+96894380832
utapata soon
+96894380832
Usiishi kwa kusikia utakuwa mbea.Dah,,,vipi Mbowe nae nasikia karata yake kwa Lowasa ilikuwa ni u pm!!
kishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....
Alichukulia ule usemi usemao ukiwa karibu na uaridi lazima unukie kumbe hakujua kuwa kukaa karibu na changu sio ticket ya kupata naniliu bure
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
Kwani alikwambia anautaka uwaziri mkuu??? Makamba jembe, kila kitu kinachotokea kimepangwa my bro
hapa kazi tu
Duh!! Na hiyo ya mwisho JOB ndio nini naona imenichenga!
We Mgogo, nchii hii lolote linawezekana hata kuku akionyesha usanii wa kutosha anaweza kuwa mkuu wa pipote hapa
Kitufe cha like sikioni.makamba amepigwa za uso hana hamu, Lukuvi pia kala za uso na juzi kati alifukuzwa na magufuli pale ikulu alipoenda kumtambulisha yule muhindi mwizi mfadhili wa ccm
Hamna lolote.Hiyo ni orodha ya watu watafuta misifa.Katika baraza la mawaziri tegemea watu waungwana wasio na majina makubwa ila wachapakazi zaidi na makelele machache.MAKAMBA J,
NAPE
KIGWANGALA
MWINYI
MWIGULU
MWAKYEMBE
hawa ni baadhi ya mawaziri katika baraza jipya litakalotangazwa siku chache zijazo.
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu