodi tunaxolipa watanzania?
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
 
Hao IQ zao ni below average ivyo usitumie nguvu kubwa mkuu,twende nao taratibu
 
Watu wa system Walimpa kwa sababu walijua watapata fursa ya kupiga wakijua kuwa kichaa hatojua,kibao kikawageukia wakaja na plan B
Umepatia sana. Nchi hii watu wanaangalia fursa ya upigaji tu. Rais akiwa fyatu wanakanyagana kuwa wehu zaidi kufikia fursa kuu za ulaji.
 
Huyu mzee nazani akili hana na ni majeruhi wa siasa na hii ni shida ya wanasiasa wa sasa wanapima msimamo wa mama samia ili wamchokonoe vizuri. Hawa wazee waliokula bata zama zao zilishapita na sio wakuchekewa hata kidogo wanataka kuvuruga amani tuu na kauli zisizo na staha hata kidogo.
 
Ukipima IQ yako utakuta iko below average,unahitaji kuhurumiwa sana
 
Waimba mapambio sijui "vetting" na mambo kama hayo wako wapi??
This very strange world.

Mwaka 2016 nilizozana na mzee wangu mmoja aliyekuwa na wadhfa mzito serikalini. Alinisimulia habari ya mama ya Jiwe kuwa, mara baada ya uchaguzi Oktoba 2015, mama huyo alipigiwa simu na mmoja wa ndugu wa Jiwe aliyemtaarifu kuwa mwanawe JPM ameshinda uchaguzi na hivyo kuwa Rais wa JMT. Akasema mama aliduwaa kwa muda halafu akajibu kwa mshangao "haa, wamempa John uRais? Wanamfahamu lakini?". Kisha akaeleza kwa kifupi matatizo yake ya "stability".

Sikukubaliana na hii habari. Niliiona kama "imetanuliwa" - a stretch. Nilishawahi kufanya kazi Ujenzi JPM akiwa Naibu Waziri. Alikuwa msumbufu sana asiyetaka kufuata taratibu wala taaluma. Akibanwa kwenye masuala ya kitaaluma, sheria na taratibu alikuwa akikimbilia kusimamisha watu kazi. Lakini haikunijia akilini kwamba hakuwa "sawa" kichwani. Baadaye nilikuwa nikisikia madai ya tatizo la "stability" ya jamaa yakisemwa mara kwa mara.

Sasa baada ya hii habari ya Diallo nimeondoa chembe chembe zote za mashaka. No benefit of doubt at all. Nchi ilikuwa na kiongozi wa hatari sana. Majuzi katika mahojiano fulani, Prof. Asad (former CAG) alihitimisha maoni yake kwa kusema JPM hakuwa na nia nzuri kwa nchi hii. Nakubali.

Kama CCM watafanikiwa kuendelea kushikilia ukiritimba wa uRais wa JMT kibabe, basi liwe ni suala la dharura kabisa kuwabana wahakikishe utaratibu wao wa kupitisha mgombea uRais unatuhakikishia tunakuwa na Rais mzima kweli kweli. Tunapohangaika na katiba mpya na tume huru tusije tukajisahau muda ukapita bila maelewano halafu tukapata janga lingine.
 
Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Ni hivi mkuu, waliotegemea kuwa ni kichaa walijua wataweza ku mcontrol kirahisi kumbe mambo yakawa ndivyo sivyo ikala kwao.
 
kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
 
Kuna wakati alikuwa akiongea unaona kabisa huyu sio mtu mwenye akili za kawaida kwa level yake.

Niliwahi kuuliza kama anatumia kilevi nikaambiwa hatumii basi niliona kama alivyosema Mwenyekiti 😃

Only mkewe ataconfirm na ninaamini ameona mengi atakuja kutueleza tu maana ile kichwa sio sawa kabisa
 
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
Mfuate huko jehanam
 
Back
Top Bottom