Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Wapi tayari kaukosa ndio mnajitetea wakati alishasema sasa leo nafikiri panadol zinamuhusu kiherere cio mtu