Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,753
15,226
CHUKI YA MAKAMBA KWA HAYATI MAGUFULI IKO WAZIWAZI.

Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka miwili imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.


BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA

"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao wa bodi mpya ya TANESCO ni
Mkurugenzi Maharage Chande,
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."


BODI YA TANESCO ILIYOVUNJWA NA MAKAMBA
Mkurugenzi Eng Tito Mwinuka,
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).

Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"



#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
 
Watanzania wengi tunajua Magufuli aliipenda nchi yake, na tunampenda kwa hilo.
Kweli kabisa hasa ukizingatia na idadi ya wagonjwa wa Afya ya akili kwa Watanzania imeongezeka, hawa wakiletewa hata papai na embe wakaambiwa na mgonjwa wa Afya ya akili mwenzao kagundua corona kwenye embe wanapiga makofi na wanamuita mwanasayansi wa Africa. Tunaacha vipi kumpenda chuma kiboko wa mabeberu na mwenye kumpa kila mtanzania Noah🤣🤣??
 
DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika.
snoop-dogg-crip-walk.gif
 
Mi ukiandika harafu ukakosea kwenye usahihi ninao ujua najua we ni chuki na propaganda.
Hivi miaka miwili imefika?

Hivi kweli kuna aliyetolewa kazini kwa mikakati ya nyuma ya pazia.
Wakati Kimei anaondoka CRDB alilia hivi ni kwa nini ilikuwa vile?

Kuna siasa za kimkakakati ambazo bongo zinatuharibu. Mh Hajazipa nafasi za kikakanda, kinasaba, kisasi, wala kifisadi zaidi ya mafisadi kupenyeza mipango yao wale maisha.
 
Uchumi kuzuia kuajiri vijana kwa miaka sita!
Kuzuia kutupandisha mishahara watumisha kwa miaka sita!
Kuzuia kutupandisha madaraja watumishi kwa miaka sita!
Uchumi kujaza wamachinga mabarabarani!1
Mshamba yule ndo unasema eti kuna alichofanya kuinua uchumi!?
Nyie ndiyo mnaowapa nguvu Watafiti wanaosema watanzania Wana matatizo ya Afya ya akili.Wamachinga wapo toka enzi za Mwalimu,Mwinyi,Mkapa,Kikwete(hapa tulipata mpaka Machinga wakuuza unga) na Magufuli kawakuta kawaacha na Mama na yeye kaja na mbwembwe Ila atawaacha mwakani au mwaka 2025.
Ile nikushauri kitu, Magufuli akili kubwa sana,sasa ukiwa akili kisoda kamwe hutamwelewa,ata kama ulikuwa humpendi endelea kulamba ndimu na kunywa maji mengi
 
Back
Top Bottom