January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

picha hiyo ina maana mbili moja mtoto anaota moto usiku maana watanzania wapo gizani hawajui kinachoendelea nchini na picha ya ngazi ina maanisha wapinzani kamwe hawataingia Ikulu
 
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.

Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.

=======
Eee bhana mkuu , Majibu ya swali hili uliyapata kweli ? Naona wakati wake umefika sasa .
 
Back
Top Bottom